Kuna Rais nimemuona ana Msafara wa Gari 84 hadi Trafiki akachoka na kususa Kuziongoza, hivi nimeona peke yangu tu vibaya au nilichokiona ni sahihi?

Usalama wa Rais hauna maswali Wala mambo ya V8,lipa Kodi bila Kisingizio
Kwa kipi hasa ambacho yeye tu ndio anajiona hayuko salama kuliko marais wenzie ? Maana hata kenya tu hapo ambayo ina matushio ya alshabab hawana matumizi ya hovyo hivyo halafu mnakamua raia wachini huku kulipa kodi
 
Marais wenzake kina nani?
 
Kuna kituu wana kitumia kinaitwa Usalama...kwamba kuwapakia mawaziri 8 au zaidi ktk gari moja ni kuhatarisha Usalama wao na nchi
Sisi raia tunapanda Basi moja watu 60 Tena safari ndefu, hao viumbe hawawezi kupanda gari moja watu nane?
Sote si tumeumbwa kwa nyama na damu, sote tunakwenda chooni na tunachamba, sote tuna roho, sote tuna wake na watoto, tatizo liko wapi?
 
Umenena vyeme ChoiceVariable . Swali langu kwako, kwanini mawaziri wasipande gari moja? V8 inachukua ABIRIA 8 dereva wa 9.
Unaongea kienyeji sana ,kwanza kiusalama haikubaliki wakipata ajali ni wote mnapata hasara.

Wanaweza panda gari Moja ikiwa ni short distance na sio mwendo mkali kama magari ya convoy ya Rais yanavyokwenda na hiyo spend wao wanasema kiusalama ndivyo inatakiwa.

Ila wangekuwa kwenye msafara wa kawaida kama ambavyo kamati za Bunge zinafanya Huwa wanapanda Bus Moja ila mwendo wa kawaida.
 
Sisi raia tunapanda Basi moja watu 60 Tena safari ndefu, hao viumbe hawawezi kupanda gari moja watu nane?
Sote si tumeumbwa kwa nyama na damu, sote tunakwenda chooni na tunachamba, sote tuna roho, sote tuna wake na watoto, tatizo liko wapi?
Hahahahaha..coaster Tatu zinawatosha sio..moja mawaziri..ya pili watu wa Halmashauri husika..tatu watu watendaji wengine
 
Kwhyo kukiwa hakuna Rais aliewahi kutumia Magari 20 ni haki ya Mama ako kutumia magari 100 plus kwenye misafara yake!?

Unasema hapangi yeye msafara wa Magari ya ulinzi ndio sababu kunakuwa na msafara mrefu namna hyo ila akizindua ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa ya shule anakuwa n yeye amefanikisha si ndio !?
Ndio kwani yeye ndio anaamua idadi ya magari ya escort? 🤣🤣🤣🤣

Ulitaka awapangie Wana usalama au? Hiyo sio kazi yake.

Mwisho nimetoa ufafanusi hapo wa kwani Mimi magari ni mengi hujasoma ukaelewa au?

Mwisho nimesema nitajie na uweke hapa convyoy ya Rais yeyote wa Tanznaia akiwa ziarani tuone hususan Magufuli.
 
Sisi raia tunapanda Basi moja watu 60 Tena safari ndefu, hao viumbe hawawezi kupanda gari moja watu nane?
Sote si tumeumbwa kwa nyama na damu, sote tunakwenda chooni na tunachamba, sote tuna roho, sote tuna wake na watoto, tatizo liko wapi?
Nyie ni Rais ,yule ni Rais..Ukielewa maana ya Rais na umuhimu wake huwezi ongea hayo.
 
Hakuna mahali nimeandika rais.
Rais anastahili heshima yake, infact anastahili walinzi, wasaidizi etc.
Mimi Niko na Hawa mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa wilaya, wakurugenzi etc .
Kwanini wasijikusanye wapande hata V8 tano waokoe pesa ya mafuta, wear and tear, MADEREVA etc?
 
Nimeshakujibu Kwa nini hawawezi kujikusanya wapande V8 Moja.

Hapo ni sawa na kusema Kwa nini Ofisi zoote za Umma zisiwepo kwenye Jengo Moja badala ya Kila taasisi.kujenga Makao Makuu yake 😂😂
 
Mkuu tutake radhi kwa kuongea uongo...zile gari zimevuka 100,zipo kati ya 100-150 na sio 84 kama unavyosema.
 
Nimeshakujibu Kwa nini hawawezi kujikusanya wapande V8 Moja.

Hapo ni sawa na kusema Kwa nini Ofisi zoote za Umma zisiwepo kwenye Jengo Moja badala ya Kila taasisi.kujenga Makao Makuu yake 😂😂
Nimeshakujibu Kwa nini hawawezi kujikusanya wapande V8 Moja.

Hapo ni sawa na kusema Kwa nini Ofisi zoote za Umma zisiwepo kwenye Jengo Moja badala ya Kila taasisi.kujenga Makao Makuu yake 😂😂
Hapa walizweza lakini
 
Attachments

  • 20240719_111142.jpg
    20240719_111142.jpg
    115.9 KB · Views: 1
Hapa walizweza lakini
Hao wako kwenye ziara? Wanasagiri umbaki gani zaidi ya kwenda kwenye mkutano?

Shorter distance na ambayo haihusishi Tais is possible na wanafanya hivyo kamatinza Bunge wanapanda Shabiby

Ila kwenye ziara ambazo zinaenda mamia ya km na ipo convyo ya Rais huwezi warundika watu kwenye Mabasi ,haipo hiyo.

So tafuteni hoja ya msingi.Mwisho ni Rais yupi alikuwa na msafara wa magari machache hapa Tanzania?
 
Ni kweli Mkuu nimeyahesabu upya na Kiumakini kabisa nimeona yako 117. Umeona Trafiki alivyoyachoka na hadi kususa?
Sio 117, hiyo 117 unaipata mpaka pale video inapoishi ila kuna gari nyingine nyingi nyuma, zimeziiwa hadi maafisa wanatafuta upenyo ili msafara uendelee.
 
Hivi ni sababu gani hasa ya msingi kua na msafara wa zaidi ya gari 100.
 
Nimeshakujibu Kwa nini hawawezi kujikusanya wapande V8 Moja.

Hapo ni sawa na kusema Kwa nini Ofisi zoote za Umma zisiwepo kwenye Jengo Moja badala ya Kila taasisi.kujenga Makao Makuu yake 😂😂
Kule uingereza wakati wa mazishi ya malkia, Marais kibao walipanda bus moja. Kwanini hatuigi kwa kuanzia na wakurugenzi wa wilaya na wakuu wa wilaya?
 
Back
Top Bottom