To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
SadNa sisi wanaume tuache kuwapa mimba hawa mabinti na kutokuwajibika.
Hivi huyu wa Miezi 3 Baba yake anakosekanaje Jamani? Haya yanasikitisha sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SadNa sisi wanaume tuache kuwapa mimba hawa mabinti na kutokuwajibika.
Hivi huyu wa Miezi 3 Baba yake anakosekanaje Jamani? Haya yanasikitisha sana.
Hawa wapo wengi na ni matokeo ya malezi mabovu tu. Mara nyingi watoto wanaolelewa na wazazi wa upande m'moja especially kuelelewa na mama tu au kulelewa na baba ambaye anamuachia bibi upande wa baba aleee mtoto anadekezwa anaharibika.Kongole mkuu.
Kuna pepo limoja sijui hata liitweje; labda liitwe pepo la kiburi na dharau.
Unaweza kumkuta mtu anazo changamoto nyingi lakini hubahatika kupata Ushauri, Maoni/Maonyo kutoka kwa Jamii na watu mbalimbali wanaomzunguka; lakini kutokana na pepo lililotamalaki kwake yy hupuuzia, hubeza na kudharau hadi iwe yamemfika kama yote.
Kwahiyo according to u the strongest soul ni za wale waliookoka ...... African stil you nightSikatai hiyo njia ya meditation bt njia hiyo ni local na primitive.
Najua yoga ni njia ya kuingia ktk spiritua realm Kwa njia isiyoruhusiwanna Mungu.
Mtu ni ROHO,vanayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.
Adam kabla ya kuasi pale bustanini Macho hayo ya Rohoni yalikuwa wazi, yalifungwa pale Hawa alipokula tunda.
Sisi Wana wa Mungu macho hayo ya wazi muda wote, tunayapata kupitia Roho wake MTAKATIFU mtu anapoamini.
Note: Kupitia meditation, Si Rahisi kukutana na Mungu maana umeingia kupitia njia haramu, ndomana Huwa mnashuhudia kuona mauzauza ktk hatua za mwanzo.
Mchawi hamwogopi mtu anaenda kusali daily, mchawi hamwogopi padri au cheo Cha Askofu kama Hana Mungu,
Mchawi na shetani humwogopa sana mtu ALIYEOKOKA na anenaye Kwa Lugha za Mbinguni na Malaika Kwa Roho MTAKATIFU.
Wakutanapo watu hao wawili ktk spiritual realm, mmoja aliyeokoka na mchawi au mganga hakukaliki.
Angalizo; Mnaofanya meditation, nnajiweka ktk hatari ya Kupata AJALI ya kukatila Ile KAMBA ya SILVER inayounga mwili na Roho hivyo kupoteza maisha.
Tumieni njia ya maombi, ni Rahisi sana kupata solution kupitia maono, ndoto, dhamira nk nk.
Ndani ya huu mfumo wa kuishi bila kuolewa kuna matendo mengi sana yanayoashiria kiburi na dharau.Mabinti / Dada zetu wanasingizia eti wana gundu - hawaolewi.
Kufanya ngono hovyo hovyo wengi wanadhani hatari ni kwenye ukimwi tu. Kuna magonjwa zaidi ya ukimwi na pia mikosi kama ulivyosema. BTW pepo la ngono kama alilonalo mzabzab halimo kwenye list.Unachepuka na demu kumbe alikotoka kuna mapepo kama yote.. Anakugaiya tu mbegu
If you are not born again,Kwahiyo according to u the strongest soul ni za wale waliookoka ...... African stil you night
Haya ndio mambo na izo ndio njia ambazo tulipaswa kuyatufutia ufumbuzi kwenye ngazi za familia zetu, koo zetu na taifa ili kutibu na kufuta msululu wa matatizo yanayotuandama.Ila Mshana Jr mimi niseme jambo moja tu kuwa hayo ni matokeo ya kirithi tabia. Unajua tabia zinaambukiza kama magonjwa mengine.
Watoto huwa wanatazama waliowakuta Duniani wanaishi kwa mfumo gani kisha nao wanaukopi na kuishi vile vile. A
Umeongea sana ila vingi ni vya kiimani ambapo kwa upande mwingine ni poroja ..Hapo kwenye dilution sasa ndo unatoka njiani.
Ni hivi.
Kila mtoto anapoingia duniani, mtoto ambaye ni pure human hajachanganya uzao na mapepo, hatma ya maisha yake Huwa Inajulikana, NDOA pia Huwa Inajulikana. Tena NDOA yenyewe ni ya mke mmoja na mme mmoja.
Wapo watakaohoji iweje wanawake wawe wengi Duniani kuliko wanaume, kwamba hao waliozidi wataolewa na nani?
