Kuna sababu gani za wanawake kutoa namba kwa wanaume kisha kuingia mitini (ku-ghost)?

Jamani Yoda umetapeliwa nini? 😂

Usiassume kuwa ambavyo ungepotezea wewe basi mwingine atapotezea vile vile. Ni survival skill ambayo wanawake tumejifunza since kudeal na wanaume sio kitendo salama.

Siku mkituhakikishia usalama, tutaanza kuwanyima namba macho makavu kabisa.
 
Sahihi!
 
Inakela sana unakuta bidada umemtamani,ukaomba namba kisha badae anakukaushia,kuna dada alinifanyia hivyo nikamtimbia mpaka kwao, mbn ninae mpaka sasa as my wife
Mwanetu we kama sisiemu tu !

😂
 
Ukiona kakupotezea jua kuwa amekuona mporipori,unavaa mashati ya vitenge na masuruali makubwa.
Cha msingi wewe tongoza walimu wenzio tu mkuu
 
Hutakiwi kumtafuta siku hiyohiuo akikupa namba, kaa kama siku mbili. Ukija kuanza kumcheki punguza kujieleza sana, usitume text kama hajajibu uliyomtumia mwanzo. Kiufupi acha kujifanya una muda mwingi wa kumtafuta pia.

Kupotezewa muda mwingine mnapataka wenyewe
 
Acheni visingizio vya ajabu ajabu kusingizia mnatoa namba under duress kwa usalama wenu, huu ni utapeli tu unaofanyika na wanawake wengi wa mjini. Mtu mmekutana kwenye public bus, SGR, ndege, Bar, sherehe au mitikasi ya biashara hata hujui anapoishi na wengi wao wala hamtakuja kuwahi kuonana tena utamdhuru kivipi hadi atishike alazimike kutoa namba!

Kumbuka hawa sio watu unakutana nao uchochoroni au sehemu tight ukiwa na silaha au nafasi ya kufanya chochote hadi walazimike kutoa namba kwa usalama wao.
 
Sio visingizio ni moja ya sababu.

Zoea kudeal na wanawake wa kila aina.
 
Sio visingizio ni moja ya sababu.

Zoea kudeal na wanawake wa kila aina.
Mimi nafikiri Jamii yetu ya Kitanzania hasa mijini ina wanawake wengi wajinga wajinga sana, hiyo ndio aina kubwa zaidi ya wanawake ninaowaona, badala ya kuwavumilia tu bora waambiwe wabadilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…