Kuna Rais nimemuona ana Msafara wa Gari 84 hadi Trafiki akachoka na kususa Kuziongoza, hivi nimeona peke yangu tu vibaya au nilichokiona ni sahihi?

Ngoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
Tunakusanya msimu pendwa wa kuambiana bye bye,hatuna uhakika tutarudi amaa,mtusubiri kidogo na miayo yenu.Msiturushie upupu tukaanza kujikuna tasafali.
 
Kelele za chura hizo kwani wameanza Leo? Watu tulisurvive kipindi Cha Magu ambapo trafiki akiona una mzigo anaacha kuongoza magari anakimbilia kudai risiti🤣hawa wa chura kiziwi hawana shida
Serikali ya mama inachotaka pesa iongezeke hatokibali alipoishia Kidata ipungue wakati uchumi unakua.

Mtatafutwa hata kama utaambiwa wewe hatuji ila watakuja ,jiandae kisaikolojia.
 
Kwan angekuwa na msafara wa gari 20 tu angepungukiwa nn
Kwanza hapangi yeye msafara wa magari ya ulinzi.

Pili Kuna Mawaziri wanaotakiwa kujibu hoja wakati mwingine wanakuwa na wasaidizi wao mfano KK na mwisho Kuna magari ya Mkoa mwenyeji ,Sasa hapo Kuna shida gani?

Rais yupi amewahi kuwa na msafara wa magari 20? Nitajie
 
Mimi juzi kati nilienda kufungasha mzigo wa milioni kadhaa, halafu jamaa akanitolea risiti ya efd ya laki kadhaa tu! Aisee nilimpongeza sana.
Yaani wewe kwa mfano unataka kwenda kununua vifaa vya 3M nenda pale dukani chukua risiti yenye ile header na qr code halafu tuwasiliane, utatolewa risiti ya 3M na muuza duka atakupunguzia thamani ya 18% na Mawinga utawapa 3% ya hiyo 3M na risiti utakuwa nayo na mambo yataenda. Nchi inabakwa sana hiii sasa hivi
 
Kwanza hapangi yeye msafara wa magari ya ulinzi.

Pili Kuna Mawaziri wanaotakiwa kujibu hoja wakati mwingine wanakuwa na wasaidizi wao mfano KK na mwisho Kuna magari ya Mkoa mwenyeji ,Sasa hapo Kuna shida gani?

Rais yupi amewahi kuwa na msafara wa magari 20? Nitajie
Kwa hiyo kwako unaona ni sahihi kabisa Rais kuhimiza watu kulipa kodi huku yeye mwenyewe akitumia msafara wa magari 150 ya kifahari!!

Halafu hao Mawaziri hawawezi kujibu kero za wananchi kwa njia ya simu, mpaka woye wawepo kwenye hiyo ziara? Hivi ni kwa nini mnawachukulia wananchi wote kama ni wajinga!
 
Ndio sioni Kama Kuna shida Kwa sababu
-Rais lazima aende akazindue miradi na kuweka Jiwe na msingi,hapo ataenda na convoy yake yote ya Wana usalama na wasaidizi.

Pili Ataenda na Mawaziri husika n Makatibu Wakuu na Wakuu wa taasisi zile tuu ambazo zinahusika na shughuli anayoenda kufanya,sio wote huenda.

-Tatu Wabunge wa maeneo husika Huwa wanampa escort na Kila Mbunge ana gari lake kumbuka.

-Mwisho Viongozi wa Chama wa Mkoa husika Huwa wanampa escort Kila anapokwenda ,na sio Kila walioko kwenye msafara basi waligharamiwa na Serikali Bali ni Bajeti zao za Kila siku za matumizi.

Mwisho WWE ulitaka iwaje? Nitajie Rais ambae hajawahi kuwa na escort ya hivyo hapa Tanzania,tena huyu wa Sasa nimeona Kuna Baadhi ya magari yameoungua kwenye msafara hasa ya Jeshi.
 
Kwanza hapangi yeye msafara wa magari ya ulinzi.

Pili Kuna Mawaziri wanaotakiwa kujibu hoja wakati mwingine wanakuwa na wasaidizi wao mfano KK na mwisho Kuna magari ya Mkoa mwenyeji ,Sasa hapo Kuna shida gani?

Rais yupi amewahi kuwa na msafara wa magari 20? Nitajie
Kwhyo kukiwa hakuna Rais aliewahi kutumia Magari 20 ni haki ya Mama ako kutumia magari 100 plus kwenye misafara yake!?

Unasema hapangi yeye msafara wa Magari ya ulinzi ndio sababu kunakuwa na msafara mrefu namna hyo ila akizindua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa ya shule anakuwa n yeye amefanikisha si ndio !?
 
Ni kweli Mkuu nimeyahesabu upya na Kiumakini kabisa nimeona yako 117. Umeona Trafiki alivyoyachoka na hadi kususa?
Ni wa nchi gani?
Isije ikawa wanigeria wanakwenda uingereza kuomba msaada wa kujengewa mcashimo ya vyoo vya shule.
I love Nigeria. Kuna watu matajiri kuliko wizara.
 
Ndio sioni Kama Kuna shida Kwa sababu
-Rais lazima aende akazindue miradi na kuweka Jiwe na msingi,hapo ataenda na convoy yake yote ya Wana usalama na wasaidizi.

Pili Ataenda na Mawaziri husika n Makatibu Wakuu na Wakuu wa taasisi zile tuu ambazo zinahusika na shughuli anayoenda kufanya,sio wote huenda.

-Tatu Wabunge wa maeneo husika Huwa wanampa escort na Kila Mbunge ana gari lake kumbuka.

-Mwisho Viongozi wa Chama wa Mkoa husika Huwa wanampa escort Kila anapokwenda ,na sio Kila walioko kwenye msafara basi waligharamiwa na Serikali Bali ni Bajeti zao za Kila siku za matumizi.

Mwisho WWE ulitaka iwaje? Nitajie Rais ambae hajawahi kuwa na escort ya hivyo hapa Tanzania,tena huyu wa Sasa nimeona Kuna Baadhi ya magari yameoungua kwenye msafara hasa ya Jeshi.
Umenena vyeme ChoiceVariable . Swali langu kwako, kwanini mawaziri wasipande gari moja? V8 inachukua ABIRIA 8 dereva wa 9.
 
Back
Top Bottom