Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Haya matusi Yana sababu ingine sio mpira tu! Maana si kwa Hilo povu!kmmko kwani timu za Zanzibar zikifungwa wewe inakuuma nini? hizi ndio tabia zenu watanganyika roho mbaya na chuki
Halafu kutukana Mtu usiemjua mtandaoni mwenye fake ID Huwa so busara sana usikute ni mjomba wako Toka nitoke na Maza, au labda mnaweza kuwa kwenye safu moja mkiswali laasiri pale mwanakwerekwe! Meaning unamtukana matusi makubwa muislam mwenzio au labda hata ni imam wa msikiti wako Allahu Aalam!
Pinga hoja tu mkuu matusi huwa sio kitu kizuri maana Kuna kitu inaitwa Karma! What goes around comes around!