Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliona wapi NDOA moja inafungishwa na wawili? Kushoto mganga, kulia Mchungaji!!!!Na ishu za kulinda ndoa kupitia ushirikina
Kulinda cheo kupitia ulozi nk
Thread 'Mateka na watumwa kwenye ulimwengu wa roho ' Mateka na watumwa kwenye ulimwengu wa rohoPepo la ulevi linatumaliza vijana wengi na kutukwamisha unatafuta kwa bidii unatumia kwa bidii mwisho wa siku unakua bilabila.... MUNGU anitangulie kwa kweli.
Nilikuwa na manzi mmoja mkoa x huyu manzi nilimuelewa kweli na yeye pia alinielewa (tulipendana) , na background yake yeye ni mtoto wa pasta , shida zikaanza sasa, niliota zaidi ya 5 times kuonywa vikali kuachana na huyu manzi , kwa kuoneshwa live matendo yake machafu nyuma ya pazia ( Nilikuwa vizuri kiroho )Kinachowaponza wengi ni tamaa na kupenda short cut.. Yaani mtu humfahamu vizuri tayari ushamparamia.. Iwe hiyo moja basi.. Unanogewa na kuendelea halafu taratibu kuna vitu unaanza kuviona ambavyo si vya kawaida sana lakini unapuuzia
Kuna ndoto unaoteshwa lakini unapuuzia
Marafiki wanakuonya lakini unadhani wanakuonea gere
Ndugu wanakuhadharisha lakini unawaona hawapendi maendeleo yako
Haya mambo huwa hayaji kwa bahati mbaya, huwa na background
Ungesema ung'ang'anie ungeisoma number vibaya mnoNilikuwa na manzi mmoja mkoa x huyu manzi nilimuelewa kweli na yeye pia alinielewa (tulipendana) , na background yake yeye ni mtoto wa pasta , shida zikaanza sasa, niliota zaidi ya 5 times kuonywa vikali kuachana na huyu manzi , kwa kuoneshwa live matendo yake machafu nyuma ya pazia ( Nilikuwa vizuri kiroho )
So , kwa kumalizia ni kwamba unaweza kufanya uchunguzi na ukaona pale ni sahihi , ila ukajuta vilivyo na pia kuna sehemu nyengine unaweza kuona sio sahihi kwa macho ila hapo ndio penyewe , tunakosea kwa sababu tupo mbani na yule ayajuaye ya sirini MUNGU aliye hai.
Kwa nini uone form 4 au la saba ni laana ,na usiseme kuna family wana mapepo ya kusoma hadi wanakufa maskini , boss wangu mimi kaishia darasa la sita,ila ana mawe balaa,dreva wake ni mtu mwenye degree,ana wafanyakazi 18 wasomiKuna familia zina pepo la elimu kikomo ni la saba ama form 4
Kuna familia zina pepo la elimu kikomo ni la saba ama form 4!Kwa nini uone form 4 au la saba ni laana ,na usiseme kuna family wana mapepo ya kusoma hadi wanakufa maskini , boss wangu mimi kaishia darasa la sita,ila ana mawe balaa,dreva wake ni mtu mwenye degree,ana wafanyakazi 18 wasomi
Tusaidie tofaut kat ya pepo vs laana?Kuna familia zina pepo la elimu kikomo ni la saba ama form 4!
Nimezungumzia pepo sijazungumzia laana! Je unaweza kuyatofautisha hayo mawili?
Laana ni roho hasi inayotokana na maagano ama kunenewa vibaya ama malipizi kutokana na matendo mabaya ya mtuTusaidie tofaut kat ya pepo vs laana?
Kwa akili yangu ii ndogo pepo ni kiumbe cha shetani na laana ni matamko mabaya kwa mtu/koo..
Aisee umesema vizuri sana.Haya ndio mambo na izo ndio njia ambazo tulipaswa kuyatufutia ufumbuzi kwenye ngazi za familia zetu, koo zetu na taifa ili kutibu na kufuta msululu wa matatizo yanayotuandama.
Sasa unakuta matendo ya kifisadi, rushwa, ubinafsi uliokithiri, chuki, visasi, malezi ya ovyo, mmonyoko mkubwa wa maadili kuanzia ngazi ya familia, tawala mbovu kwenye serikali zetu, mwisho wa siku matokeo yake ni ukosefu wa ajira kwa wengi, umaskini wa kutisha, mimba zisizotarajiwa, watoto wasio eleweka sababu ya ukosefu wa malezi nk. Sasa badala ya kutafuta mizizi na kutibu vyanzo vya matatizo hayo kuanzia ngazi ya familia zetu tunabakia tunafundishana kuwa eti ni mapepo na laana.
Na wahanga wakubwa wa haya mambo ni mabinti na wanawake ambao wamegeuka wateja wakubwa wa manabii mitume na waganga wa kienyeji waliomua kutumia ujinga wetu kuwa fursa kwako. INASIKITISHA SANA maana kwa hali hii mpaka Yesu anarudi ni kamwe hatuwezi kupata suluhu ya matatizo yanayoziandama familia zetu sababu tutabakia kupambana na mapepo na laana huku tukiacha "cause" ya matatizo yetu ikiendelea kuigwa na kurithiwa kizazi mpaka kizazi.
Umasikini ni kama vazi chafu, ukiendelea kulivaa kwa kisingizio kuwa ni vazi lako umelizoea utaendelea kunuka na kuwa mchafu hadi siku utakapoamua kulivua na kuvaa vazi jipya.Kwenye ukoo wangu tunasumbuliwa na umasikini mkubwa, tunajitahidi kupambana lakini hatuna mafanikio. Mkuu Mshana Jr hebu tusaidie juu ya hili.
Pepo ni neno linalotokana na Kiyunani daimon, ambayo inamaanisha 'fikra' au 'roho' isiyojumlishwa. Fikra au roho hii pia inaweza kueleweka kama nguvu, lakini sio kama mtu aliye na mapenzi au mhusika.Kumradhi mkuu unaweza kuelezea angalau kwa muhtasari unaposema ‘pepo’ unamaanisha nini hasa?
Zipo , hamuwezi kuwa perfect ila at least inakuwa na mazingira mazuri kwa kila mtoto kukua na kuwa na ustawi mzuri.Je! Kunafamilia iliyo salama?