ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ile ilikuwa ni ziara? Kwenda kwenye mkutano hata km 2 haifiki utarajia Kila mtu awe na convyo yake?Kule uingereza wakati wa mazishi ya malkia, Marais kibao walipanda bus moja. Kwanini hatuigi kwa kuanzia na wakurugenzi wa wilaya na wakuu wa wilaya?
Rais alikuwa ziarani na sio Kila mda anakuwa na convyoy kubwa ni mpaka kwenye ziara rasmi tuu.