ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ile ilikuwa ni ziara? Kwenda kwenye mkutano hata km 2 haifiki utarajia Kila mtu awe na convyo yake?Kule uingereza wakati wa mazishi ya malkia, Marais kibao walipanda bus moja. Kwanini hatuigi kwa kuanzia na wakurugenzi wa wilaya na wakuu wa wilaya?
Naona umeshindikana. Wewe Ni Kama jirani yangu mhehe hapa Kimara. Anafanya kazi mjini TRA, mkewe anafanya kazi bandarini na watoto wanasoma mijini lakini mzee anaondoka na harrier yake, mkewe na dualis na watoto wanaondoka na dereva kwenye Pajero.Ile ilikuwa ni ziara? Kwenda kwenye mkutano hata km 2 haifiki utarajia Kila mtu awe na convyo yake?
Rais alikuwa ziarani na sio Kila mda anakuwa na convyoy kubwa ni mpaka kwenye ziara rasmi tuu.
Apunguze Matumizi aseehYapi maoni yako?
Nlichokiandka na ww haujakisoma vzr !? Kwhyo sie tukae hapa tuanze kuwalaumu wana usalama kwann wanaweka msululu wa magari sio, We are dealing with the head of the state yan kwa akili yako hiyo unataka tuwalaumu wana usalama na tumuache Mama yako ambae ndio Rais, Marais wa nchi zingne wenyewe misafara midogo hawana wana usalama huko!?Ndio kwani yeye ndio anaamua idadi ya magari ya escort? 🤣🤣🤣🤣
Ulitaka awapangie Wana usalama au? Hiyo sio kazi yake.
Mwisho nimetoa ufafanusi hapo wa kwani Mimi magari ni mengi hujasoma ukaelewa au?
Mwisho nimesema nitajie na uweke hapa convyoy ya Rais yeyote wa Tanznaia akiwa ziarani tuone hususan Magufuli.
😂 😂 😂Kule uingereza wakati wa mazishi ya malkia, Marais kibao walipanda bus moja. Kwanini hatuigi kwa kuanzia na wakurugenzi wa wilaya na wakuu wa wilaya?
Baiskeli za mkulima kupunguza matumizi makubwa ya fedha🙃🙃😁😁Mlitaka awe na msafara wa Toyo na Bajaj au?
Hivi anahutubiaga kuhusiana na manini?Kama hayumo alitaka kuhutubia Huwa anatokea wapi?
Kuna muda Uko Sawa muda mwingine Ndio hivyo tena.Ngoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
Lipa kodi tusije tukasimamisha magari.Ngoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
Ni zaidi ya mia mojaEm ngoja kwanza 84 au 48
Na hata ingekuwa nusu ya 48 how come
Gharama za mafuta zinazotoka mifukoni mwetu
Anatupiga mwingi
Bora umeliona hili mkuu..mtoa hoja ndiye mjinga wa kwanza.Kwa hiyo kwako unaona ni sahihi kabisa Rais kuhimiza watu kulipa kodi huku yeye mwenyewe akitumia msafara wa magari 150 ya kifahari!!
Halafu hao Mawaziri hawawezi kujibu kero za wananchi kwa njia ya simu, mpaka woye wawepo kwenye hiyo ziara? Hivi ni kwa nini mnawachukulia wananchi wote kama ni wajinga!