Kuna sababu gani Tundu Lissu kukaa kimya kabisa kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe?

Muwe mnatunza akili hata kidogo. CCM ina hela ya kuwasomesha watu au za kupora?

Muwe mnatunza akili hata kidogo. CCM ina hela ya kuwasomesha watu au za kupora?
Nikuulize swali ushawahi kula pesa ya serikali iwe mshahara, malipo ya kazi yoyote Ile kama bado pambana uionje utajua utamu wake na utajua kwanini space uko watu wanalilia ukiamini wanatetea wanyonge kumbe hapana ni utamu wa pesa ya serikali
 
Wewe tulia ule vinono vya shemeji yako Dr Mihogo kwa gharama ya viuno vya sisteri

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hajakaa kimya yeye alishauri ktk kesi hii mshitakiwa Mbowe awaondoe mawakili abakie yeye tu na yeye asijibu lolote huko mahakamani Nami namwuunga mkono Lisu.
 
Huu siyo muda wa kuongea,isitoshe msimamo wake unajulikana ni "Chawa" wa "Mwamba Ngoma".

Aje amnasue jamaa yake!
 
Yule ni mwanasheria anayejielewa kesi ikishakuwepo mahakamani ni marufuku kuiongelea.......
sasa nyie Alina mayasa hamuwezi kuelewa
 
Ingia clubhouse hata juzi usiku alikuwa anajibu maswali mazito mno
 
Kwa kuwa kesi iko mahakamani tayari, mtu baki hupaswi kulizungumzia suala hilo mpaka hapo kesi itakapomalizika. Sikubaliani na Lissu kwa mambo mengi, lakini kwa kukaa kimya muda huu kuhusu kesi ya Mbowe, nakubaliana naye.
 
Naona tundu lissu pengine ndio kamshtukia sasa mbowe. Maana ile theory kama mbowe ndio mshukiwa wa kwanza kumtwanga yeye risasi ndio inamuingia kichwani
 

..juzi Lissu alikuwa kwenye maria space na alijibu maswali mengi ikiwemo kuhusu suala la mbowe.

..kama kuna watz wamedumu ktk upinzani na misimamo yao Lissu ni mmoja wao.

..Lissu amekuwepo kwenye harakati na aligombea ubunge mara ya kwanza 1995 kupitia NCCR.
 
Ni kweli mwanzo alikuwa anachambua kesi mfululizo kwenye Maria Space, akaja kusimama kuongea. Lakini baadae kukawa na cyber lounge maalum kwa kuchambua kesi hiyo, akapambana kisheria na kaka yake Alute aliyekuwa anapinga kuzungumzia kesi iliyo mahakamani.
Lissu alikwisha kuongelea maana ya kesi hii kisheria, kisiasa na amefanya uchambuzi wa jumla na wa masuala mbalimbali ya kesi hii. Siyo lazima aongee kila siku.
 
Unataka aongelee wapi ili ujue kaongea? lisu mara kibao amekua akiongelea kesi ya mbowe kwenye majukwaa ya mtandaoni kama club house na maria space
 
Naona tundu lissu pengine ndio kamshtukia sasa mbowe. Maana ile theory kama mbowe ndio mshukiwa wa kwanza kumtwanga yeye risasi ndio inamuingia kichwani
Hii ndiyo ile hadithi ya fisi anamfuatilia binadamu, akiamini ile mikono inayokwenda mbele na nyuma, itadondoka apate mlo! Yaani kumbe mnamgwaya sana Lissu eeh? Sasa hamuambulii kitu. Hamjatosheka tu na akina Lijualikali, Mtatiro na kina Silinde? Lisu ni habari ingine kabisaaaa. Sahauni!
 
Wanatunzwa na CCM ama na serikali?
 
Acha ujinga CCM aina pesa za kusomesha watu hiyo ni kodi ya wa Tanzania, yani sijui mnatumia nini kufikiri?
 
Naona tundu lissu pengine ndio kamshtukia sasa mbowe. Maana ile theory kama mbowe ndio mshukiwa wa kwanza kumtwanga yeye risasi ndio inamuingia kichwani
Magufuli ndiye aliyehusika kupigwa kwa Lisu risasi hata panya wa nyumbani kwako wanajua Hilo.
 
Lissu na zitto maswahiba???

stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…