Asante kwa ufafanuzi mzuri[emoji1752][emoji1545]Nimekuelewa mkuu.
Nilichotaka kusema ni hizo nguvu hasi, sio kwamba zipo kwenye makundi mfano kundi la ngono, kundi la ulevi, kundi la uvivu, kundi la umasikini nk. Ila ni kundi moja tu la malaika waasi basi na ambao walishavunjwa vujwa na kumalizwa nguvu na Yesu mwenyewe, hivyo hawana tena ubavu wala nguvu zozote juu ya binadamu kama kabla ya Yesu kuwashinda. Hivyo tukiendelea kuwatupia lawama hawa malaika waasi kwamba ndio wanaoendesha hizo nguvu hasi kwa kuwaona kama wao ndio chanzo cha kila dhambi na matatizo yote yanayomkabili binadamu ma familia zetu basi Yesu hakuna alichokifanya na ni kama hakuwahi kuja kabisa duniani maana shetani na malaika zake bado wanatamba.
Mkuu sio second chance tuu.Je wewe ndo unayeweka masharti ya second chance au ni aliyetuumba ndo huweka masharti?
Usiwe na inda wala ila ndani ya moyo unapokuwa unaangalia haya mambo. Usiwalaumu wahanga bali muombe Mungu yasikukute
Umesahau pepo la kucheza Kamari mkuu.
Pamoja na hiyo hao mababu zetu walizaa vilema, albino, wakawa maskini, wakawa wajinga mpaka wakauza nchi kwa wakoloni kwa vipande vya nguo.Hiki ndicho walichokuwa wanakifanya mababu zetu zamani.. Unaweza kukataliwa ndoa kwasababu ya background ya familia
1. Katika hali ya kawaida binadamu na wanyama wengine wanahitaji chumvi kama chakula. Kumbuka chakula ni Uhai.Chumvi inahusiana nini na mfumo wa maisha?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Wakristo ni Malaika mlinzi. Huyo ni malaika anayekulinda katika hatari zote za Roho na za mwili siku zote. Ipo sala kwa RC inayosaliwa hv: "Sala kwa malaika mlinzi ... Malaika mlinzi wangu unilinde katika hatari zote....."Ndio uko sahihi kabisa, sasa inategemea ni pepo la aina gani
Nanukuu" Ungelitazama katika level ya taifa ungeelewa kuwa haimake sense idadi ya wahitimu wasomi kuongezeka kila mwaka huku nafasi za kazi na taasisi zikiwa zile zile na watu hawastaafu wanang'ang'ania kubakia serikalini.Hilo sio pepo ni upumbavu wa serikali ya kijani na raia wasiokuwa na maamuzi na serikali yao. Wewe unaona ni mapepo sababu unatazama hili tatizo la kukosa ajira kwenye individual level.
Ungelitazama katika level ya taifa ungeelewa kuwa haimake sense idadi ya wahitimu wasomi kuongezeka kila mwaka huku nafasi za kazi na taasisi zikiwa zile zile na watu hawastaafu wanang'ang'ania kubakia serikalini.
This means kuna mfumo ambao unakinzana na mahitaji ya uhalisia. Sasa hapo mapepo yanafanyaje huo upepo wao.
Pepo likishajenga madhabahu ni ngumu mno kulitoaKuna familia zina pepo la umalaya, kuanzia mama, watoto, watoto wa mama mdogo, mama mkubwa n.k