Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi. Zaidi ya 60% ya maji ya R. Ruaha yanapotea maeneo ya Ruaha Mbuyuni through evaporation. Mbele kule maeneo ya Iyovi Mto umebaki mawe tu no water.Nenda Ruaha Mbuyuni jionee tofauti!
Ruaha mbuyuni ni noma dar ikasomeJoto la Ifakara si la mchemchezo. Ila kuna sehemu inaitwa RUAHA MBUYUNI (Kilolo) nadhani ni mwisho wa yote kwa joto hata Tanzania.
Dar Kuna sehemu na sehemu.Dar watu wanakuza sana mambo.. bado sijaona hilo joto la kulia lia hivi.
Ni Kweli Aisee pale ni tanuru.Joto la Ifakara si la mchemchezo. Ila kuna sehemu inaitwa RUAHA MBUYUNI (Kilolo) nadhani ni mwisho wa yote kwa joto hata Tanzania.
hahahaa yani huko inabidi mtembee uchiJoto la eneo hili hufikia hadi nyuzi joto 40 C, kumbuka hapa Dar halijawahi kuvuka 34 na watu ndio wanapiga kelele hivi
Je, kuna zaidi ya Ifakara kwa joto TZ?
Ngerengere iko wapi....???Akuna cha Ifakara, Ruaha mbuyuni, Kyela wala nn kiboko yao ni Ngerengere kuna joto lakufamtu afu maji ya chumvi
Ni kweli mtu wa makabe,kibamba,kiluvya,kimara hajui joto la dar likojeDar Kuna sehemu na sehemu.
Umeshawahi kufika Bugurruni mnyamani pale ndaani ndani au Karakata.?
Then unajiita profNgerengere iko wapi....???
mzee sipati picha kyela mzigo unasoma nyuzi joto ngapiKuna sehemu inaitwa kyela mbeya huko na ifakara ni sambamba
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kwani ruaha mbuyuni na iringa mjini kuna kilometer ngapi,,, mana nilishwahi pita iringa mjini kule gangilonga kuna baridi kama uko kwenye friji,,, sasa mnaposema ruaha mbuyuni kuna joto zaidi ya dar wakati baridi ya iringa inaanzia pale tu unapoanza mlima wa kitonga, hapo kidogo mmeniacha ndugu zanguNenda Ruaha Mbuyuni jionee tofauti!
*****......mi ningekimbia[emoji3]Moshi mjini juzi ilikuwa 40.5 C...
Pana kilometer mia moja tu ila tofauti ya hali ya hewa ni kubwa sana,baridi ya iringa inaanzia kitonga,kilometer 35 hivi toka ruaha mbuyuni, joto la ruaha sijawahi kuona tanzaniaKwani ruaha mbuyuni na iringa mjini kuna kilometer ngapi,,, mana nilishwahi pita iringa mjini kule gangilonga kuna baridi kama uko kwenye friji,,, sasa mnaposema ruaha mbuyuni kuna joto zaidi ya dar wakati baridi ya iringa inaanzia pale tu unapoanza mlima wa kitonga, hapo kidogo mmeniacha ndugu zangu
...mkuu, kutoka Iringa mjini mpk Ruaha Mbuyuni ni almost kilometer 100. Na mind you, ukitoka Iringa kuelekea Ruaha Mbuyuni, unashuka mlima kitonga na hapo utaanza ku-feel weather imebadilika kutoka hali ya ubaridi kuwa joto.Kwani ruaha mbuyuni na iringa mjini kuna kilometer ngapi,,, mana nilishwahi pita iringa mjini kule gangilonga kuna baridi kama uko kwenye friji,,, sasa mnaposema ruaha mbuyuni kuna joto zaidi ya dar wakati baridi ya iringa inaanzia pale tu unapoanza mlima wa kitonga, hapo kidogo mmeniacha ndugu zangu