Kuna pisi moja ya kishua naipenda sana lakini hata nikiisalimia haioneshi ushirikiano, nifanyeje?

Mademu wa watu wazito ni rahisi sana kudate nao mkuu,yani wale hutongozi kama unavyo tongoza hawa wengine mkuu... Unatumia mathematical induction tuu anakaa kwenye reli mkuu...
 
Afu baada ya hapo kuna bonge la verse la kibabe linafata, diamond akasome

Ukichora sitaaa, nitachora saabaa.../
 
Nunua sumu ya panya ue unatembea nayo,siku ukimuona chana kidogo af mwambie usiponipa namba nailamba.akigoma kukupa ilambe tu mkuu maana utakua huna maana tena
OCD kama OCD
 
Wazo zuri lakn vp huyo kibaka akizibitiwa na watu akala makofi mawili matatu akanitaja itakuaje hapo![/QUOTE]Au kibaka akakuzibiti wewe na dada
Hivi mtafanyeje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aseme na hizo oh oh???[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio azivute vute iwee oooooooh au mimi ndo nyimbo siijui
 
Komaa nae huyo ni wako kabisa usikate tamaa
 
Afu baada ya hapo kuna bonge la versela kibane linafata, diamond akasome

Ukichora sitaaa, nitachora saabaa.../
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hakujua kipindi hiko nameless maana ya kuchora saba itakavokua mbovu.....

The verse aged like sour milk asee
 
Nunua sumu ya panya ue unatembea nayo,siku ukimuona chana kidogo af mwambie usiponipa namba nailamba.akigoma kukupa ilambe tu mkuu maana utakua huna maana tena
Ushauri gani huo...

Ngoja niendelee kucheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…