Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Hajasahau, liko kwenye nakadhalika (nk)Pepo la ulevi uliopindukia umelisahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajasahau, liko kwenye nakadhalika (nk)Pepo la ulevi uliopindukia umelisahau
Wanapaswa kumlilia Mungu aiseeIpo hapa mtaani mzee ana watoto tisa, wakike ni saba wa kiume wawili. Wadada wote wamezalishwa tena sio mtoto m'moja wamezidiana idadi ila kila m'moja ana watoto zaidi ya wawili. Wamerudishwa nyumbani wote na watoto. Mzigo anabeba bibi yao.
Unaingia mkataba wa damu na maishaKuloweka sio shida, shida ni kunogewa hadi kupandikiza kizaigoti [emoji23]
Vijana hawataki ndoa.Na sisi wanaume tuache kuwapa mimba hawa mabinti na kutokuwajibika.
Hivi huyu wa Miezi 3 Baba yake anakosekanaje Jamani? Haya yanasikitisha sana.
"... Kama wewe ni Mwana wa Mungu,Usitende kuuliza Kwa mganga akusomee nyota,"Hapo kwenye dilution sasa ndo unatoka njiani.
Ni hivi.
Kila mtoto anapoingia duniani, mtoto ambaye ni pure human hajachanganya uzao na mapepo, hatma ya maisha yake Huwa Inajulikana, NDOA pia Huwa Inajulikana. Tena NDOA yenyewe ni ya mke mmoja na mme mmoja.
Wapo watakaohoji iweje wanawake wawe wengi Duniani kuliko wanaume, kwamba hao waliozidi wataolewa na nani?
Jibu ni Rahisi. Uzao wa WANADAMU wasiochanganya uzao na mapepo ni Wachache kuliko uzao wa mapepo ktk mwili wa mwanadamu.
Na wanawake nusu mtu nusu Pepo ndo wengi kuliko wanaume nusu mtu nusu Pepo.
Waliookoka Wana solution ya kudumu.
Waliookoka tuna uwezo wa kujua nani Hasa ni ubavu wa mtu mume au mtu mke kupitia maombi.
Binti mmoja aliyeokoka alikuwa katika maombi, alimuuliza Mungu amuonyeshe Mume wake aliyeumbiwa Yuko wapi na alijibiwa.
Jibu lilikuja katika maono, aliambiwa mumuwe yupo Mkoa mwingine tena watakuja kukutanishwa baada ya miaka miwili ijayo.
Binti yule baada ya hapo hakujisumbua kutafuta au kusikia offer za wachumba wengine Hadi mumewe alipoletwa baada ya muda huo kufika na wakaoana sawa na Neno la BWANA.
Binti mwingine alichumbiwa na mchumba tajiri, bt alipoingia ktk maombi, Mungu alimwambia huyo Si ubavu wako, na Hana maisha marefu sababu atafariki baada ya miezi kadhaa sababu ndiyo hatma yake, so what if angekubali kuolewa, angekuwa mjane baada ya muda mfupi.
Ushauri.
Kama wewe ni Mwana wa Mungu,Usitende kuuliza Kwa mganga akusomee nyota,
Waislamu wanaAMINI katika Mungu lakini wanafail Kwa kuamini Waganga pia.
Mganga ni agent wa Ufalme wa chini, kama mtu ni uzao wa kipepo,ruksa kwenda Kwa mganga kuuliza mkewe kinyota kama wanaendana.
Bt kama ni uzao Kutoka juu, Mungu ana majibu yote.
Nawasihi Binti za Mungu, msikate tamaa mnapoona ubavu wenu hatokei Kwa wakati, yaezakuwa mumeo ameenda kuoa Pepo bila kujua, hivyo UKIOMBA Mungu, Mungu ataingilia kati na kuvunja NDOA ya kipepo Ili mtu sahihi arudi kufunga NDOA ilokusudiwa tangu Kuzaliwa.
