1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Inategemea na phone, kwangu naweza Fanya hivyoWakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na phone, kwangu naweza Fanya hivyoWakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
Kumbe natakiwa kubadili hii simu😀😀Inategemea na phone, kwangu naweza Fanya hivyo
Wakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
Mm nilishaitumia kwa baadhi ya mitandao ikagoma.me kwangu inakubali koteeeee sijui halotel kwakua siitumii
poleeMm nilishaitumia kwa baadhi ya mitandao ikagoma.
Maana hutaki kuongeza circle ya watu wengine katika maisha yako? Lazima muanzie mahali mkiwa hamjuani hadi mnajuana. Wote kwenye contact list yako mnawasiliana?Sidaiwi. Sipendi tu kupokea simu za watu nisiowafahamu
"her new baby" nikajua mtu kajifungua majuzi kumbe kitu na box, kwa hiyo old baby kesha kujengea nyumba sasa umehamia kwa mtoto uliyejifungua hivi karibuni akununulie Vitz! We endelea na hiyo tabia.Eti hataki her new baby ampate hewani....
UNAJIKUTA NDO UNAJUA KINGEREZA
Call setting, then Call barring.Hi Guys
My friend anauliza kuna option yoyote anaweza akafanya kwenye simu ili mtu akimpigia awe hapatikani but anapatikana?
Anaenda kwa her new babe so kuna this guy Ana date nae but Ana plan za Kuachana nae kiistaarabu so she will be spending like a month kwa huyo new babe. Sasa hataki uyo mwanume amsumbue kwenye simu.
Na hataki kumblock coz anaona kama yule atajiskia vibaya and all that Yani
Any advice wapendwa wangu kwa my friend?
Infinix wanayo hiyo hudumaWakishakusaidia na hilo wanisaidie na mimi pia..
Sitaki kupokea namba ambayo haipo kwenye contacts..
😀 Punguza Jazba MremboUnanipangia maisha, who are you?
Sina jaza yoyote. Nimejibu nilivyoona ni sawa😀 Punguza Jazba Mrembo
Circle itaingezeka nikikutana nao nasave number zao na si kupigiwa simu na mtu nisiyemjua ama mtu ambaye kapata namba yangu kwingine analazimisha mawasiliano.Maana hutaki kuongeza circle ya watu wengine katika maisha yako? Lazima muanzie mahali mkiwa hamjuani hadi mnajuana. Wote kwenye contact list yako mnawasiliana?
Sawa Demi. I hope nami siku moja nitaingia katika contact list yako.Circle itaingezeka nikikutana nao nasave number zao na si kupigiwa simu na mtu nisiyemjua ama mtu ambaye kapata namba yangu kwingine analazimisha mawasiliano.
Hope so..Sawa Demi. I hope nami siku moja nitaingia katika contact list yako.
UmemalizaUsiogope mtu mkuu, we ogopa Mungu tu, lipa hayo madeni ya watu uishi kwa raha.
Mbona hata kuanza sijaanzaUmemaliza