Hapana,tofautisha kabisa na marioo,
Hapa nazungumzia mwanamke aliekuzidi kwa kila kitu,mwenye hadhi au mamlaka ya juu zaidi yako.
Unaweza kuwa Graduate kabisa na kazi yako Safi tu,lakini ukala PHD,ukala Director ukala Princess,au Mfanyabiashara mkubwa ,mwenye fedha
kwa mfano Kuna kazi hizi amabzo vyeo hukaa mabegani,Unakula mrembo bana nyoya au ngao ya Bibi na Bwana begani wakati wewe huna.
Raha sio papuchi tu,Raha ni kula hadhi au heshima aliyonayo,anayopewa na jamii.
Hiyo ya kuwa Marioo Ni kwamba huna kazi yoyote unalelewa na mwanamke tu anaweza kuwa mama muuza vitumbua lakini wewe unakaa nyumbani tu huna kazi yoyote ya kufanya.