Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Afu we NDo unamsifiaga kikono kua anajua madraftMuda mfupi uliopita, hali iko hivi. Nipo 60 areaView attachment 2012026
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu we NDo unamsifiaga kikono kua anajua madraftMuda mfupi uliopita, hali iko hivi. Nipo 60 areaView attachment 2012026
DuhMbunge wa Ifakara amefeli .Ajipime.
Kipindi hiki tunakula jasho Sana😂😂😂Jikoni kwa wakaanga chips ulishawai kufika?
Leo nimekunywa chai saa 4 kidogo roho iache mwili. Nakubaliana wadau walioeza habari ya humidity.kwa kweli dar imezidi
...wilaya ya kilolo ina hali mbili tofauti. Kwa upande ambao unapakana na wilaya ya mufindi, kuna baridi balaa na ndiko yaliko makao makuu ya wilaya. Kwa upande ambao wilaya ya kilolo inapakana na mkoa wa Moro (Ruaha Mbuyuni, Mtandika, Kidayi, Mahenge n.k.) kuna joto balaaa
SongeaMotogoro nayo iko wapi?
Tatizo umesahau concept ya humidity ya geography, Dar inaweza kuwa 33 °C na moshi 40°C , ila Dar ni kisanga kwa sababu ya humidity.Joto la eneo hili hufikia hadi nyuzi joto 40 C, kumbuka hapa Dar halijawahi kuvuka 34 na watu ndio wanapiga kelele hivi
Je, kuna zaidi ya Ifakara kwa joto Tanzania?
Ifakara kuna baridi kali sana kwenye season zake.Kuna mwezi nilienda ifakara nikajisema sasa huu ukijani wote unafaida gani kama joto ndo hivi....nadhani ifakara itakuwa ni bondeni
MorogoroNgerengere iko wapi....???
Barafu imepungua sana mkuu..Duu! Sasa barafu ile ya mlima wetu si itayeyuka kabisa!
Daa! Mlima Kilimanjaro bila barafu ni sawa na kula ugali bila mboga.Barafu imepungua sana mkuu..
Hii picha ni Uzi WA pili naiona Nani huyo Yuko mawinguni?Asee asikwambie mtu hakuna sehemu yenye joto kama pale kwa chini kwenye exsozi
Watu wa dar es laam
Nyumba zao zimebanana sana na pia ni kuna asili ya jangwa pia watu ni wengi View attachment 2022141
Ndio maana ya nyanda za juu, elevation kabla haujaanza kupanda kitonga ni kama 600m abs wakati ukimaliza mlima ni kama 1200 absWakuu naomba mwongozo kidogo, wakati unaelekea iringa na mbeya ukifika mlima Kitonga huwa kuna kupanda, lakini sasa sijawahi kuona mahali pengine mnenda kuteremka!
Ni kwamba ile mikoa ipo juu?
Morogoro na dar zipo bondeni labda?
Asee asikwambie mtu hakuna sehemu yenye joto kama pale kwa chini kwenye exsozi
Watu wa dar es laam
Nyumba zao zimebanana sana na pia ni kuna asili ya jangwa pia watu ni wengi View attachment 2022141