Ameen
Ndio Wana wa Mungu hawaendi kupata hatma ya maisha Yao Kwa Waganga ambao ni agent wa kuzimu."... Kama wewe ni Mwana wa Mungu,Usitende kuuliza Kwa mganga akusomee nyota,"
ANAYEULIZA KWA MGANGA BADO HAJAWA MWANA WA MUNGU!
Pepo la UmaskiniPepo la Umaskini
Pepo la mikosi
Pepo la kukosa ndoa
Pepo la kuzalia nyumbani
Pepo la ugumba
Pepo migogoro na mafarakano
Pepo la wizi, utapeli na udanganyifu
Pepo la madeni na mikopo isiyolipika nknk
Haya mapepo hutembea na vizazi mpaka cha tatu ama cha nne.. Unapoona kwenye familia yako kuna dalili za mojawapo kati ya hayo fanya hima lisisambae na kuathiri wengine.
Kuna ujumbe uliotoka Twitter unaoutaarifu uma kuhusu binti mmoja aliyefariki Morogoro na mwili wake uko mochwari. Hana ndugu ama kwa lugha nyingine ndugu zake hawajulikani ni akina nani.
Kilichonifanya niandike mada hii ni marehemu wakati wa ugonjwa wake akiwa kalazwa hospital kusema hana wazazi (haikufafanuliwa kama ni marehemu ama hajawahi kuwajua ama vinginevyo)
Cha kuumiza zaidi ni kwamba naye kafa kaacha watoto wadogo wawili.. Ni wazi hao watoto wana baba zao/yao lakini hawajulikani walipo. Inaumiza mno kwamba nao watakua katika mkondo wa mama yao.. Malezi na makuzi bila wazazi wote wawili. Mama akiwa marehemu lakini asiyejulikana! Inauma sana!
Ni maisha ya namna gani yanawasubiri hawa malaika? Mama kabla ya kifo kasema hana wazazi japo kataja alikotokea! Vipi kuhusu ndugu? Vipi kuhusu baba wa watoto?
Itakuwa faraja kubwa kama nduguze watajitokeza na kumchukua marehemu wakamzike na kuwachukua watoto wakawalee. Upendo hawatapata kama wa mama lakini at least watajulikana asili yao ili nao wasijekuja kusema huko ukubwani kwamba hawana wazazi wala ndugu[emoji25]
Kuna familia zina laana ya asili
Hili naliandika kwa uchungu mno kwakuwa waathirika ni wengi na hata pengine baadhi ya wana JF ni wahanga. Maisha yanatufunza mengi yanatuonyesha mengi na yanatufunulia mengi Kuna familia zimebarikiwa, hawa maisha yao ni full shangwe mafanikio na baraka kwao si kitu cha kuuliza , kwao ishu za...www.jamiiforums.com
Kuna familia zina laana ya asili
Upungufu wa kinga za kiroho
Wengi tunapoongelea neno KINGA tunapeleka mawazo yetu moja kwa moja kwenye mipira ya kufanyia ngono yaani kondomu. Lakini wengine watadhani ni kinga dhidi ya maradhi ama kinga dhidi ya ajali barabarani na wezi majumbani huku wachache wakiwaza kinga dhidi ya watoto nknk. Akitokea mmoja...www.jamiiforums.com
Upungufu wa kinga za kiroho
Unakubaliana na mimi au unakataa? Elimu ndio mwisho hicho kinachoitwa pepo, hata hao unawaona kwa Mwamposa wa pepo tokaa,pepo tokaaa, ni elimu tu ndio shida yao hakuna cha pepo wala nini.Ukitoka au Kuzaliwa ktk familia ambayo tangu Babu wa mababu Hadi wazazi na kaka na dada zako kiukoo hayupo aliyevuka darasa la nne, utaipata vp hiyo unayoita Elimu?
