Kuna sababu gani Tundu Lissu kukaa kimya kabisa kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe?

Kwani we unaishi wapi! Au ulitaka hao uliowataja wakalele naye mahabusu ndo uamini kuwa wanamuongelea
 
Siku Lissu akiwa nje ya ulingo wa siasa atafunguka mengi sana juu ya issue yake yakutandikwa risasi ila sina hakika kama wataruhusu afike huko kama hawatomchacha wangwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikwisha ongelea hili, na alifanya sherehe kubwa sana siku yule gaidi mwendazake alipokata roho kwa fedheha na aibu. Wewe hukusikia hizo habari?
 
Umbea
 
Mkuu,
Unamaanisha F. Karume na M. Sarungi au? lol...
 
Mushumbus ktk ubora wake. Mwiraqw mwenzangu Slaa kala hasara ya kudumu. Unadhani wanasheria wa CDM hawana mawasiliano Lisu? Kwanini Lisu aongelee kesi iliyopo mahakamani huku akijua utaratibu wa sheria?
 

Kwa bahati mbaya una uhaba wa taarifa, sasa kukosa kwako taarifa ndio unakuanika hapa jukwaani. Ni vyema ukauliza au kuweka tetesi hizi hisia zako. Vinginevyo utakuwa umeelewa basi umeona usilale bila kuweka post yako hapa jukwaani.
 
Lissu anakupa pesa ngapi kila mwezi kwa hoja za kitoto hivi unazojaribu kimjengea?. Tumechoka na maelezo yako ya kila siku kuhusu Lissu. So boring.
 
Siku Lissu akiwa nje ya ulingo wa siasa atafunguka mengi sana juu ya issue yake yakutandikwa risasi ila sina hakika kama wataruhusu afike huko kama hawatomchacha wangwe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Lisu sio muoga wa hivyo, kila mara amekuwa akimtaji jiwe na genge lake. Tushukuru Mungu alipona maana ccm mngepotosha kifo chake, kama mnavyolazimisha kupotosha kifo cha Chacha Wangwe kwa wasiojua ukweli. Siku ukifanyika uchanguzi huru jiwe na genge lake la kina Makonda hawaruki.
 
Lissu anakupa pesa ngapi kila mwezi kwa hoja za kitoto hivi unazojaribu kimjengea?. Tumechoka na maelezo yako ya kila siku kuhusu Lissu. So boring.

Kwani lazima usome ukweli anaouongea?
 
hili tukio la ugaidi pia tundu lisu alikuwa na yake ndio maana baada ya kumaliza uchaguzi alianza kupambana kukimbia nchi awekewa kizuizi hadi akafanikiwa kukimbilia ubalozi wa ugerumani, kwasababu alijua ameshajulikana. kuna ujinga mwingi sana cdm walifanya wakati wa uchaguzi mwaka jana wakitaka kulazimisha kugawana mkate kama ilivyokuwa kenya kwa gharama ya damu ya Watanzania, lakini wakashindwa vibaya. hata mbowe anajua kabisa kuwa haonewi ndio maana naye pale awali alikimbilia nje kujifanya yupo kwenye ziara kumbe anasoma upepo, wakapamba mipango kwamba arudi ili aanzishe vuguvugu la katiba mpya akikamatwa waseme amekamatwa kwasababu ya katiba mpya. mbola la katiba mpya halipo kabisa?

amini usiamini, hii serikali ya maza haitaki kuonea watu ukiona amekomaa ujue kuna kitu kilitendeka, cha muhimu mbowe waombe tu radhi wafanya maridhiano tuendelee mbele ila kujifanya nunda wakati ushahidi upo mfukoni mwa mtu ataendelea kujaza debe kule selo. Tundu lisu amekosa sera kwasababu sera zake ilikuwa kuichafua nchi ili tusipate misaada serikali ishindwe kuendesha nchi, sasa ameona wamagaribi wamemkubali mama ajabu na wanatoa misaada, atamwambia nini sasa? yeye ataendelea tu kupata ression kule kama mkimbizi asiye na kwao akifaidika na kusomeshewa watoto,ila kuchafua nchii sasahivi hata akichafua namna gani haichafuki. tushawashika masikio mabwana zake.
 
Uwalisho wa bata
 
Hii kesi ina watesa Ccm kuliko Chadema
ccm ndo wananyea debe? siku zote hizi nani yupo gerezani hajawahi kunusa hata harufu ya papuchi tu za huku nje anapishana tu na viuno vya mahabusu na wafungwa selo huko?
 
Kwanza nikuambie TU, kwa mawazo ya hapo kwenye kichwa Cha habari Hilo haliwezi kuwa rejesho huru zaidi ni rejesho lililozongwa Tena na wanakijani.
 
ubongo wako uko corrupted. What a waste of sperm. Bora baba Ako angepiga nyeti au kumwagia nje
 
Ukiondoa wizi wa mwaka jana, ccm kama vyama vingine inapata tu ruzuku
Kwa mujibu wa ripoti ya Tume ya Bashiru ya kukagua mali za chama haya yamedhihiri:-
1. Chama kina Majengo ya vitega uchumi.
2. Chama kinamiliki 20% ya hisa Vodacom.
3. Chama kinamiliki Media vituo vya redio 2, TV, Magazeti 2.
4. Kina wanachama 17ml wanaolipa ada za uanachama wengine wanalipa kwa miaka hata 10 mbele.
5. Chama kina viwanja na mashamba ambayo mengine yamekuja kuthibitika chini ya ardhi kuna utajiri mkubwa.

Mengine yasiyo kwenye ripoti hiyo ni:-
6. Chama kina marafiki na wafadhili-wa-hiari ndani na nje ya nchi.
7. Chama kina wanachama Beijing, London, Berlin, Ottawa, US, Sofia, Cape Town, Havana, Vienna, Maputo nk.
8. Dhima na Dira ya Bashiru (kama angeendelea na wadhifa ndani ya chama) ilikuwa ni kukifanya chama kijiruzuku yenyewe bila kuruzukiwa na serikali.
 
Dogo,
Achana na hizi propaganda uchwara !
 
Sina shakha juu uchunguzi wa kushambuliwa kwa Lissu kuwa ulifanyika na wahuni fulani na Jiwe mwenyewe, na Lissu analijua vyema ila sasa ukifanyika uchunguzi juu ya kifo cha Chacha Wangwe....!!!! Mmhh tutabeba kila kilicho chetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM huwa miradi gani yakuwalisha wastaafu, kodi za wananchi sisi kumbe ni mradi wa chama Fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…