jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 4,888
- 6,459
Tunawasaidia kwa pesa zaoMnazo hizo pesa za kuisaidia Congo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawasaidia kwa pesa zaoMnazo hizo pesa za kuisaidia Congo??
Siyo lazima kutangaza, mambo mengine huganywa kimya kimya.Leo tunajenga reli ya SGR kwa dhumuni ifike Mashariki mwa Congo. Swali ni Je hiyo reli itakuwa na faida kama Mashariki mwa Congo kukiendelea kuwa vitani namna hii?
Tuache suala la reli. Hivi Je Viongozi wetu hawajui tunaweza faidika kiuchumi endapo leo hii tukiwasaidia wazi Congo kwenye vita yao dhidi ya M23?
Marekani, Uingereza na Ujerumani wanatoa msaada mkubwa kwa Ukraine kupambana na Urusi. Msaada ule sio msaada kama msaada ni mkopo ambao Ukraine watazilipa nchi zile kwa miaka mingi ijayo!
Tuseme Viongozi wetu hawa hawaoni kuwa tunaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Congo sisi kama Tanzania ( Sio chini ya mwamvuli wa SADC au AU au EAC) na tukautumia kama mkopo kwa nchi ya Congo ambapo baadae watatulipa hata kwa karne nzima na tukafaidika kiuchumi?
Hivi nchi hii kuna Think Tanks? Ni kina nani hao Think Tanks? Wana Mchango gani positively kwa maendeleo ya Taifa?View attachment 3216554
Ujuaji huu hii nchi hii Ina vijana wa hovyo sana, civilian anatoa maoni ya kijieshiM23 Wana drone wewe una jeshi la mkoloni kila kitu manual... Unapasua tofali kwa kichwa, una mavifaru outdated , ndege za vita outdated.....tusi wa underrate Rwanda inaweza kujikuta TUNAOMBA hifadhi sudani kusini,Uganda, Zambia, Malawi na ughaibuni..
Kwa iyo ma v8 yasiponunuliwa umasikini utakwisha?Nikijibu kuwa umasikini wetu ni akili zetu wenyewe nitakosea?kivipi?
imagine mnanunua v8 ufisadi kila kona tena wa mabilioni halafu bado unaamini kuna umaskini? hayo mabilioni yanayoliwa na kunua v8 hayatoshi kunua dawa? huwa unafuatilia kwani ripot ya CAG?
Acheni kununua alafu zile fedha zielekezwe kwenye shughuli ya kuondoa umaskini uone hali itakuwajeKwa iyo ma v8 yasiponunuliwa umasikini utakwisha?
Hatufungamani na upande wowote, unaelewa nini? Unaulizia think tank ya Tanzania unadhani hayo unayajua wewe tu!Kwa nini hatufanyi?
Hawawezi kuwa nazo bila shaka.Kwa hiyo una maanisha Jeshi letu halina drone?
Acha kutudharau dogo.
Labda drone za kupigia pichaHawawezi kuwa nazo bila shaka.
We utakuwa mnyarwanda. Mnataka Congo iendelee kuwa yatima bila msaada ili muendelee kyifanyia udhalimu na kuinyonyaVita gharama. Wale DRC waachwe tu, huwezi kuingia makubaliano na nchi iko kwenye shida kama DRC eti upeleke majeshi yako frontline. Miaka miwili mbele nchi inatulia anaibuka Tundu Lisu wao anakataa maridhiano yenu mliyofanya kipindi hicho, tena anasema kabisa mliingia mkataba wa hovyo kabisa. Pale DRC mchawi majeshi yote yaondoke ngoma waicheze wenyewe mshindi ndio achukue nchi na ndio huyo ajenge misingi ya nchi upya.
MkuuLeo tunajenga reli ya SGR kwa dhumuni ifike Mashariki mwa Congo. Swali ni Je hiyo reli itakuwa na faida kama Mashariki mwa Congo kukiendelea kuwa vitani namna hii?
Tuache suala la reli. Hivi Je Viongozi wetu hawajui tunaweza faidika kiuchumi endapo leo hii tukiwasaidia wazi Congo kwenye vita yao dhidi ya M23?
Marekani, Uingereza na Ujerumani wanatoa msaada mkubwa kwa Ukraine kupambana na Urusi. Msaada ule sio msaada kama msaada ni mkopo ambao Ukraine watazilipa nchi zile kwa miaka mingi ijayo!
Tuseme Viongozi wetu hawa hawaoni kuwa tunaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Congo sisi kama Tanzania ( Sio chini ya mwamvuli wa SADC au AU au EAC) na tukautumia kama mkopo kwa nchi ya Congo ambapo baadae watatulipa hata kwa karne nzima na tukafaidika kiuchumi?
Hivi nchi hii kuna Think Tanks? Ni kina nani hao Think Tanks? Wana Mchango gani positively kwa maendeleo ya Taifa?View attachment 3216554
Jaman tutakiane mema watu wa mpakani na Congo ☹️ kuwachokoza M23 ni hatari kwetu labda tukimbie kwanza kwenda dar huko, hao jamaa hawachelewi kuchinja kijiji kimoja wapoLeo tunajenga reli ya SGR kwa dhumuni ifike Mashariki mwa Congo. Swali ni Je hiyo reli itakuwa na faida kama Mashariki mwa Congo kukiendelea kuwa vitani namna hii?
Tuache suala la reli. Hivi Je Viongozi wetu hawajui tunaweza faidika kiuchumi endapo leo hii tukiwasaidia wazi Congo kwenye vita yao dhidi ya M23?
Marekani, Uingereza na Ujerumani wanatoa msaada mkubwa kwa Ukraine kupambana na Urusi. Msaada ule sio msaada kama msaada ni mkopo ambao Ukraine watazilipa nchi zile kwa miaka mingi ijayo!
Tuseme Viongozi wetu hawa hawaoni kuwa tunaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Congo sisi kama Tanzania ( Sio chini ya mwamvuli wa SADC au AU au EAC) na tukautumia kama mkopo kwa nchi ya Congo ambapo baadae watatulipa hata kwa karne nzima na tukafaidika kiuchumi?
Hivi nchi hii kuna Think Tanks? Ni kina nani hao Think Tanks? Wana Mchango gani positively kwa maendeleo ya Taifa?View attachment 3216554
Ukiwa yatima ndio akili inakukaa sawa.We utakuwa mnyarwanda. Mnataka Congo iendelee kuwa yatima bila msaada ili muendelee kyifanyia udhalimu na kuinyonya
Jeshi letu ingawa wanasiasa wanajaribu kuliingilia ila bado halijawa dhaifu.Rais dhaifu, serikali dhaifu unadhani jeshi litakuaje? CCM must go
Hapa kwetu hakuna hata scrutinization??? Picha kama hii haikufaa kufikia walaji.![]()
Waziri wa ulinzi wa Tanzania akiwapimia M23 kwa mbaaaalii!!!