Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Holili kumekua na joto siku hizi? Nakumbuka miaka ya 1990s tulifika eneo la Mkuu Rombo kumfuta jamaa yetu aliyelazwa Huruma Hospital. Nadhani hapo na Holili ni masafa mafupi tuMoshi mjini napo mpaka maeneo ya Himo na holili kuna joto zaidi ya Dar.
Hii hata mimi inanichanganya sana mkuu ukimaliza kuoga unajifuta jasho sio maji tena... inategemea asili ya kwenu; kwa waliotokea maneo ya baridi joto la Dar si haba! Imagine mtu uko bafuni unaoga wakati huo huo joto linakutoka linachanganyika na maji!
Au Fufu , ya dodoma , hazitofautianiNenda Ruaha Mbuyuni jionee tofauti!
Kwani ruaha mbuyuni na iringa mjini kuna kilometer ngapi,,, mana nilishwahi pita iringa mjini kule gangilonga kuna baridi kama uko kwenye friji,,, sasa mnaposema ruaha mbuyuni kuna joto zaidi ya dar wakati baridi ya iringa inaanzia pale tu unapoanza mlima wa kitonga, hapo kidogo mmeniacha ndugu zangu
..Aisee, pale na penyewe ni nouma sanaaaaaaaaaAcheni utani nyie, eneo la MIGOLI lililopo njia ya iringa kwenda Dodoma ni KWIKWI HAKUNA MFANO
Panajoto sana Migoli. Juzi lami ilikua ya moto punda wanashindwa kukokota matoroli wanarukaruka mikokoteni inamwaga maji..Aisee, pale na penyewe ni nouma sanaaaaaaaaa
...Halafu jamaa wanawacharaza kwa mijeledi mpk wanatoka vidonda...Panajoto sana Migoli. Juzi lami ilikua ya moto punda wanashindwa kukokota matoroli wanarukaruka mikokoteni inamwaga maji
Juzi jamaa flan alikua anasema hata eneo la Kitinku hadi Chikuyu njia ya Bahi kwenda Manyoni nako jua linakung'uta mno. Hua wanaweka nyungo na mikeka barabarani ila saiv mikeka ukianika mkeka tu ukiukunja lazima ukatike...Halafu jamaa wanawacharaza kwa mijeledi mpk wanatoka vidonda...
nilifika sehemu inaitwa king'ongo ng'ambo ya kimara nikaona kuha hali ya hewa inakaribiana na njombe. Niliinjoi sana.Ni kweli mtu wa makabe,kibamba,kiluvya,kimara hajui joto la dar likoje
Huo ukanda wote una baridi sana kuanzia makongo juu,kimara ,kibangu mpaka kibahanilifika sehemu inaitwa king'ongo ng'ambo ya kimara nikaona kuha hali ya hewa inakaribiana na njombe. Niliinjoi sana.