MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Noma sana.
Unatoaje FEDHA sehemu ambayo hujaona potential ?Kabla haujaachana naye, yani ukiwa unaomba namba make sure unatoa na hela ya vocha kama hiyo niliyo i-suggest.
Mkuu huwa tunachukulia hiyo pesa ni kama gharama ya usaili tu, haimaanishi utapewa kazi!Unatoaje FEDHA sehemu ambayo hujaona potential ?
Wengine wanachukua pesa ako na bado wanaishia mitini mkuu.
Majuto ni mjukuuMkuu huwa tunachukulia hiyo pesa ni kama gharama ya usaili tu, haimaanishi utapewa kazi!
Nipe mwongozo...Awe na hoja za Msingi na zinazotekelezeka
Hakuna biashara ya bure mjini, hata ukinunua gari bado utalisafisha na kuliwekea mafuta kila siku, pambana na unapoweza kupamudu.Huwezi kusema ni kama gharama ya usaili kwa sababu hata akikukubali wewe mwanaume bado ndio utakuwa unamlipa pesa zako kwenye hayo mapenzi.
Je,sie ambao hatupewi namba kabisa tupo kwenye kundi gani?Sasa kwa nini huwa wanatoa namba??
dawa ya ghost unatuma mzigo wa maana ( money monye pesa ) uone kama atakuwa busyWanawake ambao huwa wanatoa namba za simu kwa uchangamfu mkubwa tu baada ya kuombwa na wanaume kisha wakishaachana wanawapotezea (ghost) au kujifanya matawi huwa ni wapuuzi wakubwa sana.
Kama huna mpango wa kuwasiliana na mwanaume hakuna haja ya kutoa namba ya simu.
Ukinikatalia nitajisikia vibaya muda huo tu labda lisaa limoja hivi au hata siku hiyo yote nzima ila kufikia kesho yake nitakuwa nimeshakusahua, lakini ukinipa halafu una ghost ina maana utanifanya nijisikie vibaya kwa weeks au miezi, ni sawa na unyanyasaji wa kisaikolojia wa muda mrefu.Kuna Ile nisikufanye ujisikie Vibaya unachukua
Ukipewa namba cha kwanza tuma st least 100k afu mpigie mpigie mwambie una zawadi yake ndogo how can you deliver, thereafter ask for a date.Wanawake ambao huwa wanatoa namba za simu kwa uchangamfu mkubwa tu baada ya kuombwa na wanaume kisha wakishaachana wanawapotezea (ghost) au kujifanya matawi huwa ni wapuuzi wakubwa sana.
Kama huna mpango wa kuwasiliana na mwanaume hakuna haja ya kutoa namba ya simu.
Unaendeleaje mrembo 🥰Kuna Ile nisikufanye ujisikie Vibaya unachukua