Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

Akili ipi? Kushabikia uonevu na majeshi ya kigeni kukalia ardhi ya wengine? Kisiwa cha migingo kilifanya mlete vurugu na Uganda ndio sembuse wangekalia eneo kama Busia au Bungoma?

Tumia muda wako kujielimisha hii issue kihistoria, wacha hizo chuki mnazolishwa kwenye madrassa.
 

Hao walilaaniwa na Wakristo, hutakuta mtu anafanya ugaidi anajiita Mkristo na tumshabikie kama mnavyofanya nyie, maana mumeamrishwa kwenye vitabu vyenu kuchinja watu na mlivyo wajinga mnachinja kote.
Yaani sijui mkoje, halafu wewe nimekuona wa hovyo sana pale ulikosoa Ukraine kwa kushambulia Urusi, mna uzombi wa ajabu.
 

Kwa kweli inasikitisha sana
 
Judea inatokana na Yuda mtoto wa Israel(Yakobo).

Mathayo 1:2​

Abrahamu alimzaa Isaka, Isaka alimzaa Yakobo, Yakobo alimzaa Yuda na ndugu zake
 
UONGO huu!
Hao Hamas walivamia tamasha la mziki, wakaua sana vijana wadogo wasio na hatia wala silaha yoyote..
Ilipatikana pale miili zaidi ya 260..
 
Hao walilaaniwa na Wakristo, hutakuta mtu anafanya ugaidi anajiita Mkristo na tumshabikie kama mnavyofanya nyie, maana mumeamrishwa kwenye vitabu vyenu kuchinja watu na mlivyo wajinga mnachinja kote.
Acha uongo walilaaniwa na kanisa lini? Anti-Balaka walilaaniwa na nani? Si walikua wanapongezwa humu jf kila siku kwa "kufundisha adabu" hao waislam. Au umewahi ona kanisa limelaaniwa kwa genocide walizofanya Rwanda?

Yaani sijui mkoje, halafu wewe nimekuona wa hovyo sana pale ulikosoa Ukraine kwa kushambulia Urusi, mna uzombi wa
Nimekosoa wapi nimekuonyesha unafiki wenu..... Ukraine mpaka imeua raia wa Poland kwa maroketi yake ila sijaona kelele au wakiitwa magaidi. Nachosema watu walipotezea sababu wanajua wanapambania ardhi yao so wana haki ya kumuua adui yoyote. Cha ajabu mijitu inaona tofauti kati ya Putin na Israel wakati ni kitu kile kile cha kukalia nchi ya watu kimabavu
 
Hebu tuambie eneo la asili ya Wayahudi ni lipi?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Wametokea Uru ya wakaldayo huko. Na Abraham alikuta tayari Canaan wapo makabila 13. Walichofanya hao wayahudi waliua makabila yote ya hapo kwa genocide ndio wakahodhi ardhi.

Sawa waliporudi 1948 waligawanyiwa ardhi 50 kwa 50 sasa kilichowawasha kuanza kumeza za ardhi za palestina, Syria na Jordan ni nini? Hivi unajua mpaka Sinai waliikalia kimabavu sema tu Misri alikua kibaraka wa USA so Israel akapigwa biti akaondoka.

Nyie Dp world kapewa bandari tu mnalialia sasa imagine Dp world wapewe nchi nzima waitawale mngejiskiaje?
 
Haikutambuliwa sababu US said so, unadhani hata hao Israel bila US wangetambuliwa? Hata China inatambulika kama taifa linaloendelea tu sio lililoendelea!! Because US says so.

Swali nimeuliza sababu nashangaa watu mnapinga anayeonewa asipige kelele eti kisa "amelianzisha mwenyewe". Ndio najiuliza kipindi tunasaidia wapigania uhuru kma FRELIMO, MPLA n.k hatukujua walianzisha wao vurumai la kumtoa mkoloni.
 
Huo mjadala ulishafungwa kitambo, wanachodai hata UN ni kuheshimiwa mipaka ya 1960s sio kwamba waisrael waondoke Tel Aviv!!

Nchi ilishagawiwa 50:50 wanachopinga ni wao kujiongezea ratio kinyemela sasa imefika 80:20!! We unaona ni fair?
 
Alafu why are you quoting Netanyahu? Who the hell is he? Kule kwao ana kesi ya ufisadi so lazima aongee utumbo wowote kushinda chaguzi ila sio kwamba ni mzalendo au ana nia njema na amani ya Israel. Ni jizi tu kama.majizi mengine na kama sio hii vita kesi yake ingeendelea kuunguruma.
 

Mjifunze sana na Ukristo, utakua ulighubikwa na ukungu wa hiyo dini yenu hukuona watu wakilaani, ila nyie mnashabikia kabisa kila ugaidi wa dini yenu, mnaua na kuchinja, japo siwalaumu maana mumeagizwa kabisa na huyo mungu wenu muarabu.

Kuhusu Ukraine, usipindishe, nilikuona kiazi pale ulianza kukosoa wao kupiga Urusi kwa drone wakati kabisa wanajilinda na uvamizi wa taifa kubwa mara kumi yao, uone mlivyo wajinga kisa mumeaminishana huko kwenye misikiti eti Urusi inafanya inachokifanya kuikomoa Marekani.
 
Mjifunze sana na Ukristo, utakua ulighubikwa na ukungu wa hiyo dini yenu hukuona watu wakilaani, ila nyie mnashabikia kabisa kila ugaidi wa dini yenu, mnaua na kuchinja, japo siwalaumu maana mumeagizwa kabisa na huyo mungu wenu muarabu
Sijui unaongea vitu gani, una generalise tu kwani ukisema waislam ni kina nani? Ni sawa na Anglican kuembrace ushoga alafu mtu aseme "wakristo wanapenda ushoga". Why? Umewahi kwenda msikiti gani ukasikia wanashabikia ugaidi?
Wapi nimekosoa? Tafuta nyuzi zangu zote nimekua nikipinga uvamizi wa Urusi. Mimi nachopinga ni nyie mnao support Ukraine kujipambania dhidi ya wavamizi wa Urusi eti mnashangaa Palestine wakijipambania uhuru wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…