Tetesi: Kuna pikipiki na bajaji zinazotumia umeme wa jua. Hivi askari wa usalama barabarani wana taarifa na pikipiki hizo?

mi nashangaa watu wanao sapoti huu uzi.
Huu ni uchawi na roho mbaya.watu tunakamuliwa kila sekta.watu wanatafuta unafuu wa maisha bado mnatamani tena wakamuliwe hata pasipo kamulika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Joined Nov 2019 najua wewe ni graduate wa VETA na ni JOB SEEKER na una hasira na serikali, kitulize mwanangu.
Kodi lazma ilipwe na hizi kitu lazma zipewe usajili, kama tumesajili machinga wote kwanini tusisajil hawa watu?
 
nimeiona jana nikawaza scooter nzuri kumbe na bei ni nafuu, dah ni vile sijui kuendesha
 
Kama chombo kinaenda zaidi ya km 50/hr ni bora kitungiwe sheria ili tusije sababisha majanga kwa watu wengine, kipewe usajili, kilipe bima nk.
Hata baiskeli za kawaida zinakimbia balaa!! Je hujashuhudia Tour de France na live kule usujumani?
 
Kama kweli ulicho andika ni sahihi, Kuna tatizo kubwa. Hizo pikipiki huku mikoani zina zaidi ya miaka 3! Kumbe hazisajiliwi? Mamlaka husika zipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Zinapitaje barabarani ili hali km hazijasajiliwa zitakua hazina namba na kwakua muonekano wake hauna tofauti na wa pikipiki na bajaji za kawaida polisi lazima atamsimamisha ili kujua kulikoni anaendesha pikipiki au bajaji bila namba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joined Nov 2019 najua wewe ni graduate wa VETA na ni JOB SEEKER na una hasira na serikali, kitulize mwanangu.
Kodi lazma ilipwe na hizi kitu lazma zipewe usajili, kama tumesajili machinga wote kwanini tusisajil hawa watu?
Mzee wangu ameacha maroli nina aidia ya ufundi ila sijawai pita veta wala chuo cha ufundi afande.
hapana mm sio job seeker.napiga mishe zangu hata uwezi amini.Mm sina chuki na serikali tena ni mzalendo hasa afande.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hizo pikipiki za kuchaji kwa umeme ni self propelled kwakua zinajazwa kwanza umeme km unavyojaza mafuta alafu ndiyo inatumika na si kwamba inatumika ikiwa imeunganishwa kwenye umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewakurupua sasa watawasumbua hao wamiliki na kuwalamba hizo rushwa
Bado hawajaanza nao, jana nimeona maeneo ya mnazi mmoja jamaa kachubua ki-ist cha mtu, sasa sijui atalipa ama la, maana havina bima ni ujinga flani serikali imelala , yaani
 
hazina, na zina spidi kama boxer, posta waporaji, tena watoto wa kidosi wanatumia kuporea wahindi

Chief mbona hii kama chumvi, labda kama kuna vingine ila nikijuacho mimi kina honi, na speed limit yake ni 60km/hr.
 
Nimekapenda itabidi nikatafute kawe mbadala sanlg mana hakuna kwenda shel we nikucharge tu

Sijui hii inaendaje! Kuna nyingine inabidi ubadili betri baada ya muda fulani, gharama ni kama laki 5 hivi.
 
Kwa sasa sijui hali ikoje lakini way back 2005 nilikuwa na pikipiki 2 za umeme muundo wa vespa..
Nilipata shida sana hasa kwenye ishu ya usajili.. Kwakuwa hazikuwa na kipengele cha engine na hata nilipotaka kukata bima nikaambiwa nikatie si kama chombo cha moto
Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…