Kuna Rais nimemuona ana Msafara wa Gari 84 hadi Trafiki akachoka na kususa Kuziongoza, hivi nimeona peke yangu tu vibaya au nilichokiona ni sahihi?

Kuna Rais nimemuona ana Msafara wa Gari 84 hadi Trafiki akachoka na kususa Kuziongoza, hivi nimeona peke yangu tu vibaya au nilichokiona ni sahihi?

Kule uingereza wakati wa mazishi ya malkia, Marais kibao walipanda bus moja. Kwanini hatuigi kwa kuanzia na wakurugenzi wa wilaya na wakuu wa wilaya?
Ile ilikuwa ni ziara? Kwenda kwenye mkutano hata km 2 haifiki utarajia Kila mtu awe na convyo yake?

Rais alikuwa ziarani na sio Kila mda anakuwa na convyoy kubwa ni mpaka kwenye ziara rasmi tuu.
 
Ile ilikuwa ni ziara? Kwenda kwenye mkutano hata km 2 haifiki utarajia Kila mtu awe na convyo yake?

Rais alikuwa ziarani na sio Kila mda anakuwa na convyoy kubwa ni mpaka kwenye ziara rasmi tuu.
Naona umeshindikana. Wewe Ni Kama jirani yangu mhehe hapa Kimara. Anafanya kazi mjini TRA, mkewe anafanya kazi bandarini na watoto wanasoma mijini lakini mzee anaondoka na harrier yake, mkewe na dualis na watoto wanaondoka na dereva kwenye Pajero.
Mimi, mke wangu na wanangu sote kwenye mwendokasi, round trip kwa wote haizidi elfu tano.
 
Ndio kwani yeye ndio anaamua idadi ya magari ya escort? 🤣🤣🤣🤣

Ulitaka awapangie Wana usalama au? Hiyo sio kazi yake.

Mwisho nimetoa ufafanusi hapo wa kwani Mimi magari ni mengi hujasoma ukaelewa au?

Mwisho nimesema nitajie na uweke hapa convyoy ya Rais yeyote wa Tanznaia akiwa ziarani tuone hususan Magufuli.
Nlichokiandka na ww haujakisoma vzr !? Kwhyo sie tukae hapa tuanze kuwalaumu wana usalama kwann wanaweka msululu wa magari sio, We are dealing with the head of the state yan kwa akili yako hiyo unataka tuwalaumu wana usalama na tumuache Mama yako ambae ndio Rais, Marais wa nchi zingne wenyewe misafara midogo hawana wana usalama huko!?

Okay tuseme tuwaweke hao wabunge na waziri jumla gari hzo 150 ,unataka kuniambia mbunge na yeye anamsafara wa magari 50 si ndio!? Fun

Tunamzungumzia Samia hapa sio JPM, na huyo JpM hakuwah kuwa na msafara wa kiree namna hii.
 
Kule uingereza wakati wa mazishi ya malkia, Marais kibao walipanda bus moja. Kwanini hatuigi kwa kuanzia na wakurugenzi wa wilaya na wakuu wa wilaya?
😂 😂 😂
Mwigulu Nchemba wakati wa kuwasilisha bajeti mliona ule msafara?
 
Ndio raha ya kuongoza maiti,
Kule jiran kavunja baraza la mawaziri, kafuta safari za nje, kafuta baadhi ya mashirika yasiyo na faida ili kupunguza matumizi.
 
Kenya vijana wamefahamu kuwa umasikini wao, kutoajiriwa kwao na ufukara usiomithilika.. ni GVT expenditures.. yaani matumizi ya kawaida ya serikali. Watu masikini wanakuwa taxed kunenepesha vitambi visivyo tosheka...
Na ndo maana Watanzania mnaendelea tukanwa kila siku na hawa wapumbavu wanaoendelea tumia kodi zenu..
Because u r dumb n blind n voiceless.
 
Utachanganyikiwa bure wafanya yako hayo ni ya watu wamejitafuta kufika hapo jitafute nawewe mzee
 
Em ngoja kwanza 84 au 48
Na hata ingekuwa nusu ya 48 how come
Gharama za mafuta zinazotoka mifukoni mwetu
Anatupiga mwingi
 
Wanasisitiza AMANI na UPENDO!

ILI WATUMBUE KODI! BATA BATA MASAFARI WAVAE VITU VYA MATHAMANI WAWE NA UTAJIRI WA KUTISHA!

Wanajuwa sisi kondoo mbuzi ng'ombe! HATUNA CHA KUWAFANYA!
 
Alafu kuna mtu anasema kulipa kodi ndio msingi wa maendeleo
 
Kama una akili timamu, huwezi jichosha kufuatilia tawala na siasa za Afrika...

Ni bora ufanye mambo yako binafsi kwa maslahi mabana ya kizazi chako cha sasa na baadaye...
 
Kwa hiyo kwako unaona ni sahihi kabisa Rais kuhimiza watu kulipa kodi huku yeye mwenyewe akitumia msafara wa magari 150 ya kifahari!!

Halafu hao Mawaziri hawawezi kujibu kero za wananchi kwa njia ya simu, mpaka woye wawepo kwenye hiyo ziara? Hivi ni kwa nini mnawachukulia wananchi wote kama ni wajinga!
Bora umeliona hili mkuu..mtoa hoja ndiye mjinga wa kwanza.
Eti tumtajie ni Raisi gani aliyekwisha tumia msafara wa magari 30!
Linatoa hoja utadhani kuna mashindano ya kuonesha wingi na ufahari wa magari ktk misafara ya viongozi!
 
Back
Top Bottom