Sitaki uwe mnyonge na ujione sio mwanaume uliyekamilika..!!Sasa unatoa namba ya nini kama huna mpango wa kujibu meseji wala kupokea simu?
Huo ni umang'aa.
Wengine wanakuweka kama option ya mwisho siku akiwa hana option anakurudia. Kuna ile unatext no reply, unapiga no response, inapita miaka we ushafuta na namba, inaingia text au call kuanza kukukumbusha. "Unanikumbuka ? Tulionana kwenye ile restaurant, uko wapi siku hizi"Wanawake ambao huwa wanatoa namba za simu kwa uchangamfu mkubwa tu baada ya kuombwa na wanaume kisha wakishaachana wanawapotezea (ghost) au kujifanya matawi huwa ni wapuuzi wakubwa sana.
Kama huna mpango wa kuwasiliana na mwanaume hakuna haja ya kutoa namba ya simu.
Nafikiri hii mada iko humu eti mate?Sitaki uwe mnyonge na ujione sio mwanaume uliyekamilika..!!
Sasa tukijibu kila sms na kupokea simu nchi tutajenga vipi? πΉ
Kumbe nchi mnajenga nyieSitaki uwe mnyonge na ujione sio mwanaume uliyekamilika..!!
Sasa tukijibu kila sms na kupokea simu nchi tutajenga vipi? πΉ
Kabla haujaachana naye, yani ukiwa unaomba namba make sure unatoa na hela ya vocha kama hiyo niliyo i-suggest.Mademu wanatabia ya kuthaminisha mtu! Hapo ukikuta hajakuelewa anakupa namba haitumii!
Huu ushauri mbaya vibaya sana! ππSiku nyingine mtoa mada akipewa namba ajaribu kuisindikiza hata na 30k ya vocha aone kama huyo mdada hatoanza yeye kumtafuta.
Kabla haujaachana naye, yani ukiwa unaomba namba make sure unatoa na hela ya vocha kama hiyo niliyo i-suggest.
Ndio πΉKwani namba huwa mnampa kila mwanaume anayewaomba?π€
Hahaha kwanini Binti?Huu ushauri mbaya vibaya sana! ππ
Ulikuwa hujui? πΉKumbe nchi mnajenga nyie
Anakuharibia permanent settlement na unamkosa nayeye pia. π« tu muda huo ili uwe safe side.Kuna wale wanaokaa kimya mchana kutwa alafu response wanaanza kuitoa usiku muda ambao upo na njia kuu.
Kuna watu watageuza hii ajira π mi mmoja wapo, lakini pia hela za wanaume zitaliwa halafu hakuna garantii ya response, tutavunjwa miguu wenzio!Hahaha kwanini Binti?
Hilo suala la kutoumiza ego mimi ninalipinga kwa sababu atajisikia vibaya wakati huo tu ila baada ya saa moja atakuwa ameshakusahau na amesahau kila kitu ana focus na mawindo mengine, ila ukimpa namba ukam-ghost atakuwa anateseka kwa wiki au miezi akiwa na matumaini hewa ya kitapeli.πππ inategemea unaomba namba katika mazingira gani Yoda.
Kuna mahali mwanaume akikuomba namba ni vizuri kumpa, moja kutokuumiza ego yake, mbili ni sababu za kiusalama.
Men can be real violent/bullies ukimnyima namba mbele za watu , as a woman naiita hii ni women survivals skills. Mtu kama huyu unampa namba halafu atatafuta wa kumpokelea simu/kumjibu msgs.
Wanawake sisi tumeumbiwa huruma lakini haimaanishi ndio tumkubali kila mwanaume..!!Nafikiri hii mada iko humu eti mate?