Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

Kuna picha zinasikitisha sana Palestina, mnaoshabikia HAMAS kuanzisha hizi choko sijui mkoje

Pitia huo uzi upya bila mihemko utajifunza kitu
Nimeshaandika nyuzi nyingi sana juu ya Israel so hakuna ambacho sikifahamu. Hiyo ardhi ilishakua imegawanywa 50:50 wao ndio kila mwaka wanajitanua. Na nimeeleza sio Palestine tu walijitanua Misri kwa kupora Sinai na pia wakapora eneo la Golan heights kutoka Syria n.k

So kujitanua ni policy yao, ni sawa na anachofanya Putin huko Ukraine alafu eti muwalaumu Kyiv kwa kujitetea?
 
Wala sipo kwenye dini moja na Wayahudi, natumia akili kudadavua, inapaswa na wewe pia utumie ubongo utaelewa.
Akili ipi? Kushabikia uonevu na majeshi ya kigeni kukalia ardhi ya wengine? Kisiwa cha migingo kilifanya mlete vurugu na Uganda ndio sembuse wangekalia eneo kama Busia au Bungoma?
 
Jews tunawaita hivyo sababu ya Judaeah sio sababu ya dini!! Najua unafahamu makabila 10 yalipotea utumwani na yaliyobaki yalikua Juda + Ephraim. So Jews ikaanzia hapo.

Israel pia sio "taifa" ilikua jina la Yakobo.


Kwa logic hii hata eneo kuitwa Israel haina maana wanaoishi hapo ni original Jews wengi ni wazungu tu (Ashkenazi Jews) sio wale original kama Sephardic Jews!
Myahudi ama Wayahudi ni kina nani?

Kabla ya Kristo, Makabila ya Israel walirejea
 
Jamani msiwalaum Hamas bali laumuni mafundisho ya Kiislam hasa SUNNI. Wanapandikiza chuki kwa watoto wao Tangu wako wadogo. Kwenye hii video ya Twitter wenyewe wanasema wanafundishwa hivyo

View: https://x.com/AshleaSimonBF/status/1712437042213204404?s=20

Yeah hata sisi tukiwa wadogo tulifundishwa nyimbo kibao za kumkashifu Idd amin, wakoloni na makaburu wa Afrika Kusini. Tulikua tunasimuliwa jinsi Idd Amin alikua anakula nyama za binadamu, alikua anaoga damu za watu na alikua anatupa walemavu ziwa Victoria.

Indoctrination iko pande zote
 
Wayahudi ni kina nani?
Hawa walikua wanatokea Judea (Southern Kingdom) na hata kiimani ni tofauti kabisa na "waisrael" waliokua wanaishi Kingdom of Israel (Makabila Kumi). So kuanzia jina mpaka imani ya kiyahudi inatokana na wao kuishi hapo Judea.

Kabla ya Kristo, Makabila ya Israel walirejea
Oooh kumbe, kabila gani hilo lilirejea mkuu katika Kingdom of Israel?
 
Kwanza mnashambulia wanavijiji huko Congo kisa hiyo dini yenu, soma kuhusu AFP.
Vipi Anti balaka huko CAR ilikua ni Christian extremists pamoja na LRA ya Kony nayo imechinja sana huko Congo na CAR!!
Tukienda kidini mkuu hao wazungu/wakristo wameua sana kasome kuhusu mauaji ya wajerumani huko Namibia au mauaji ya King Leopold aliyepewa support na wakatoliki kukamilisha mauaji DRC. Yeye pekee alihusika na vifo sio chini ya million
 
Akuanzae 😂
 

Attachments

  • 1697143131818.jpg
    1697143131818.jpg
    321.8 KB · Views: 1
Hao ni ile tu hawafuati maagizo ya uislamu, ila ingekua balaa

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Alooo, mbona kama maagizo ya kigaidi
 
Sio kweli, tukienda kihistoria au kidini hao Israel walikuta tayari watu wanaishi hapo wale canaanites. Walichofanya ni kuua (Mass genocide) ya wenyeji ndio wakapoka maeneo..... mengineyo walinunua ila originally haikua ardhi yao hata Bible ipo clear.

Same to Kagera historically sio ardhi ya Tanzania, Ziwa nyasa sio part ya Tanzania, Alaska sio Marekani, California sio marekani n.k sasa kila mtu akidai ardhi ya kihistoria hivi kuna nchi itapona kweli?
Hebu tuambie eneo la asili ya Wayahudi ni lipi?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Nimeuliza tu swali naomba unijibu kama lilivyo.
Kwa muktadha wa swali kama lilivyo nakujibu Hapana

Kwa mujibu wa swali lioane na mjadala tunaouendesha hapa, majibu yake ni rahisi mno. Pale Gaza walichokifanya HAMAS ni ugaidi ambao unapaswa kukemewa na sounded mind yeyote.
Issue ya Palestina ni agenda kubwa ya UNSEC.

Ingawa tangu awali hakuna mtu aliyejiuliza kwa nini Palestina imekuja kutambuliwa kama Taifa hivi karibuni enzi za Yasser Arafat. Why and how does them exist without Taifa tangu enzi?
 
Uongo ni upi? Israel amevamia maeneo ya palestina na watu wanakufa kila siku cha ajabu wakijibu mapigo mnawaita magaidi.
Ni sawa tu na tulichofanya huku Tanzania kusponsor vyama vya wapigania uhuru kung'oa utawala wa wakoloni.
Hamna watu wanaokufa kila siku,acha uongo,ushawahi kufika huko ukaona?
 
Dini ya vilipuzi...Wakilipua ndio wanapata dhawabu wanaenda ahera madukani
 
They have nothing to lose either way.... wasipopigana wanakufa wakipigana wanakufa. Ni ajabu sana kushangaa mtu kupigania uhuru wake!! Kwamba ulitaka waporwe ardhi yao wakae kimya kisa adui ana vifaru?

Kwa akili hizi ndio maana Kenya imejaa rushwa kila kona.
Uongo huu sasa!
Wapalestina na makundi yao ya kigaidi wakirejea kwenye amani ya kweli, Israel hawatawarushia hata jiwe, amani itatamalaki..
Kuna wajinga wanadai ile ardhi yote ya Israel ni ya waarabu, bila kuonyesha ni wapi Waisrael wakaishi.
1697172149333.png
 
Nimeshaandika nyuzi nyingi sana juu ya Israel so hakuna ambacho sikifahamu. Hiyo ardhi ilishakua imegawanywa 50:50 wao ndio kila mwaka wanajitanua. Na nimeeleza sio Palestine tu walijitanua Misri kwa kupora Sinai na pia wakapora eneo la Golan heights kutoka Syria n.k

So kujitanua ni policy yao, ni sawa na anachofanya Putin huko Ukraine alafu eti muwalaumu Kyiv kwa kujitetea?

Kuandika nyuzi nyingi hakubadilishi uhalsia, ni dhahiri hutumii ubongo kwenye hili unaongozwa na mihemko ya kidini, au kama wewe sio muoslamu utakua umezungukwa na waislamu na kuambukizwa huo uzombi.
 
Back
Top Bottom