Kuna sababu gani hizi Timu za Zanzibar kucheza mashindano ya CAF?

Kuna sababu gani hizi Timu za Zanzibar kucheza mashindano ya CAF?

Haya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa.

Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI.

HALAFU UKUTE WANAVYOBORONGA KIMATAIFA WATADAI NI BARA WANAOWAKWAMISHA, MAANA HAWA JAMAA NI FULL VISINGIZIO
Itakuwa shauri ya urojo! Viko laini sana!
 
Kwani si walishapata uanachama kamili wa CAF ilikua bado FIFA tu, utawala wa shetani wa Chattle ukaenda kutia fitina wakafutiwa uanachama kamili.
Walipata! Na wakafutwa vilevile...

Ilikuwa ni mwaka 2017. Uwanachama ulidumu kwa Miezi mnne tu.
 
Zamani ilikuwepo ligi ya Muungano ambayo bingwa ndio alishiriki Ligi ya mabingwa Afrika

Zanzibar wakalalamika upande wa timu ya taifa nao wacheze caf ,wakati caf na fifa hawaitambui zanzibar kama nchi

Hivyo tff na zff wakaomba caf iwatambue vilabu vya zanzibar katika michuano ya vilabu tu ,na ndio unaona wako

Caf na fifa hawaitambui zanzibar wala zff ,wao wanamalizana na tff
Caf hawaitambui zff? Mbona sasa club zao zinashiriki?
 
Bwege wewe , nyie ndio wa Africa kazi kuiga tu kila linalofanywa na Mzungu. You don't have independent mind. Kwa hiyo hao uliowataja siku wakibadili hiyo mifumo yao ndipo na wewe utatolea mfano tena.

POOR AFRICAN
My country people 😂
 
SCOTLAND
NORTH IRELAND
ENGLAND

Hizo zote zina ligi zao na timu za Taifa tofauti ila ni NCHI MOJA.

Tusijitoe akili kiasi hiki.
Na hizo zote zina serikali zao. Sasa kwenye hii nchi moja yetu inayotengenezwa na nchi 2, kila moja ina serikali yake?
 
Na hizo zote zina serikali zao. Sasa kwenye hii nchi moja yetu inayotengenezwa na nchi 2, kila moja ina serikali yake?
kwamba hujui kuwa Zanzibar ina serekali yake na sheria zake ambazo ni tofaut na za Tz?
 
Kwani si walishapata uanachama kamili wa CAF ilikua bado FIFA tu, utawala wa shetani wa Chattle ukaenda kutia fitina wakafutiwa uanachama kamili.
Kwasasa ngumu sana.
walipata kipindi kile cha Jamal malinzi lakini uongozi mpya ulipoingia ukaenda kutia fitina caf Zanzibar ikafutiwa uanachama
 
Bingwa wa ligi ya Zanzibar awe anakuja bara kucheza ligi kuu kama England na Wales tuu yaan Cardiff City, at least itaongeza ushindani katika timu zao, tatizo kwao kule wadhamini hakuna hivyo ligi haina ushindani...

Mchezaji anacheza ligi akitoka hapo anaenda kuuza alkasusu
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaha, watanzania tuna burudan sie, yaani mtu anatoa mifano utadhan kwamba timu za tanzania bara zimeshafikia kiwango cha timu za ulaya, wakati hakuna kikombe chochote cha kimataifa kilichowahi kuchukuliwa na timu zetu pamoja na National team. Ninachojua mm Tanzania ipo katika kundi linaloongoza kufungwa goli nyingi ugenini vikiwemo vilabu vyetu vikubwa vya Simba na Yanga
 
Haya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa.

Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI.

HALAFU UKUTE WANAVYOBORONGA KIMATAIFA WATADAI NI BARA WANAOWAKWAMISHA, MAANA H
Haya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa.

Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI.

HALAFU UKUTE WANAVYOBORONGA KIMATAIFA WATADAI NI BARA WANAOWAKWAMISHA, MAANA HAWA JAMAA NI FULL VISINGIZIO
Ongezea na timu za Somalia,Djbouti na Sudan ya Kusini
 
Back
Top Bottom