zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nimeshaandika nyuzi nyingi sana juu ya Israel so hakuna ambacho sikifahamu. Hiyo ardhi ilishakua imegawanywa 50:50 wao ndio kila mwaka wanajitanua. Na nimeeleza sio Palestine tu walijitanua Misri kwa kupora Sinai na pia wakapora eneo la Golan heights kutoka Syria n.kPitia huo uzi upya bila mihemko utajifunza kitu
So kujitanua ni policy yao, ni sawa na anachofanya Putin huko Ukraine alafu eti muwalaumu Kyiv kwa kujitetea?