uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Hiyo 20 rand iliniweka kwenye mgogoro na WA colored ila nikasolve kwa amani police walikuta case imeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo 20 rand iliniweka kwenye mgogoro na WA colored ila nikasolve kwa amani police walikuta case imeisha
Wengine ni kutaka league TU maana hao kina Space X ni WA SA Kuna yule chalii Noah ni SA na wengine wengi tena hadi Korea China n.k wanafundisha kingereza hukoWasauzi wengi wapo USA na China mkuu hizo mambo zilikua zamani sasa hivi mpaka pisi zao zipo kibao huko hasa kwa walioenda shule..
Cape town wood stock hata kama unapita na hamsini tena mchana bado unakuwa maiti Ile nchi hapana aisee security ni issue sana SAMexico Kundi za DRUGS DEALER ndo ishu ila ukiamua kuishi kwa hamsini zako bila kuingilia Anga zao hakuna tabu utapata
Ila sasa SOUTH kuna VITA aina nyingi sana ambavyo vinaweza kukutoa UHAI wako muda wowote
Ukiingia uislam watapata dawa watatuliaSasa hujatembea sehemu zingine za dunia unataka kusema South Africa ndio sehemu hatari ya kuishi.
Kuna nchi kama Haiti, El Salvador hizi ni moto wa kuotea mbali raia karibu wote washapinda.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Yah Magu alijitahidi sana kutuliza mitaa panya road walipotezwa vibayaUhuni kama huo ulianza kuota mizizi hapa tz kipindi cha JK. Alipokuja Magu akaagiza polisi and kupokonya bunduki toka kwa wahalifu.
Akasema polisi mzima unazidiwa na jambazi kwanini usimnyang'anye bunduki yake? Akimaanisha ua.
Nilikuwa naangalia interview moja ya Hitman kutoka Mexico, alifungwa jela sasa si unajua jela ubabe ubabe kuna kingpin mmoja aliwazingua wenzie, aisee anasema walimkata kichwa halafu kile kichwa wakawa wanachezea kama mpira wa basketball.South Africa ni risasi tu ikizidi sana mtu kachomwa kisu.
kule latin America ukishauliwa viungo vyako vya mwili vinatenganishwa vinakatwa kama mishkaki alafu vinasambazwa barabarani.
Lazima nitafika tu mkuu Mungu akinijaalia uhai. Naipenda sana ile nchi kuanzia historia yake, mziki wake mpaka lifestyle, kibaya tu imekuja kuharibika sana kwa sasa.Nenda siku moja Mkuu. Actually, South Africa ipo Africa by location ile ni Ulaya. Tena ukifika Johannesburg chukua hotel kule New City halafu starehe kafanyie Old City ndio kuna bata za kufa mtu. Ila hakikisha hapo hotelini kwako wamekupa mtu wa kukusindikiza (anayejua mkono) ndio uende Old City. Hapo utafurahia bata za huko.
Bunduki haiwezi kuwa dawa ya uhalifu pengine itakupa ile hali ya kujiamini tu kiasi fulani.Dawa pekee ya uhalifu ni bunduki.
Ni kuwaua wahalifu wote,ukikutwa na bunduki Sali sala zako za mwisho.
Kabla ya kuuwawa upewe mateso utaje kundi lako lote kisha ni kuwatembezea bunduki wote.
Mbona makaburu walikomesha uhalifu hawakucheka na takataka.
Sio kila mtu anatakiwa kuishi duniani wengine yatakiwa warejeshwe kuzimu walipotoka kwa lazima.
China,uarabuni wezi wanapigwa chuma tu ndo maana ukuti ushenzi huo,hata Rwanda tu chakula cha mwizi ni risasi.
mwezi wa 10 last yeakr niliingia south Africa. Ila February nikarud bongo nilifanikiwa kutembelea mikoai karibu yote
South Africa kimaendeleo imezidi nchi nyingi sana za ulaya ,Asia ,na america yaani south Africa ipo mbali san kiuchumi.
Tatizo Ina raia wenye hasira sana mara nyingi ni watu wenye kinyongo na kulipa kisasi yan dakika sifuri tu unawezA kupoteza uhai
Swala la mapenzi south Africa ni next level Kuna mchezo unaitwa sleep over.
Yani unawezA kukutana bint kituo Cha tren ukaomba namba ukifika home unamuomba aje alale kwako simply anakuja kesho anaondoka then unatafuta mwingine simply tu.
