Kuna pepo likiingia kwenye familia hutafuna vizazi vingi

Haya mapepo yanayopatikana kwenye ngono yanapatikana africa tuu? Mbona states watu wanapoga porno lakini sijasikia haya mambo ya kubadilishana mapepo kupitia ngono. Ebu tupeni elimu
mzabzab acha mbaambaa, huku ni africa

Ww fanya ivi anzisha kanisa, au kuwa mganga wa kienyeji kisha tangaza kwa juhudi zako zote kuwa unaondoa MAPEPO yalio kwenye familia na kuvunja kila aina ya LAANA. Yaani unaondoa mapepo ya umasikini, pepo la kukosa ajira, pepo la kukosa elimu, pepo la kuolewa, pepo la kukosa kazi, pepo la biashara kukosa wateja, yaani kila aina ya matatizo yanayozikumba famikia zetu na watu we tupia pepo afu dai unaliondoa hilo pepo.
 
Akiumwa magonjwa yasiyoeleweka utajua?
Akipata pesa nyingi lakini hifanyii cha maana utajua?
Hujui ya kwamba wengi ni watumwa na mateka wa kiroho?

Thread 'Mateka na watumwa kwenye ulimwengu wa roho ' Mateka na watumwa kwenye ulimwengu wa roho
Ah wanaumwa wapi wakati wale wanapimwa mara mbili kila wiki mbili.
Hawafanyii cha maana mbona ata wasiocheza porno wanapata pesa na hawafanyi lolote...that cuts across the society sio kitu ambacho kipo perculiar to the porno industry only.

Binadamu wengi ni mateka wakiroho ata jf tayari tumetekwa kiroho wee unadhani wandu wa jf hawajaenda kwa kabubu kutupulizia ili kila leo tuwe tunarudi hapa jf kuperuz 😂😂😂😂
 
wee unadhani wandu wa jf hawajaenda kwa kabubu kutupulizia ili kila leo tuwe tunarudi hapa jf kuperuz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...!!! Duh hii kali
 
wee unadhani wandu wa jf hawajaenda kwa kabubu kutupulizia ili kila leo tuwe tunarudi hapa jf kuperuz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...!!! Duh hii kali
Ah wee wenyewe unajua bwana kuwa lazima wanatupulizia hawa sio bure
 
"... Malezi na makuzi bila wazazi wote wawili. Mama akiwa marehemu lakini asiyejulikana! Inauma sana!..."

HAKIKA INAUMA MNO, TENA MNO! NATAMANI KUJUA WATOTO WALIPO, NIKAWACHUKUE WAWE WANANGU WA KUWALEA.
 
Umeongea vyema mkuu. Ebu fikiria familia haiwajibiki vyema katika malezi borq na makuzi ya watoto hasa wa kike. Unategemea huyo mtoto atapata ndoa?
Waswahili husema maji hufuata mkondo na mtoto wa nyoka ni nyoka, chuma hunoa chuma na ndege wanafananao huruka pamoja.

Logically au kwa akili ya kujiuluza tu ni kwamba je, ni mwaume gani mwenye maadili yake, mwenye dhamiri safi na njema mbele ya Mungu anaona kabisa kwamba huyu binti ni anamaadili mabovu kupindukia au familia yake ni ya ovyo kupindukia yeye akajibebee tu akajenge nae familia ni NGUMU SANA. Matokeo yake atapatikana mwanaume mwenye tabia na mambo ya kufanana na huyo binti kisha wataoana na kujenga famalia kitakachofuata ni mduara wa matatizo yao ya kitabia kuendelea kwa watoto wao, kisha wajukuu wako, kisha vitukuu vyao na mwisho ukoo. Sasa katika hali kama hii badala ya kupambana na chanzo sisi tunatupia mzigo mapepo na laana.
Kama familia haijitumi kupambana na Umaskini kwa kufanya kazi, unategemea wataepuka Umaskini?
Hapana mkuu, afrika tuna matatizo mengi sana ya kifrikra, pia suala la dini limekuwa ni tatizo kubwa sana kwa kila tatizo letu kumtupia na kumuachia Mungu ndie apambane huku sisi tukibakia kushinda makanisa nk.

Unakuta kijana anashinda kanisani au kwa mwamposa usiku na mchana kila siku, wiki, mwezi mpaka miaka anamwomba Mungu ampe ajira. Au anaombewa kutoa pepo la ajira au laana. Sijui ni nani aliyeturoga kwamba ajira zinatengenezwa kwa kuombewa na kushinda makanisani matokeo yake unakuta ni umasikini juu ya umasikini miaka nenda rudi kisha huo umasikini unabakia kuziandama familia zetu, watoto, wajukuu, vitukuu mpaka ngazi ya koo.
 
Hii pepoo ni hatari sana


Na hili ndio linazika kabisa familia..

Kemea mapepo haya kwa kupambana hasa na kumtanguliza Mungu mbele..
Nadhani usemi mzuri ni "kuwa na Mungu popote wakati wote." Asikuache nawe usimwache! Ukimtanguliza Mungu huku nyuma unabaki na nani??!! Hautakuwa salama!
 
Uzi mzuri ngoja,nipate utulivu ntaupitia taratibui...
 
Hilo nalo neno!
 
Miezi miwili ilopita nilikuwa na mhe mmoja aliongelea hii vetting inayofanyika serikalini kama una makando kando kuna nafasi huwezi pewa.
 
Pepo la ulevi uliopindukia umelisahau
 
Ulevi unarithiwa nafikiri vetting ya kutosha inahitajika kabla ya kuoa au kuolewa
 
Naam!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…