Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

Kwani ruaha mbuyuni na iringa mjini kuna kilometer ngapi,,, mana nilishwahi pita iringa mjini kule gangilonga kuna baridi kama uko kwenye friji,,, sasa mnaposema ruaha mbuyuni kuna joto zaidi ya dar wakati baridi ya iringa inaanzia pale tu unapoanza mlima wa kitonga, hapo kidogo mmeniacha ndugu zangu
Ruaha mbuyuni ipo nyuma sana kabla ya kitonga, kuna mto pale ndio mpaka wa Iringa na Morogoro..kutokea ruaha mpaka town ni zaidi ya 100km.
 
Back
Top Bottom