Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #141
Jeshi likikaa bila kazi za maana ndo tunaanza kuona saivi wananunua mabus na kuwapa CCM wafanyie kampeni!Mambo ya nchi hayaendi kimihemuko, mkuu, kuna mambo mzito ya kupima kwanza pande zote , haya mambo tuwaachie wenye dhamana yao JWTZ
Wakimaliza kule watakuja kwetu. Saivi hadi Deputy PM mmemuweka mnyarwanda watanzania mlivyo wapuuziNia ni kuigawa DRC kama walivyofanya Sudan,na waliopewa hilo jukumu ni Uganda na Kagame
Kuwasilihisha imeshindikana. Tuifanye kama fursa ya kiuchumi tu. Military aid ambayo italipwa kama deni la miaka 50Tuwasuluhishe wana Afrika Mashariki wenzetu !
Na wewe great thinker hujui faida tutakayopata kama leo tukisema openly tunaenda Congo kuwasaidia kupambana na M23?Kwahiyo tukiacha kuwa vuguvugu TZ itapata faida gani kiuchumi toka Congo maana kunufaika kiuchumi ndo main point ya OP.
Kama Membe alikufa kwa sababi hiyo basi hakuna haja ya kuendelea kuwa na hawa TISS. Ivunjwe tu tuunde Taasisi nyingine.Wewe unafikiri kwa nini Membe alikufa kifo cha kutatanisha vile,Membe ndo alikuwa anasimama bila kificho kabisa kumpinga Kagame
Mapandikizi ya Wanyarwanda mnaeleweka kwa maneno ya matendo yenuHakuna vita Goma wala Mashariki ya DRC. Ilikuwa ni march au parade ya wanajeshi wa M23 kuingia mji wa Goma huku wakishangiliwa na wakazi wa Goma. Fuatilia haya mambo vizuri na uache kukulupuka maana huelewi chochote kuhusu chimbuko la mgogoro wa mashariki ya DRC. Hakuna namna TZ inaweza kufanya maana hakuna vita mashariki mwa DRC, leo ilikua hitimisho la march au parade ya muda mrefu ya wanajeshi wa M23 kuingia mji mkuu wa Goma wa majimbo wa KIVU mashariki mwa Congo. Hakuna bomu wala risasi ata moja iliyorushwa na wamepokelewa na wananchi kama liberators. Fuatilita yanayoendelea kwa umakini pia take your time kustudy mgogoro huo toka enzi za colonial partition of Africa during berlin concefernce ya mwaka 1885 ambapo Kindgom ya Rwanda iligawanywa mara mbili upande wa kushoto ilichukuliwa na Ubelgiji ( side hii ilikuja kufall under Zaire/ Congo DRC) na kulia ilienda German East Africa.( Side hii ndo present day Rwanda)
Mambo ni mengi muda ni mchache hatuwezi andika kila kitu hapa. Soma au uliza wenye ufaham wa hii historia au waliowahi ishi au kukaa ukanda huo
Adios
Tulifanya hivyo mwaka 2012 tulipata shida gani?Shida ipo na sio rahisi kama unavyodhani labda tukurupuke tu..Athari zitakazojitokeza.
1. Diplomasia ya Kikanda: Rwanda, mshirika wa EAC, inahusishwa na M23 hatua ya Tanzania inaweza kuzua mvutano.
2. Usalama wa Ndani: Tanzania inaweza kuwa shabaha ya mashambulizi ya kulipiza kisasi.
3. Matumizi ya Rasilimali: Gharama za kijeshi zinaweza kudhoofisha maendeleo ya ndani kama elimu na afya.
4. Migogoro ya Kimaslahi: Mgogoro wa Congo una maslahi ya nchi kubwa na makampuni ya kimataifa, Tanzania inaweza kujikuta kwenye mgongano wa maslahi hayo..
