Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

Nenda Ruaha Mbuyuni jionee tofauti!
Kwani ruaha mbuyuni na iringa mjini kuna kilometer ngapi,,, mana nilishwahi pita iringa mjini kule gangilonga kuna baridi kama uko kwenye friji,,, sasa mnaposema ruaha mbuyuni kuna joto zaidi ya dar wakati baridi ya iringa inaanzia pale tu unapoanza mlima wa kitonga, hapo kidogo mmeniacha ndugu zangu
 
Pana kilometer mia moja tu ila tofauti ya hali ya hewa ni kubwa sana,baridi ya iringa inaanzia kitonga,kilometer 35 hivi toka ruaha mbuyuni, joto la ruaha sijawahi kuona tanzania
 
Kwani ruaha mbuyuni na iringa mjini kuna kilometer ngapi,,, mana nilishwahi pita iringa mjini kule gangilonga kuna baridi kama uko kwenye friji,,, sasa mnaposema ruaha mbuyuni kuna joto zaidi ya dar wakati baridi ya iringa inaanzia pale tu unapoanza mlima wa kitonga, hapo kidogo mmeniacha ndugu zangu
...mkuu, kutoka Iringa mjini mpk Ruaha Mbuyuni ni almost kilometer 100. Na mind you, ukitoka Iringa kuelekea Ruaha Mbuyuni, unashuka mlima kitonga na hapo utaanza ku-feel weather imebadilika kutoka hali ya ubaridi kuwa joto.
 
Back
Top Bottom