Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Ifakara ipo Morogoro
Pawaga ipo wapi?kuna sehemu inaitwa "Pawaga" ni kisanga.
Kilolo mbona ina asili ya baridi...Joto la Ifakara si la mchemchezo. Ila kuna sehemu inaitwa RUAHA MBUYUNI (Kilolo) nadhani ni mwisho wa yote kwa joto hata Tanzania.
Uko serious?Joto la eneo hili hufikia hadi nyuzi joto 40 C, kumbuka hapa Dar halijawahi kuvuka 34 na watu ndio wanapiga kelele hivi
Je, kuna zaidi ya Ifakara kwa joto TZ?
NdioUko serious?
Nenda Ruaha Mbuyuni jionee tofauti!Kilolo mbona ina asili ya baridi...
Mlimba ni zaidi mkuuJoto la eneo hili hufikia hadi nyuzi joto 40 C, kumbuka hapa Dar halijawahi kuvuka 34 na watu ndio wanapiga kelele hivi
Je, kuna zaidi ya Ifakara kwa joto TZ?
...wilaya ya kilolo ina hali mbili tofauti. Kwa upande ambao unapakana na wilaya ya mufindi, kuna baridi balaa na ndiko yaliko makao makuu ya wilaya. Kwa upande ambao wilaya ya kilolo inapakana na mkoa wa Moro (Ruaha Mbuyuni, Mtandika, Kidayi, Mahenge n.k.) kuna joto balaaaKilolo mbona ina asili ya baridi...
Iko Iringa mkuu. Ni maarufu kwa kilimo cha mpunga mzuri tuu huko PawagaPawaga ipo wapi?
Motogoro nayo iko wapi?Ifakara ipo Motogoro
Moshi mjini juzi ilikuwa 40.5 C...Joto la eneo hili hufikia hadi nyuzi joto 40 C, kumbuka hapa Dar halijawahi kuvuka 34 na watu ndio wanapiga kelele hivi
Je, kuna zaidi ya Ifakara kwa joto TZ?
Iringa hiiPawaga ipo wapi?
Nipo apa mlabani nakiona cha motoJoto la eneo hili hufikia hadi nyuzi joto 40 C, kumbuka hapa Dar halijawahi kuvuka 34 na watu ndio wanapiga kelele hivi
Je, kuna zaidi ya Ifakara kwa joto TZ?
Kilolo ni wilaya but ina ukanda wa juu wenye baridi na uwanda wa chini hapo anaposema jamaa ni balaa kwa jua kali...Kilolo mbona ina asili ya baridi...