Safi sana mkuuPepo la Umaskini
Pepo la mikosi
Pepo la kukosa ndoa
Pepo la kuzalia nyumbani
Pepo la ugumba
Pepo migogoro na mafarakano
Pepo la wizi, utapeli na udanganyifu
Pepo la madeni na mikopo isiyolipika nknk
Hivyo vitu hapo juu karibu vyote vinaanza katika ngazi za familia,koo,taifa na bara. Mimi nimejaribu kufikiri kama ifuatavyo hasa ngazi ya bara moja na bara lingine:
a) Umasikini: Afrika inaongoza kwa umasikini mkubwa.
b)Migogoro na mifarakano: Afrika inaongoza.
c)Mikopo na madeni: Afrika inaongoza.
d)Wizi,utapeli,udanganyifu (ufisadi): Afrika tumo
e)Mikosi mbalimbali :Afrika tumo
Swali :Tumelaaniwa??????
Jibu: Hapana, ila tumeacha kufikiri kwa kutumia fikra tunduizi na tunatumia fikra mfu. Kwa kifupi tunatumia majibu rahisi kwenye maswali magumu.
Mfano mzuri ni hapo juu, ukitumia fikra tunduizi kujibu maswali ya hapo juu utagundua kuwa yote ambayo umeyataja yana sababu na chanzo chake na vilevile yana majibu na suluhisho yake.
Bara la ulaya baada ya kupitia katika zama za giza hatimaye walipata mwamko(Renaissance) kwani waliamua kuacha watu wa dini, waganga na washirikina wawaamulie na kuwatatulia matatizo yao.
Badala yake waliamua kutafuta kiini cha tatizo husika na majibu yake kwa kina kupitia fikra tunduizi. Mara baada ya huu mwamko, kilichotokea ni historia mpaka leo!!!!!!!!!!!!
Renaissance | Definition, Meaning, History, Artists, Art, & ...
Encyclopedia Britannica
https://www.britannica.com › ... › Philosophical Issues
28 Mar 2023 — Renaissance, (French: “Rebirth”) period in European civilization immediately following the Middle Ages and conventionally held to have been ...
Nb 1: Tuache kujibu majibu rahisi kwenye maswali magumu:
Mfano 1: Kwanini wewe ni masikini????
Jibu : Umelaaniwa. Kuna laana ya umasikini kwenye ukoo wenu.
Mfano 2: Kwa nini wewe hujaolewa???
Jibu : Umelaaniwa. Kuna laana ya ndoa kwenye ukoo wenu au familia yenu.
Nb 2: Kila tatizo lina chanzo chake na suluhisho lake.
Nb 3: Kufikiri kwa kutumia fikra tunduizi ni njia sahihi ya kukabiliana na matatizo mbalimbali.
Nb 4: Kazi kuu ya kichwa ni kufikri licha ya kuwa na kazi nyingine ya kubebea masikio!!!!!!!!!!
Ni mtazamo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Usiingie udini hapa, HOJA ni ingine kabisa.Unaelezea nin shuhuda za uongo hapa unafikria nan anakuelewa na hizo porojo za kutunga😂😂😂.
unaelezea vip uislamu wakati hujui kitu?
Pepo la vifo mfululizo!Pepo la Umaskini
Pepo la mikosi
Pepo la kukosa ndoa
Pepo la kuzalia nyumbani
Pepo la ugumba
Pepo migogoro na mafarakano
Pepo la wizi, utapeli na udanganyifu
Pepo la madeni na mikopo isiyolipika nknk
Haya mapepo hutembea na vizazi mpaka cha tatu ama cha nne.. Unapoona kwenye familia yako kuna dalili za mojawapo kati ya hayo fanya hima lisisambae na kuathiri wengine.
Kuna ujumbe uliotoka Twitter unaoutaarifu uma kuhusu binti mmoja aliyefariki Morogoro na mwili wake uko mochwari. Hana ndugu ama kwa lugha nyingine ndugu zake hawajulikani ni akina nani.