Jibu ni Rahisi. Uzao wa WANADAMU wasiochanganya uzao na mapepo ni Wachache kuliko uzao wa mapepo ktk mwili wa mwanadamu.
Na wanawake nusu mtu nusu Pepo ndo wengi kuliko wanaume nusu mtu nusu Pepo.
Waliookoka Wana solution ya kudumu.
Waliookoka tuna uwezo wa kujua nani Hasa ni ubavu wa mtu mume au mtu mke kupitia maombi.
Binti mmoja aliyeokoka alikuwa katika maombi, alimuuliza Mungu amuonyeshe Mume wake aliyeumbiwa Yuko wapi na alijibiwa.
Jibu lilikuja katika maono, aliambiwa mumuwe yupo Mkoa mwingine tena watakuja kukutanishwa baada ya miaka miwili ijayo.
Binti yule baada ya hapo hakujisumbua kutafuta au kusikia offer za wachumba wengine Hadi mumewe alipoletwa baada ya muda huo kufika na wakaoana sawa na Neno la BWANA.
Binti mwingine alichumbiwa na mchumba tajiri, bt alipoingia ktk maombi, Mungu alimwambia huyo Si ubavu wako, na Hana maisha marefu sababu atafariki baada ya miezi kadhaa sababu ndiyo hatma yake, so what if angekubali kuolewa, angekuwa mjane baada ya muda mfupi.
Ushauri.
Kama wewe ni Mwana wa Mungu,Usitende kuuliza Kwa mganga akusomee nyota,
Waislamu wanaAMINI katika Mungu lakini wanafail Kwa kuamini Waganga pia.
Mganga ni agent wa Ufalme wa chini, kama mtu ni uzao wa kipepo,ruksa kwenda Kwa mganga kuuliza mkewe kinyota kama wanaendana.
Bt kama ni uzao Kutoka juu, Mungu ana majibu yote.
Nawasihi Binti za Mungu, msikate tamaa mnapoona ubavu wenu hatokei Kwa wakati, yaezakuwa mumeo ameenda kuoa Pepo bila kujua, hivyo UKIOMBA Mungu, Mungu ataingilia kati na kuvunja NDOA ya kipepo Ili mtu sahihi arudi kufunga NDOA ilokusudiwa tangu Kuzaliwa.
Ameen
Zemanda kuna vitu vikubwa sana umeandika hapa na vingine vinaumiza sana! Wanasema maji hufuata mkondo .. Kuna jamaa yangu ni school mate kwasasa nimeshajitenga naye kabisa.. Kwenye familia yao wana hizi tabia za kitapeli tapeli japo si kivile sana.. Sasa huyu jamaa yangu akenda kuoa familia ambayo karibia mabinti wote waliolewa na matapeli wa mjini.. Mmojawapo ni tapeli tajiri mpaka sasa lakini anaishi kama ndeziIla Mshana Jr mimi niseme jambo moja tu kuwa hayo ni matokeo ya kirithi tabia. Unajua tabia zinaambukiza kama magonjwa mengine.
Watoto huwa wanatazama waliowakuta Duniani wanaishi kwa mfumo gani kisha nao wanaukopi na kuishi vile vile sio jambo linawakuta kimiujiza. Kwa mzazi ukiona mtoto wako anatabia za hovyo au nzuri jua ni copy yako hiyo. Watoto huwa wachukui tabia mbali, an apple [emoji520] doesn't fall far from the tree.
Nitakupa mifano miwili. Wa kuna ndugu yangu wa kike upande wa baba kipindi cha usichana wake alikuwa na boyfriend ambaye alikuwa anajitoa sana kwake. Ila huyu ndugu yangu alikuwa ni wale wanawake machepele.
Akaruka na jamaa m'moja mlugaliga mixer jamaa ni mganga wa miti shamba, akanasa ujauzito wa jamaa. Alipoona hali sio nzuri akamuwahi jamaa yule anayempenda kwa dhati akampa mchezo kisha akabambikia ule ujauzito kuwa yeye ndie baba.
Jamaa akakubali ila still akawa hataki kuishi nae maana alitaka amtumie. Jamaa akakubali kuwa mpango wa kando. Huyu ndugu yangu akajakuolewa na mtu mwingine kabisa. Sasa tazama huo mchoro. Baba mzazi ni muhuni fulani ambaye hana ramani, halafu mtoto kaja kupewa jina la baba ambaye si mzazi, kisha mtoto anashuhidia mama anaishi na baba mwingine wa tatu.
Picha sasa ni mtoto nae kaja kurudia mfumo ule ule. Alikuwa na boyfriend wake mjeda, jamaa akawa ameenda huko mbali kikazi , mama yake anamwambia kuwa askari wa jeshi wanaroho za umauti kwahiyo asimuwekee kuwa watakuwa na maisha ya familia amtumie kupata mahitaji. Binti akaenda kulala na mwanaume wa mtu na kupata ujauzito wake, halafu amekuja kumbambikia jamaa mwingine kabisa na mtoto kaandikwa jina la huyu jamaa wa tatu.
