Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
🤣🤣🤣Ndioo mkuu job true true.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Ndioo mkuu job true true.
Endeleeni! Kuna siku mtajuta, kuongozwa na chura kiziwi.Ulitaka awe na msafara wa Bajaj?
Toyo Bajaj na Boda.Mlitaka awe na msafara wa Toyo na Bajaj au?
Tangu ulambe asali laiyoni wewe umekua mshenzi sanaUlitaka awe na msafara wa Bajaj?
NAOMBA UKIPOTEA TUWE TAYARI KUJUA WANAKUPELEKA KATAVI AU TABORANgoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
Msafara wa Rais umeanza Leo? Ilikuwepo na itaendelea kuwepo.Endeleeni! Kuna siku mtajuta, kuongozwa na chura kiziwi.
YANI HUYU JAMAA SIJUI KAMA KIJAMBIO CHAKO KIPO SAWA SAWAMsafara wa Rais umeanza Leo? Ilikuwepo na itaendelea kuwepo.
Ule msafara wa helikopta Huwa unatumia bei gani?
Chako Kiko sawa? Hebu tuonesheYANI HUYU JAMAA SIJUI KAMA KIJAMBIO CHAKO KIPO SAWA SAWA
Si unaona nimekutoa gundu mkuu? Sasa hivi wana tiririka na wewe, utanishukuru baada ya thread kuwa closed au kuunganishwaUlitaka awe na msafara wa Bajaj na Toyo au?
Ukinijibu napata hela? 🤣🤣
🚮🚮Si unaona nimekutoa gundu mkuu? Sasa hivi wana tiririka na wewe, utanishukuru baada ya thread kuwa closed au kuunganishwa
😂 😂 😂Toyo Bajaj na Boda.
Easy Kaka
Walikataa Bima ya Afya ya Watoto ili kunusuru pesa za Mafuta za kula Bata.Ni kweli Mkuu nimeyahesabu upya na Kiumakini kabisa nimeona yako 117. Umeona Trafiki alivyoyachoka na hadi kususa?
Mishe zetu hizo Wahuni, zinatuwezesha kulipia ghetto na kununua viwalo 🤣🤣🤣Ni mwendo wa kununua risiti natumia kusafirishia mzigo dukani nachukua ganji
Ila ukibambwa Sasa ndio msalaNi mwendo wa kununua risiti natumia kusafirishia mzigo dukani nachukua ganji
Uzuri wao nao ni watu tunaishi nao mtaaniIla ukibambwa Sasa ndio msala
Wamechimbwa Mkwara hukoUzuri wao nao ni watu tunaishi nao mtaani
Jtatu asubuhi unatafuta risiti hata ya 8M mpaka siku saba zikate wiki imeisha na umesafirisha mizigo ya kutoshaMishe zetu hizo Wahuni, zinatuwezesha kulipia ghetto na kununua viwalo 🤣🤣🤣
Mimi juzi kati nilienda kufungasha mzigo wa milioni kadhaa, halafu jamaa akanitolea risiti ya efd ya laki kadhaa tu! Aisee nilimpongeza sana.Ni mwendo wa kununua risiti natumia kusafirishia mzigo dukani nachukua ganji