Kuna sababu gani Tundu Lissu kukaa kimya kabisa kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe?

Tundu Lissu ni Wakili msomi, anajua madhara ya kuongelea kesi iliyoko mahakamani. Madhara ya Lissu kuongelea kesi hii ni makubwa sana. Itoshe tu hadi hapo kusema, tusubiri maamuzi ya mahakama.
 
Ikiletwa hapa kauli na msimamo wa Lissu kuhusu kesi ya Mbowe utaufunga huu uzi au utazima data?
HAKUNA KITU LISSU NDIYO ANA MONITOR HIYO KESI IWE NGUMU KWA MBOWE ANAONGEA NA KIBATALA KILA SIKU NDIYO MAANA KIBATALA ANAIKOROGA TU HII KESI HAKUNA POINT YA MAANA ANAYOIONGEA YA KUMNASUA MBOWE KIBATALA LISSU WAO LAO MOJA MBOWE AFUNGWE WACHUKUE UENYEKITI MAANA KILA ALIYETAKA KUWA MWENYEKITI ALIPOTEZWA AKAPONA SUMAYE ALIYEAMBIA ANATAKA KUONJA SUMU
 
rudi shule.
 
Ameona mziki mnene.
Amejifunza pia, kubwabwaja akizunguka dunia yote Tanzania iwekewe vikwazo lakini kaangukia pua.
 
Huo msimamo wa Jana au ule wakati kesi inaanza? Mimi maoni yake ya kila siku wakati kesi ikiwa inaendelea. Yawe ya ndani ya siku tatu hizi
Unafahamu bunge la makabwela linaloitwa Club house au Maria Space? Kama hujui itafute hata leo na utasikia Lissu anasema nini kuhusiana na mwenendo mzima wa hii kesi.
 
Una UMRI GANI??

Jambo likiwa mahakamani halipaswi kuropokwa hovyo.

Yeye anawasiliana na mawakili wengine wa utetezi ili kuweza kushinda kesi hii dhidi ya Jamhuri.
 
Mushumbus ktk ubora wake. Mwiraqw mwenzangu Slaa kala hasara ya kudumu. Unadhani wanasheria wa CDM hawana mawasiliano Lisu? Kwanini Lisu aongelee kesi iliyopo mahakamani huku akijua utaratibu wa sheria?
Sio hulka yake kukaa kimya. Na Kama kunakitu Lissu anasaidia Jopo la mawakili ingekuwa wazi kwa wakili yoyote kumtambua mchango wake kwenye kesi hii. Siasa ya Afrika ngumu hasa ukiwa huna Ela. Ukimtoa Jamsi Mapalala na Mchungaji Mtikila wabishi wote walishapotezaga msimamo. Unamkumbuka Mrema, Mwanasheria Masumbuko Lamwai, Julius Mtatiro, Moses Machari, Zitto yula wa 2006 Hadi 2008.

Ukimiya wake Sasa unatia Shaka ngoja tuone mwisho wake.
 
Muwe mnatunza akili hata kidogo. CCM ina hela ya kuwasomesha watu au za kupora?
 
Ama mambo ya maana ya kufanya kwenye chama...hao jamhuri wache wapambane na Kibatara hadi wanabeba madesa kizimbani mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…