Shule south Africa wanafunzi wanavaa nusu uchi kama south Korea .
Ushoga na usagaji kwao sio kitu Cha kushangaza.
huko jela zao sasa ni bora ufe tu.Nilikuwa naangalia interview moja ya Hitman kutoka Mexico, alifungwa jela sasa si unajua jela ubabe ubabe kuna kingpin mmoja aliwazingua wenzie, aisee anasema walimkata kichwa halafu kile kichwa wakawa wanachezea kama mpira wa basketball.
Hatari sana.
Sasa watu wanachanganya kati ya vita na matukio ya raia mmoja mmoja,nchi kama Somalia, Afghanistan, Sudan na Congo 🇨🇩 hawa wameathiriwa na vita lakini sio tatizo kwa raia,tusichanganye hapoKuna nchi hazina amani sababu ya vita Lakini uliondoka vita unakuta watu wake Sio katili
Ndio waafrica tunaonyeshwa ingali bado tupo duniani,kuwa bila ya Wazungu kamwe tusingestarabika.umo kote ni waafrica tu.halafu wanaibuka wanasiasa na habari ya tujitawale wenyewe,ila kwa jicho la tatu hatuwezi.
Congo ukitoa vita bado kuna raia ni vibaka ubabe wanafanya mchana kweupe wapiga wanapora mbele ya polisi na polisi hawana cha kuwafanya polisi n'a wanajeshi pia nao wanapora mchana kweupeSasa watu wanachanganya kati ya vita na matukio ya raia mmoja mmoja,nchi kama Somalia, Afghanistan, Sudan na Congo [emoji1078] hawa wameathiriwa na vita lakini sio tatizo kwa raia,tusichanganye hapo
That's my schoolmate chicco 🔥🔥Huko tulipafaidi tulioendaga zamani,huko kwenye gari unamsikia chicco tu na song lake
Umballa ma g string...
Changanyikeni ilikuwa ndogo
Ova
Shekhe usisikie Kuhusu MEXICOmwezi wa 10 last yeakr niliingia south Africa. Ila February nikarud bongo nilifanikiwa kutembelea mikoai karibu yote
South Africa kimaendeleo imezidi nchi nyingi sana za ulaya ,Asia ,na america yaani south Africa ipo mbali san kiuchumi.
Tatizo Ina raia wenye hasira sana mara nyingi ni watu wenye kinyongo na kulipa kisasi yan dakika sifuri tu unawezA kupoteza uhai
Swala la mapenzi south Africa ni next level Kuna mchezo unaitwa sleep over.
Yani unawezA kukutana bint kituo Cha tren ukaomba namba ukifika home unamuomba aje alale kwako simply anakuja kesho anaondoka then unatafuta mwingine simply tu.
Shule south Africa wanafunzi wanavaa nusu uchi kama south Korea .
Ushoga na usagaji kwao sio kitu Cha kushangaza.
Mkuu kuna Mexico , hatari sana hii...mwezi wa 10 last yeakr niliingia south Africa. Ila February nikarud bongo nilifanikiwa kutembelea mikoai karibu yote
South Africa kimaendeleo imezidi nchi nyingi sana za ulaya ,Asia ,na america yaani south Africa ipo mbali san kiuchumi.
Tatizo Ina raia wenye hasira sana mara nyingi ni watu wenye kinyongo na kulipa kisasi yan dakika sifuri tu unawezA kupoteza uhai
Swala la mapenzi south Africa ni next level Kuna mchezo unaitwa sleep over.
Yani unawezA kukutana bint kituo Cha tren ukaomba namba ukifika home unamuomba aje alale kwako simply anakuja kesho anaondoka then unatafuta mwingine simply tu.
Shule south Africa wanafunzi wanavaa nusu uchi kama south Korea .
Ushoga na usagaji kwao sio kitu Cha kushangaza.
Haiti kuna sehemu inaitwa Port-au-Prince,serikali ikitaka kwenda kufanya jambo la kiserikali kwa wananchi ni lazima waombe kibali au watoe taarifa kwa Gang Leader Jimmy Bebycyu.serikali ikiingia kichwakichwa awatoki.Hakuna sehemu SA utafananisha na umafia wa Mexico City wale Wauza sumu wakiamua ipo mitaa hakuna mtu anatoka nje kitu ambacho SA hawajafikia huko na pia SA sehemu yeyote Polisi wanaweza kuvamia na wakatoka salama kitu ambacho Mexico ni ngumu mpaka watumie jeshi...