Kilichonifanya niandike mada hii ni marehemu wakati wa ugonjwa wake akiwa kalazwa hospital kusema hana wazazi (haikufafanuliwa kama ni marehemu ama hajawahi kuwajua ama vinginevyo)
Cha kuumiza zaidi ni kwamba naye kafa kaacha watoto wadogo wawili.. Ni wazi hao watoto wana baba zao/yao lakini hawajulikani walipo. Inaumiza mno kwamba nao watakua katika mkondo wa mama yao.. Malezi na makuzi bila wazazi wote wawili. Mama akiwa marehemu lakini asiyejulikana! Inauma sana!
Ni maisha ya namna gani yanawasubiri hawa malaika? Mama kabla ya kifo kasema hana wazazi japo kataja alikotokea! Vipi kuhusu ndugu? Vipi kuhusu baba wa watoto?
Itakuwa faraja kubwa kama nduguze watajitokeza na kumchukua marehemu wakamzike na kuwachukua watoto wakawalee. Upendo hawatapata kama wa mama lakini at least watajulikana asili yao ili nao wasijekuja kusema huko ukubwani kwamba hawana wazazi wala ndugu[emoji25]
Kuna familia zina laana ya asili
Hili naliandika kwa uchungu mno kwakuwa waathirika ni wengi na hata pengine baadhi ya wana JF ni wahanga. Maisha yanatufunza mengi yanatuonyesha mengi na yanatufunulia mengi Kuna familia zimebarikiwa, hawa maisha yao ni full shangwe mafanikio na baraka kwao si kitu cha kuuliza , kwao ishu za...www.jamiiforums.com
Kuna familia zina laana ya asili
Upungufu wa kinga za kiroho
Wengi tunapoongelea neno KINGA tunapeleka mawazo yetu moja kwa moja kwenye mipira ya kufanyia ngono yaani kondomu. Lakini wengine watadhani ni kinga dhidi ya maradhi ama kinga dhidi ya ajali barabarani na wezi majumbani huku wachache wakiwaza kinga dhidi ya watoto nknk. Akitokea mmoja...www.jamiiforums.com
Upungufu wa kinga za kiroho
Kwa nn utaje waislamu eti wanaamini waganga ..Tena usirudie tena .!Usiingie udini hapa, HOJA ni ingine kabisa.
It's all about faith in God, na jinsi Gani mtu anaweza kujikuta ktk mkwamo Fulani maishani chanzo kikiwa ni kurithi.
Kama unapinga hakuna shetani,mapepo,majini basi wewe ni mchawi.Unakubaliana na mimi au unakataa? Elimu ndio mwisho hicho kinachoitwa pepo, hata hao unawaona kwa Mwamposa wa pepo tokaa,pepo tokaaa, ni elimu tu ndio shida yao hakuna cha pepo wala nini.
Jikite kwenye HOJA.Kwa nn utaje waislamu eti wanaamini waganga ..Tena usirudie tena .!
Sitaki kubishana .
sema hivyo usiseme waislamu wanaamini waganga karekebishe na siku nyingine usirudie.!Jikite kwenye HOJA.
UKWELI uko pale pale wapo wengi wanaoingia miskitini, makanisani, na wengine hawaendi Kanisani Wala msikitini wanaoenda Kwa Waganga na wengine kufuga majini.
Wote hao ni kundi moja, wanatakiwa wamtegemee Mungu mmoja na wa pekee.
Mungu yule aliyekuwa akiwatembelea Adam na Hawa Bustani ya edeni na kuongea nao na kutatua changamoto zao zote.
Na Mungu huyo Hadi Leo Bado huongea na Wana wake, na kutatua changamoto zote.
Amen
Acha ibaki hivyo hivyo maana waislamu ni Wakristo na Wakristo ni waislamu sababu Aliyewaumba na kuwapa PUMZI wote ni Mungu mmoja.sema hivyo usiseme waislamu wanaamini waganga karekebishe na siku nyingine usirudie.!
Mimi na wewe na wengine sote sio wakamalifu hakuna wakumshutymu mwenzio wala kusema hutu yupo hivi .!Acha ibaki hivyo hivyo maana waislamu ni Wakristo na Wakristo ni waislamu sababu Aliyewaumba na kuwapa PUMZI wote ni Mungu mmoja.
Amen