Kuna shida gani Tanzania ikitangaza rasmi kuisaidia Congo kupambana na M23? Tuna Viongozi wa namna gani?

Leo waandananaji Congo waneshambulia balozi za mataifa ya Ufaransa, Marekani, Rwanda, Uganda na Kenya.

Wa Congo wenyewe wanajua sie ni rafiki zao kweli sasa kwa think tanks wetu hamuoni huu ndo wakati wa kuitumia hii nafasi kana fursa yetu kubwa ya kunufaika kiuchumi?
 
Siyo lazima kutangaza, mambo mengine huganywa kimya kimya.
 
M23 Wana drone wewe una jeshi la mkoloni kila kitu manual... Unapasua tofali kwa kichwa, una mavifaru outdated , ndege za vita outdated.....tusi wa underrate Rwanda inaweza kujikuta TUNAOMBA hifadhi sudani kusini,Uganda, Zambia, Malawi na ughaibuni..
Ujuaji huu hii nchi hii Ina vijana wa hovyo sana, civilian anatoa maoni ya kijieshi
 
Kwa iyo ma v8 yasiponunuliwa umasikini utakwisha?
 
Vita gharama. Wale DRC waachwe tu, huwezi kuingia makubaliano na nchi iko kwenye shida kama DRC eti upeleke majeshi yako frontline. Miaka miwili mbele nchi inatulia anaibuka Tundu Lisu wao anakataa maridhiano yenu mliyofanya kipindi hicho, tena anasema kabisa mliingia mkataba wa hovyo kabisa. Pale DRC mchawi majeshi yote yaondoke ngoma waicheze wenyewe mshindi ndio achukue nchi na ndio huyo ajenge misingi ya nchi upya.
 
We utakuwa mnyarwanda. Mnataka Congo iendelee kuwa yatima bila msaada ili muendelee kyifanyia udhalimu na kuinyonya
 
Mkuu
Tuna kitu kinaitwa political solutions kwa masuala yabayohitaji taaluma, weledi na akili.

Kila siku thinktank ya nchi inawaza POLITICAL CORRECTNESS.... the less they think, the deeper we sink
 
Jaman tutakiane mema watu wa mpakani na Congo ☹️ kuwachokoza M23 ni hatari kwetu labda tukimbie kwanza kwenda dar huko, hao jamaa hawachelewi kuchinja kijiji kimoja wapo
 
Rais dhaifu, serikali dhaifu unadhani jeshi litakuaje? CCM must go
 
Rais dhaifu, serikali dhaifu unadhani jeshi litakuaje? CCM must go
Jeshi letu ingawa wanasiasa wanajaribu kuliingilia ila bado halijawa dhaifu.

Nakumbuka enzi zile tunatoa kichapo kwa M23 tulikuwa na vyuma kama Gen. Mwamunyange, Brig G. Mwakibolwa na mwanajeshi wangu bora kwa wakati wote Lt. General Paul Ignace Mella.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…