Gari nyingi ni za idara za umma,wengi wataishia katika mkoa wa jirani,gari zenyewe ukiringanisha na wenzetu ni sawa na Gari 12 tuu,tupambane na bill zetu HAYA mengine hayatuhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kipi hasa ambacho yeye tu ndio anajiona hayuko salama kuliko marais wenzie ? Maana hata kenya tu hapo ambayo ina matushio ya alshabab hawana matumizi ya hovyo hivyo halafu mnakamua raia wachini huku kulipa kodiUsalama wa Rais hauna maswali Wala mambo ya V8,lipa Kodi bila Kisingizio
Kuna kituu wana kitumia kinaitwa Usalama...kwamba kuwapakia mawaziri 8 au zaidi ktk gari moja ni kuhatarisha Usalama wao na nchiUmenena vyeme ChoiceVariable . Swali langu kwako, kwanini mawaziri wasipande gari moja? V8 inachukua ABIRIA 8 dereva wa 9.
Marais wenzake kina nani?Kwa kipi hasa ambacho yeye tu ndio anajiona hayuko salama kuliko marais wenzie ? Maana hata kenya tu hapo ambayo ina matushio ya alshabab hawana matumizi ya hovyo hivyo halafu mnakamua raia wachini huku kulipa kodi
Sisi raia tunapanda Basi moja watu 60 Tena safari ndefu, hao viumbe hawawezi kupanda gari moja watu nane?Kuna kituu wana kitumia kinaitwa Usalama...kwamba kuwapakia mawaziri 8 au zaidi ktk gari moja ni kuhatarisha Usalama wao na nchi
Unaongea kienyeji sana ,kwanza kiusalama haikubaliki wakipata ajali ni wote mnapata hasara.Umenena vyeme ChoiceVariable . Swali langu kwako, kwanini mawaziri wasipande gari moja? V8 inachukua ABIRIA 8 dereva wa 9.
Hahahahaha..coaster Tatu zinawatosha sio..moja mawaziri..ya pili watu wa Halmashauri husika..tatu watu watendaji wengineSisi raia tunapanda Basi moja watu 60 Tena safari ndefu, hao viumbe hawawezi kupanda gari moja watu nane?
Sote si tumeumbwa kwa nyama na damu, sote tunakwenda chooni na tunachamba, sote tuna roho, sote tuna wake na watoto, tatizo liko wapi?
Ndio kwani yeye ndio anaamua idadi ya magari ya escort? 🤣🤣🤣🤣Kwhyo kukiwa hakuna Rais aliewahi kutumia Magari 20 ni haki ya Mama ako kutumia magari 100 plus kwenye misafara yake!?
Unasema hapangi yeye msafara wa Magari ya ulinzi ndio sababu kunakuwa na msafara mrefu namna hyo ila akizindua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa ya shule anakuwa n yeye amefanikisha si ndio !?
Nyie ni Rais ,yule ni Rais..Ukielewa maana ya Rais na umuhimu wake huwezi ongea hayo.Sisi raia tunapanda Basi moja watu 60 Tena safari ndefu, hao viumbe hawawezi kupanda gari moja watu nane?
Sote si tumeumbwa kwa nyama na damu, sote tunakwenda chooni na tunachamba, sote tuna roho, sote tuna wake na watoto, tatizo liko wapi?
Hakuna mahali nimeandika rais.Nyie ni Rais ,yule ni Rais..Ukielewa maana ya Rais na umuhimu wake huwezi ongea hayo.
Nimeshakujibu Kwa nini hawawezi kujikusanya wapande V8 Moja.Hakuna mahali nimeandika rais.
Rais anastahili heshima yake, infact anastahili walinzi, wasaidizi etc.
Mimi Niko na Hawa mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa wilaya, wakurugenzi etc .
Kwanini wasijikusanye wapande hata V8 tano waokoe pesa ya mafuta, wear and tear, MADEREVA etc?
Nimeshakujibu Kwa nini hawawezi kujikusanya wapande V8 Moja.
Hapo ni sawa na kusema Kwa nini Ofisi zoote za Umma zisiwepo kwenye Jengo Moja badala ya Kila taasisi.kujenga Makao Makuu yake 😂😂
Hapa walizweza lakiniNimeshakujibu Kwa nini hawawezi kujikusanya wapande V8 Moja.
Hapo ni sawa na kusema Kwa nini Ofisi zoote za Umma zisiwepo kwenye Jengo Moja badala ya Kila taasisi.kujenga Makao Makuu yake 😂😂
Hao wako kwenye ziara? Wanasagiri umbaki gani zaidi ya kwenda kwenye mkutano?Hapa walizweza lakini
Yapi maoni yako?Kwan angekuwa na msafara wa gari 20 tu angepungukiwa nn
Wanakuchora tuuu.Hapa walizweza lakini
Mwenzako ameona gari 143!Ngoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
Sio 117, hiyo 117 unaipata mpaka pale video inapoishi ila kuna gari nyingine nyingi nyuma, zimeziiwa hadi maafisa wanatafuta upenyo ili msafara uendelee.Ni kweli Mkuu nimeyahesabu upya na Kiumakini kabisa nimeona yako 117. Umeona Trafiki alivyoyachoka na hadi kususa?
Kule uingereza wakati wa mazishi ya malkia, Marais kibao walipanda bus moja. Kwanini hatuigi kwa kuanzia na wakurugenzi wa wilaya na wakuu wa wilaya?Nimeshakujibu Kwa nini hawawezi kujikusanya wapande V8 Moja.
Hapo ni sawa na kusema Kwa nini Ofisi zoote za Umma zisiwepo kwenye Jengo Moja badala ya Kila taasisi.kujenga Makao Makuu yake 😂😂