Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Naunga mkono hoja.YANI HUYU JAMAA SIJUI KAMA KIJAMBIO CHAKO KIPO SAWA SAWA
Unataka ujue ili iweje?Kama hayumo alitaka kuhutubia Huwa anatokea wapi?
😂😂😂😂😂 😂 😂
Kumbe na wewe kwenye mambo magumu umooo 🤣🤣🤣
Kelele za chura hizo kwani wameanza Leo? Watu tulisurvive kipindi Cha Magu ambapo trafiki akiona una mzigo anaacha kuongoza magari anakimbilia kudai risiti🤣hawa wa chura kiziwi hawana shidaWamechimbwa Mkwara huko
Tunakusanya msimu pendwa wa kuambiana bye bye,hatuna uhakika tutarudi amaa,mtusubiri kidogo na miayo yenu.Msiturushie upupu tukaanza kujikuna tasafali.Ngoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
Labda walikua hawakujui vizuri ukichukua mzigo mkubwa kidogo wanakupa risiti ndogo na hela ya majiMimi juzi kati nilienda kufungasha mzigo wa milioni kadhaa, halafu jamaa akanitolea risiti ya efd ya laki kadhaa tu! Aisee nilimpongeza sana.
😂 😂 😂Jtatu asubuhi unatafuta risiti hata ya 8M mpaka siku saba zikate wiki imeisha na umesafirisha mizigo ya kutosha
🤣🤣🤣Mimi juzi kati nilienda kufungasha mzigo wa milioni kadhaa, halafu jamaa akanitolea risiti ya efd ya laki kadhaa tu! Aisee nilimpongeza sana.
Mwanzoni zile mashine za EFD wahuni Kuna namna walikua wanafanya aiseee qkmm magu alinyoosha watu😁😁😁😂 😂 😂
Tunampiga manually hizo hata kama ni ya 100M uwe tu na details zake
Serikali ya mama inachotaka pesa iongezeke hatokibali alipoishia Kidata ipungue wakati uchumi unakua.Kelele za chura hizo kwani wameanza Leo? Watu tulisurvive kipindi Cha Magu ambapo trafiki akiona una mzigo anaacha kuongoza magari anakimbilia kudai risiti🤣hawa wa chura kiziwi hawana shida
Kwan angekuwa na msafara wa gari 20 tu angepungukiwa nnHuyo Ndo anasisitiza watu walipe Kodi
We toka huko bn😁umejaza makaratasi kichwani njoo huku field uoneSerikali ya mama inachotaka pesa iongezeke hatokibali alipoishia Kidata ipungue wakati uchumi unakua.
Mtatafutwa hata kama utaambiwa wewe hatuji ila watakuja ,jiandae kisaikolojia.
Ukiona anahitaji ulinzi mwingi Kuna shida mahaliKwan angekuwa na msafara wa gari 20 tu angepungukiwa nn
Kwanza hapangi yeye msafara wa magari ya ulinzi.Kwan angekuwa na msafara wa gari 20 tu angepungukiwa nn
Yaani wewe kwa mfano unataka kwenda kununua vifaa vya 3M nenda pale dukani chukua risiti yenye ile header na qr code halafu tuwasiliane, utatolewa risiti ya 3M na muuza duka atakupunguzia thamani ya 18% na Mawinga utawapa 3% ya hiyo 3M na risiti utakuwa nayo na mambo yataenda. Nchi inabakwa sana hiii sasa hiviMimi juzi kati nilienda kufungasha mzigo wa milioni kadhaa, halafu jamaa akanitolea risiti ya efd ya laki kadhaa tu! Aisee nilimpongeza sana.
Kwa hiyo kwako unaona ni sahihi kabisa Rais kuhimiza watu kulipa kodi huku yeye mwenyewe akitumia msafara wa magari 150 ya kifahari!!Kwanza hapangi yeye msafara wa magari ya ulinzi.
Pili Kuna Mawaziri wanaotakiwa kujibu hoja wakati mwingine wanakuwa na wasaidizi wao mfano KK na mwisho Kuna magari ya Mkoa mwenyeji ,Sasa hapo Kuna shida gani?
Rais yupi amewahi kuwa na msafara wa magari 20? Nitajie
Ndio sioni Kama Kuna shida Kwa sababuKwa hiyo kwako unaona ni sahihi kabisa Rais kuhimiza watu kulipa kodi huku yeye mwenyewe akitumia msafara wa magari 150 ya kifahari!!
Halafu hao Mawaziri hawawezi kujibu kero za wananchi kwa njia ya simu, mpaka woye wawepo kwenye hiyo ziara? Hivi ni kwa nini mnawachukulia wananchi wote kama ni wajinga!
Kwhyo kukiwa hakuna Rais aliewahi kutumia Magari 20 ni haki ya Mama ako kutumia magari 100 plus kwenye misafara yake!?Kwanza hapangi yeye msafara wa magari ya ulinzi.
Pili Kuna Mawaziri wanaotakiwa kujibu hoja wakati mwingine wanakuwa na wasaidizi wao mfano KK na mwisho Kuna magari ya Mkoa mwenyeji ,Sasa hapo Kuna shida gani?
Rais yupi amewahi kuwa na msafara wa magari 20? Nitajie
Ni wa nchi gani?Ni kweli Mkuu nimeyahesabu upya na Kiumakini kabisa nimeona yako 117. Umeona Trafiki alivyoyachoka na hadi kususa?
Umenena vyeme ChoiceVariable . Swali langu kwako, kwanini mawaziri wasipande gari moja? V8 inachukua ABIRIA 8 dereva wa 9.Ndio sioni Kama Kuna shida Kwa sababu
-Rais lazima aende akazindue miradi na kuweka Jiwe na msingi,hapo ataenda na convoy yake yote ya Wana usalama na wasaidizi.
Pili Ataenda na Mawaziri husika n Makatibu Wakuu na Wakuu wa taasisi zile tuu ambazo zinahusika na shughuli anayoenda kufanya,sio wote huenda.
-Tatu Wabunge wa maeneo husika Huwa wanampa escort na Kila Mbunge ana gari lake kumbuka.
-Mwisho Viongozi wa Chama wa Mkoa husika Huwa wanampa escort Kila anapokwenda ,na sio Kila walioko kwenye msafara basi waligharamiwa na Serikali Bali ni Bajeti zao za Kila siku za matumizi.
Mwisho WWE ulitaka iwaje? Nitajie Rais ambae hajawahi kuwa na escort ya hivyo hapa Tanzania,tena huyu wa Sasa nimeona Kuna Baadhi ya magari yameoungua kwenye msafara hasa ya Jeshi.