50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Yaani majitu mnashabikia ugaidi wa HAMAS kisa ni watu wa dini yenu halafu majibu ya Israel yanakuja kwa nguvu hadi kutia ukakasi, kuna picha nimeziona ambazo siwezi kuzileta humu ila hii dunia inakosa ladha.
Hivi kiukweli mnajitapa kufaidi nini baada ya kile HAMAS walifanya, maana haya majibu ya Israel yamesababisha maafa na majanga mengi sana, watu wamerudishwa nyuma hadi zero.
Inauma kishenzi, licha ya kwamba mimi ni pro-Israel lakini kila nikiona haya mapicha nasikitika sana, mnashindwa vipi kuishi na binadamu wenzenu kwa amani kama kweli hiyo dini inafundisha amani.
Dini yenyewe fulu vurugu, ina maugomvi na dini zote, mara mpigane na Wahindi, Wabutha, Wakristo hata hawa Wayahudi, kote kote dini moja tu, vurugu zenu mpaka hata huku Afrika kwa tuliojichokea kimaisha bado mnatulipua.
Nenda kule Congo, maskini wakulima wanachinjwa na kundi la AFP kisa dini.
![]()
Hiyo Ardhi ishajionea mauaji ya kimbari toka Karne na Karne.
Vitabu vikongwe vimeandika mengi, waandishi walitumia neno "besiege* ama siege of the city. Inafikirisha kinamna
How King Nabuchadnedza besieged Jerusalem in 587 BC?