Tetesi: Kuna pikipiki na bajaji zinazotumia umeme wa jua. Hivi askari wa usalama barabarani wana taarifa na pikipiki hizo?

THank you for your input, hapa moja kwa moja unagusa slicitor general office, AG na Parliamentary draftsman ambao wao wamelala wanasubiri kutunga sheria za kuwabana wapinzani badala kufanyia marejeo sheria za kizamanai kama hizi za traffic na nyenginezo nyingi
 
Asa zikitumia umeme we unaumia nn au unapungukiwa nn ?
Ssome uelewe, Tunataka zilipe insurance incase ikisababisha ajali kama zinavyogonga watu kariakoo kwa sasa mtu aweze fidiwa na bima.
Tunataka ziwe na namba, zikifanya uhalifu tujue wa kumkamata.
tunataka zilipe mapato ili serikali ipate fedha ya kulipa wanajeshi wanaolinda nchi yetu wakati MA-BOGUS kama wewe mnaamkia kwenye nyumba za urithi hamjui lolote kuhusu maisha.
 
umeme wa maji ndio ukoje?
 
Kwani kabla ya hizo baiskeli majeshi yalilipwa nini?usiingize maswala ya majeshi wenye issue za baiskel,hivi wabongo why mnaroho ya kwanini hivi?ukiona hivyo basi ukute kuna jirani yako kanunua na wewe huna,unaona gele



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boya sana we jamaa utafaidik na nn sasa?
 

Et wanajesh walipwe umeambiw hawalipwi? Usiumie kwa maendeleo ya mwenzio we imaonekana ni bodaboda Asa unaona wivu kwakua wew unanua mafuta wao hawanunui
 
Private,,kwani hamlipwi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndio wale moja ya kundi la wanajeshi wapumbavi wanaopiga raia kila kapolwa simu na mtu asiye mjua!!wanakuwaga na akili kama za huyu jamaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali inalijua hilo ndiyo maana imewaachia wananchi wamiliki hivi vyombo bila kusajiliwa na kulipia chochote ili wajikwamue kiuchumi. Pikipiki zote zinazotumia betri zinahesabika kama baiskeli na hazina plate namba, hazikatiwi bima wala hazisajiliwi.
 
Kama chombo kinaenda zaidi ya km 50/hr ni bora kitungiwe sheria ili tusije sababisha majanga kwa watu wengine, kipewe usajili, kilipe bima nk.
 
Hawa ndio wale moja ya kundi la wanajeshi wapumbavi wanaopiga raia kila kapolwa simu na mtu asiye mjua!!wanakuwaga na akili kama za huyu jamaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Azma ipo pale pale na Solicitor General anawasiliana na Prof Kilangi kurekebisha kanuni za ROAD TRAFFIC ACT, hizo pikipiki zilipiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…