Kwa mujibu wa ripoti ya Tume ya Bashiru ya kukagua mali za chama haya yamedhihiri:-
1. Chama kina Majengo ya vitega uchumi.
2. Chama kinamiliki 20% ya hisa Vodacom.
3. Chama kinamiliki Media vituo vya redio 2, TV, Magazeti 2.
4. Kina wanachama 17ml wanaolipa ada za uanachama wengine wanalipa kwa miaka hata 10 mbele.
5. Chama kina viwanja na mashamba ambayo mengine yamekuja kuthibitika chini ya ardhi kuna utajiri mkubwa.
Mengine yasiyo kwenye ripoti hiyo ni:-
6. Chama kina marafiki na wafadhili-wa-hiari ndani na nje ya nchi.
7. Chama kina wanachama Beijing, London, Berlin, Ottawa, US, Sofia, Cape Town, Havana, Vienna, Maputo nk.
8. Dhima na Dira ya Bashiru (kama angeendelea na wadhifa ndani ya chama) ilikuwa ni kukifanya chama kijiruzuku yenyewe bila kuruzukiwa na serikali.