Kwanza hata tusifikirie hili kutokea maana inaweza kupelekea Tanzania kuwa shabaha ya mashambulizi.
huu ni uwoga tu mbona Rwanda hajawa shabaha ya mashambulizi ndio kwanza anavuna madini hapo congo, hata kule Central Africa Rwanda anavuna madini.Shida ipo na sio rahisi kama unavyodhani labda tukurupuke tu..Athari zitakazojitokeza.
1. Diplomasia ya Kikanda: Rwanda, mshirika wa EAC, inahusishwa na M23 hatua ya Tanzania inaweza kuzua mvutano.
2. Usalama wa Ndani: Tanzania inaweza kuwa shabaha ya mashambulizi ya kulipiza kisasi.
3. Matumizi ya Rasilimali: Gharama za kijeshi zinaweza kudhoofisha maendeleo ya ndani kama elimu na afya.
4. Migogoro ya Kimaslahi: Mgogoro wa Congo una maslahi ya nchi kubwa na makampuni ya kimataifa, Tanzania inaweza kujikuta kwenye mgongano wa maslahi hayo..
Kwanza hata tusifikirie hili kutokea maana inaweza kupelekea Tanzania kuwa shabaha ya mashambulizi.
hawa ni waoga wanachojua kulamba Kodi za walala hoi, ila kuchakarika kama hivi wanaleta visingizioTulifanya hivyo mwaka 2012 tulipata shida gani?
Unaongelea Diplomasia kwani Congo sio mwanachama wa EAC?
Kuhusu rasilimali pia hizo fedha Congo anazolipwa vikundi vya mercenaries kwa nini asitulipe sisi tukanunua silaha kuwapambania?
Sikubaliani na hoja zako! Zaidi naona faida zaidi kwetu kiuchumi endapo tuki liberate Mashariki mwa Kongo na hata tukiwa na Military Base pale.
Hii nchi ikiendelea kuwa hivi chini ya CCM hawa siku si nyingi KAGAME ataitawala na kuweza kui destabilise kama Congo.hawa ni waoga wanachojua kulamba Kodi za walala hoi, ila kuchakarika kama hivi wanaleta visingizio
Tulifaidika kwa kukaza mikanda mpaka viuno vikakaribia kukatika. Wataalamu wanadai tangu wakati ule hatujawahi tena legeza mkanda mpaka leo hii. (Kwa Raia lakini, sio wale walioambiwa waendelee kujipimia kadiri wawezavyo na yule ajuza)Vita ya kagera tulifaidika na nini..
Tulikaza mikanda kwa ujinga wa Nyerere and not otherwise.Tulifaidika kwa kukaza mikanda mpaka viuno vikakaribia kukatika. Wataalamu wanadai tangu wakati ule hatujawahi tena legeza mkanda mpaka leo hii. (Kwa Raia lakini, sio wale walioambiwa waendelee kujipimia kadiri wawezavyo na yule ajuza)
Kweli kabisa. Sitaki kuamini Congo hajui kuwa kuna majeshi ya kukodi. Ni wazi hana hela.Congo haina pesa za kuwalipa wenye uwezo wa kuwasaidia.
Rwanda hawafui Tz wewe manzi Tz hatufananishwi na Rwanda pia wao wachache sana Yani jeshi lao tz ni kama idadi ya askari policeNI kwamba, kwa sababu Rwanda wanawasaidia M23, tukitangaza kuwasaidia DRC maana yake tumetangaza vita na Rwanda.
Na wewe great thinker hujui faida tutakayopata kama leo tukisema openly tunaenda Congo kuwasaidia kupambana na M23?
Kwa hiyo majeshi yetu yanapojitolea kwenye peace missions za UN , matatizo yetu ya nyumbani huwa yanakuwa yamekwisha!?Matatizo tu ya nyumbani yapo mengi halafu unataka tujitwishe naatatizo ya DRC?Ukjitolea wewe na familia Yako kwenda kupigana na hao inatosha.
Congo hana hela?Kweli kabisa. Sitaki kuamini Congo hajui kuwa kuna majeshi ya kukodi. Ni wazi hana hela.