Itakuwa shauri ya urojo! Viko laini sana!Haya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa.
Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI.
HALAFU UKUTE WANAVYOBORONGA KIMATAIFA WATADAI NI BARA WANAOWAKWAMISHA, MAANA HAWA JAMAA NI FULL VISINGIZIO
Mbona huku bara wanakaza.Itakuwa shauri ya urojo! Viko laini sana!
Kwani si walishapata uanachama kamili wa CAF ilikua bado FIFA tu, utawala wa shetani wa Chattle ukaenda kutia fitina wakafutiwa uanachama kamili.Juhudi bado zinaendelea ili Zanzibar itambuliwe na FIFA na CAF...
Walipata! Na wakafutwa vilevile...Kwani si walishapata uanachama kamili wa CAF ilikua bado FIFA tu, utawala wa shetani wa Chattle ukaenda kutia fitina wakafutiwa uanachama kamili.
DahWalipata! Na wakafutwa vilevile...
Ilikuwa ni mwaka 2017. Uwanachama ulidumu kwa Miezi mnne tu.
Caf hawaitambui zff? Mbona sasa club zao zinashiriki?Zamani ilikuwepo ligi ya Muungano ambayo bingwa ndio alishiriki Ligi ya mabingwa Afrika
Zanzibar wakalalamika upande wa timu ya taifa nao wacheze caf ,wakati caf na fifa hawaitambui zanzibar kama nchi
Hivyo tff na zff wakaomba caf iwatambue vilabu vya zanzibar katika michuano ya vilabu tu ,na ndio unaona wako
Caf na fifa hawaitambui zanzibar wala zff ,wao wanamalizana na tff
My country people 😂Bwege wewe , nyie ndio wa Africa kazi kuiga tu kila linalofanywa na Mzungu. You don't have independent mind. Kwa hiyo hao uliowataja siku wakibadili hiyo mifumo yao ndipo na wewe utatolea mfano tena.
POOR AFRICAN
Na hizo zote zina serikali zao. Sasa kwenye hii nchi moja yetu inayotengenezwa na nchi 2, kila moja ina serikali yake?SCOTLAND
NORTH IRELAND
ENGLAND
Hizo zote zina ligi zao na timu za Taifa tofauti ila ni NCHI MOJA.
Tusijitoe akili kiasi hiki.
Hizo ziko Wales, na Wales wao ndio hawana Ligi kuu kwa Pale Uingereza.Cardiff city na Swansea city sio za England lakini ligu ya uingireza japo zimeshuka daraja
kwamba hujui kuwa Zanzibar ina serekali yake na sheria zake ambazo ni tofaut na za Tz?Na hizo zote zina serikali zao. Sasa kwenye hii nchi moja yetu inayotengenezwa na nchi 2, kila moja ina serikali yake?
Akili kama za Mwijaku!SCOTLAND
NORTH IRELAND
ENGLAND
Hizo zote zina ligi zao na timu za Taifa tofauti ila ni NCHI MOJA.
Tusijitoe akili kiasi hiki.
Harafu mwijaku usikute ndo weweAkili kama za Mwijaku!
Zanzibar ni nchi mkuu, mojawapo ya sifa ya kuitwa nchi ni kuwa na bendera ya taifa lake, wimbo wa taifa lake, head of state (Rais) na bunge. yaliyobaki wanajikokota kidogo kidogo kuna siku watapata mamlaka kamili kimataifa na jumuia zakeZanzibar sio nchi mkuu
Harafu......Harafu mwijaku usikute ndo wewe
walipata kipindi kile cha Jamal malinzi lakini uongozi mpya ulipoingia ukaenda kutia fitina caf Zanzibar ikafutiwa uanachamaKwani si walishapata uanachama kamili wa CAF ilikua bado FIFA tu, utawala wa shetani wa Chattle ukaenda kutia fitina wakafutiwa uanachama kamili.
Kwasasa ngumu sana.
Hahaha, watanzania tuna burudan sie, yaani mtu anatoa mifano utadhan kwamba timu za tanzania bara zimeshafikia kiwango cha timu za ulaya, wakati hakuna kikombe chochote cha kimataifa kilichowahi kuchukuliwa na timu zetu pamoja na National team. Ninachojua mm Tanzania ipo katika kundi linaloongoza kufungwa goli nyingi ugenini vikiwemo vilabu vyetu vikubwa vya Simba na Yanga[emoji28][emoji28][emoji28]
Haya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa.
Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI.
HALAFU UKUTE WANAVYOBORONGA KIMATAIFA WATADAI NI BARA WANAOWAKWAMISHA, MAANA H
Ongezea na timu za Somalia,Djbouti na Sudan ya KusiniHaya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa.
Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI.
HALAFU UKUTE WANAVYOBORONGA KIMATAIFA WATADAI NI BARA WANAOWAKWAMISHA, MAANA HAWA JAMAA NI FULL VISINGIZIO
OkZanzibar ni nchi mkuu, mojawapo ya sifa ya kuitwa nchi ni kuwa na bendera ya taifa lake, wimbo wa taifa lake, head of state (Rais) na bunge. yaliyobaki wanajikokota kidogo kidogo kuna siku watapata mamlaka kamili kimataifa na jumuia zake
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app