Haya matusi Yana sababu ingine sio mpira tu! Maana si kwa Hilo povu!kmmko kwani timu za Zanzibar zikifungwa wewe inakuuma nini? hizi ndio tabia zenu watanganyika roho mbaya na chuki
mkuu bila kumsahau na WALES.SCOTLAND
NORTH IRELAND
ENGLAND
Hizo zote zina ligi zao na timu za Taifa tofauti ila ni NCHI MOJA.
Tusijitoe akili kiasi hiki.
Mimi ni chogo, ila nadhani kina yakhe japo hushindia mapembe (wali wa kitumbo usio na ladha ambao Hawataki chogo Mtu wa bara ale asijewamalizia ATI) na dinner ya urojo na kuruka sarakasi kufurahisha wazungu pale forodhani jioni baada kuhitimu elimu kubwa kabisa ya form six na nchi kuongozwa na mtalii ila naona bado Zenji wana haki ya kupata uwakilishi Fifa na CAF Ili vipaji vya mchambawima, jambiani, mfereji wa wima na bububu visipotee tupate Zanzibar finests wengi ligi kuu, kina Fei, Mudathir, Baka, Hawa ukweli uko wazi wanapiga boli haswa na ni hazina ya Tz!Juhudi bado zinaendelea ili Zanzibar itambuliwe na FIFA na CAF...
Ndio hauna utofauti, unajitoa akili tu. FIFA na CAF ni mashirikisho tu, sio kwamba hufanya hizo kuwa nchi huru.Wewe ndiyo umechagua sasa kujitoa huo ufahamu. Kwa hiyo unataka kusema huo muungano wa England, Scotland, na Ireland ni copy and paste na huu muungano wetu?
Nafikiri ni wakati wako sasa wa kubadili jina ili utambulike kama Kilaza.Ndio hauna utofauti, unajitoa akili tu. FIFA na CAF ni mashirikisho tu, sio kwamba hufanya hizo kuwa nchi huru.
Kwenye hayo maelezo yangu uliyoni quote, kuna sehemu nimetukana? Halafu hiyo Bavicha nahusiana nayo nini mimi?BaviChA mna matusi sana. Toka arudi Lissu mmekopi mpaka akili zake
Waruhusu udhamini wa pombe, misikiti haidhàmini soka kwani kwenye dini, mpira ni ushetaniHaya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa.
Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI.
HALAFU UKUTE WANAVYOBORONGA KIMATAIFA WATADAI NI BARA WANAOWAKWAMISHA, MAANA HAWA JAMAA NI FULL VISINGIZIO
Tatizo la mpira wa miguu na pengine michezo yote hapa Kisiwani ni ufadhili wa uhakika na sio aina ya chakula....Mimi ni chogo, ila nadhani kina yakhe japo hushindia mapembe (wali wa kitumbo usio na ladha ambao Hawataki chogo Mtu wa bara ale asijewamalizia ATI) na dinner ya urojo na kuruka sarakasi kufurahisha wazungu pale forodhani jioni baada kuhitimu elimu kubwa kabisa ya form six na nchi kuongozwa na mtalii ila naona bado Zenji wana haki ya kupata uwakilishi Fifa na CAF Ili vipaji vya mchambawima, jambiani, mfereji wa wima na bububu visipotee tupate Zanzibar finests wengi ligi kuu, kina Fei, Mudathir, Baka, Hawa ukweli uko wazi wanapiga boli haswa na ni hazina ya Tz!
Cardiff city na Swansea city sio za England lakini ligu ya uingireza japo zimeshuka darajaSCOTLAND
NORTH IRELAND
ENGLAND
Hizo zote zina ligi zao na timu za Taifa tofauti ila ni NCHI MOJA.
Tusijitoe akili kiasi hiki.
Ila zote wakikutana hizo za hayo mashirika mengine hufungwa sanaSCOTLAND
NORTH IRELAND
ENGLAND
Hizo zote zina ligi zao na timu za Taifa tofauti ila ni NCHI MOJA.
Tusijitoe akili kiasi hiki.
Haya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa.
Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI.
HALAFU UKUTE WANAVYOBORONGA KIMATAIFA WATADAI NI BARA WANAOWAKWAMISHA, MAANA HAWA JAMAA NI FULL VISINGIZIO
Weka ukweli,haina tatizoUnaandika uwongo kwa manufaa ya nani!?
Ni kwa hoja ya ipi kama unakumbuka vzrnakumbuka iliwahi kupata uanachama wa caf mwaka 2017 lakini ikatolewa
Na si tu kuwa na timu za uhakika zenye ushindani hata usajili wao ulikua juu, kuna kipindi ligi yao ilikua tafu,ina watu km akina malitoli toka zambia, dimtriv toka Bulgaria ,akina lunyamila walihamia hukoTatizo la mpira wa miguu na pengine michezo yote hapa Kisiwani ni ufadhili wa uhakika na sio aina ya chakula....
Cha msingi SMZ ikubali iweke taratibu au mfumo ambao hautokuwa unabagua aina za ufadhili.
Kihistoria Zenj iliwahi kutoa klabu zenye ushindani Kimataifa kama vile Kikwajuni, Miembeni, Malindi, Mlandege, Small Simba, KMKM n.k ambao kwa wakati tofauti waliweza kutisha katika Super League ya JMT na Kimataifa... huku wakitoa wachezaji mahiri kwa Taifa Stars.
Nami natamani watambuliwe caf na fifaJuhudi bado zinaendelea ili Zanzibar itambuliwe na FIFA na CAF...
Unaandika uwongo kwa manufaa ya nani!?