Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

Kuna sehemu yenye joto zaidi ya Ifakara Tanzania?

Kilolo mbona ina asili ya baridi...
...wilaya ya kilolo ina hali mbili tofauti. Kwa upande ambao unapakana na wilaya ya mufindi, kuna baridi balaa na ndiko yaliko makao makuu ya wilaya. Kwa upande ambao wilaya ya kilolo inapakana na mkoa wa Moro (Ruaha Mbuyuni, Mtandika, Kidayi, Mahenge n.k.) kuna joto balaaa
 
Back
Top Bottom