Sasa uone namna tabia zinarithishwa na sio maswala ya miujiza wala kurogwa.
Upande mwingine kuna swala la mifumo. Ndio maana wazazi zamani walikuwa wanachagulia vijana wao koo za kuoa na mabinti walikuwa wanachaguliwa na wazazi koo za kuolewa ili kulinda mifumo isikutane na changamoto za kurithishwa kama hizo.
Watu wengi leo kitu cha kwanza wanazaa halafu ndipo wanaanza kutazama kazaa na mtu wa aina gani. Kimsingi tafuta mtu ambaye unaelewa anatoka familia ya namna gani na ina mifumo gani.
Kuna familia wana tabia za ubinafsi na tamaa. Kuna familia zina asili ya uchapa kazi na kutafuta mafanikio na kujijenga, kuna familia zina ajizi iliyopitiliza, kuna familia wanatabia za umalaya uliojificha na unafanywa kwa coordination kali sana kiasi kwamba usipowachunguza utasema ni watu waliostaarabika kumbe ni malaya wa haswa.
Kuna familia wizi ni sehemu ya maisha yao wanaiba hadi ukweni na kitapeli ndugu na jamaa zao. Kuna familia ndugu kuchukiana ni mtindo wamezoea kiasi kwamba ukiingia utashangaa wanaanza kuwaingiza na nyie katika utamaduni wa kuchukiana na kufitinishana, kuna familia wana asili ya uharibifu na kurudi nyuma, ukioa au kuolewa huko utashangaa ndani ya miaka kadhaa umechakaa na kufilisika kama haukuwa na kitu.
So yote kwa yote chunguza na kutazama nature ya familia unayokwenda kuoa au kuolewa.
Huwezi kunielewesha bila kujua au kuthibitisha UKWELI au uongo ktk nilichoandika.Umeongea sana ila vingi ni vya kiimani ambapo kwa upande mwingine ni poroja ..
kwanza waislamu hawaamini waganga kumbuka dhambi ambao haisameheki kutokana na uislamu ni shirk ambao miongoni ni waganga ,kuabudu miungu mingi yaani shirk ni pana na mengi yapo nikupa kwa kifupi.
kingine baadhi ya mifano sijui mtu kujulishwa kwamba mume sijui lini atakuja ni uongo na ni nguvu za giza za kwenu moja kwa moja ni shirki...
kwenda kumkana dhambi mbele ya binadamu mwenzio ni shirk mweny kuombwa msamaha ni Mungu pekee so hapo sawa umeenda kwa mganga aliyevaa suti.
Kingine hata watu waaliokoka kibao wapo wanaenda kwa waganga na wala usibishe sina hakika kama ukristo unakubali ushirika ila hata uislamu haukubali kwa kuonyesha hatari yake ni kwamba dhamba ambayo haisameheki ni shirki.
Pia tambua baadhi ya mambo huwezi kujua eti mtu fulani atakufa siku fulani hapa labda ramli ambayo ni shirki ..
Kingine sisi waislamu tunaamini katika mambo sio kama useme mpaka upewe ufunuo hiyo kitu hakuna na hakipo ni nguvu za giza na ushuhuda wa uongo ..Ndo maana watu wanaomba kupata mke mwema hata kuwa na mwisho mwema hapa duniani ..
Mengine yapo sawa nimekuelewesha tu hamna ubishani.!!
EMMYGUY ndugu yangu hayo mambo ni very complicated na yana mizizi mirefu sana.. Ninachoweza kukwambia ni kutumia tu ile tiba yetu ya munyu ili walau kupata ulinzi na kuzuia mambo kuharibika zaidi huku ukipambana kupata suluhu ya kudumuKwenye ukoo wangu tunasumbuliwa na umasikini mkubwa, tunajitahidi kupambana lakini hatuna mafanikio. Mkuu Mshana Jr hebu tusaidie juu ya hili.
Hapo hakuna cha nini wala nini ni elimu tu ndio hakuna, kama kuna elimu ya kutosha hayo yotee aliyosema jamaa hayawezi kupata nafasiSio pepo sema kuna dhambi zikiishaingia kwa wazazi hutembea vizazi na vizazi..
.
Unajua ukisema pepo kimtazamo flan unaweza kusema pepo linamuaa tu kuja kwenye mafilia flani na kuwaonea wanafamilia lkn kiuhalisia wazazi hutenda dhambi basi hiyo dhambi hujenga mizizi na kukaa ktk kizazi hata kizazi