Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

Kuna sehemu hatari kuishi kama South Africa?

South Africa ina wahuni ,ila wahuni halisi dunia hii na magangwe wako kule Amerika ya kusini , lile bara almost kila nchi inatatizo kubwa la magenge ya wahuni na wahalifu wa mitaani ,vitu kama ujambazi ,madawa ya kulevya ,utekaji , biashara haramu ya human trafficking , viungo vya binadamu nk
Kila biashara chafu zinafanyika pale
Noma sana!
 
World crimes index of 2023 miji ya Joburg, Pretoria na Durban inashika nafasi ya 3, 4 na 5, ni miji hatari sana kuishi kuliko mnavyofikiria
Wahuni wako America kusini ,hata hizo index majiji yote ni nchi za Amerika kusini
Unaweza piga hapo ,hii ni homicide and crime rate data ya mwaka huu
Majiji yote ni ya nchi za huko Amerika kusini ,Brazil ,Mexico , Venezuela na shitholes za namna hiyo huko
Screenshot_20240402-122219.jpg
 
Siongelei movie naongelea facts uliwahi video za live leak za mexico wewe au google most dangerous country mexico number 1 kwa crime
Unapajua delf, michells plain hannoverpark hapo kona mbili mikono juu achana na SA wewe bastola unauziwa 200rand
 
ushafika SA kwanza..kiufupi kwa pisi SA hana mpinzani
Kawaida tu Mzee wangu google haidanganyi sio lazima ufike SA Dunia IPO kiganjani

Unabisha weka hapa pisi 5 za SA nikuwekee pisi 5 za Bongo uanze kutoa mimacho

Sio Msouth huyu usiangalie kwa makengeza
ea8763915f0b4e4d82eceb67cf220f63.jpg
 
Kawaida tu Mzee wangu google haidanganyi sio lazima ufike SA Dunia IPO kiganjani

Unabisha weka hapa pisi 5 za SA nikuwekee pisi 5 za Bongo uanze kutoa mimacho

Sio Msouth huyu usiangalie kwa makengeza
View attachment 2951470
mimi siwezi kubishana ma wewe nenda kwanza SA ukirudi ndio tuzungumze upya..maana mimi nimekaa SA na bongo napajua vizuri..wewe unajua upande mmoja wa shilingi tu.
 
mimi siwezi kubishana ma wewe nenda kwanza SA ukirudi ndio tuzungumze upya..maana mimi nimekaa SA na bongo napajua vizuri..wewe unajua upande mmoja wa shilingi tu.
Bongo unapajua wewe umetembea mwisho WAPI? Tembea tena alafu uje tubishane vizuri we unakaa sehemu moja km mnara wa saa alafu unajifanya eti Bongo napajua vizuri

Alafu naona tunabishania ujinga Baki na unachokiamini nabaki na nnachokiamini Ila SA sio Bongo wapo watoto wa Bongo mixing ya SA usisahau hilo namaanisha kuna wabongo wamezaa na waSA na wapo Bongo kwa hio ni wabongo waliozaliwa kutoka SA tembea mpaka Goba
 
Kuna wakati nadhani 2006 ilionesha 1.Rio de Janeiro 2.Mahali flani Colombia 3.Joberg
Ni kweli Kuna miji mingi mibaya ya kuishi ila Joberg ikifika 12 jioni usafiri wa uma unastop ili kupunguza crime ule mji mkuu acha kabisa
Saa 12 treni na tax a.k.a daladala zinakoma???
 
Mexico sio Nchi ile unakuta karibu watu wengi wamejichora tattoo wao wanazielewa wewe ambae hauna tattoo yeyote unaweza kumuuliza kitu akakuangalia tu au akivurugwa anakuchapa risasi ile ndio Nchi niliona mtu anatumwa dukani anakumbushwa kuchukua na bastola...
Ni nchi pia ambayo watu wake wanashikilia dini sana.

Niliona Cocacola chupa kubwa ambayo sikuwahi kuiona kabla( yaani kule kuna kama uraibu wa Cocacola mtu ni rahisi kubeba Cocacola kwenye matembezi kuliko maji ya kunywa)

Mauaji na vikundi vya wahuni mitaani hasa magenge ya kihalifu , bidhaa za magendo ndio uwanja wa nyumbani.

Mazuri yao ni wana vyakula vingi sana kwenye local restaurants (mimi napenda kujaribu vyakula sana vya tamaduni tofauti) pia ni wachapakazi.

Kuhusu ZA nimefika mara mbili 2003 na 2010 kwenye world cup tu ili sikuwahi kutamani kuishi kule.
 
Back
Top Bottom