Kuna shida gani Tanzania ikitangaza rasmi kuisaidia Congo kupambana na M23? Tuna Viongozi wa namna gani?

Kuna shida gani Tanzania ikitangaza rasmi kuisaidia Congo kupambana na M23? Tuna Viongozi wa namna gani?

Mambo ya nchi hayaendi kimihemuko, mkuu, kuna mambo mzito ya kupima kwanza pande zote , haya mambo tuwaachie wenye dhamana yao JWTZ
Jeshi likikaa bila kazi za maana ndo tunaanza kuona saivi wananunua mabus na kuwapa CCM wafanyie kampeni!

Tuanze kulitumia Jeshi kwa mambo ya msingi kwa faida za kiuchumi
 
Kwahiyo tukiacha kuwa vuguvugu TZ itapata faida gani kiuchumi toka Congo maana kunufaika kiuchumi ndo main point ya OP.
Na wewe great thinker hujui faida tutakayopata kama leo tukisema openly tunaenda Congo kuwasaidia kupambana na M23?
 
Wewe unafikiri kwa nini Membe alikufa kifo cha kutatanisha vile,Membe ndo alikuwa anasimama bila kificho kabisa kumpinga Kagame
Kama Membe alikufa kwa sababi hiyo basi hakuna haja ya kuendelea kuwa na hawa TISS. Ivunjwe tu tuunde Taasisi nyingine.
 
Hakuna vita Goma wala Mashariki ya DRC. Ilikuwa ni march au parade ya wanajeshi wa M23 kuingia mji wa Goma huku wakishangiliwa na wakazi wa Goma. Fuatilia haya mambo vizuri na uache kukulupuka maana huelewi chochote kuhusu chimbuko la mgogoro wa mashariki ya DRC. Hakuna namna TZ inaweza kufanya maana hakuna vita mashariki mwa DRC, leo ilikua hitimisho la march au parade ya muda mrefu ya wanajeshi wa M23 kuingia mji mkuu wa Goma wa majimbo wa KIVU mashariki mwa Congo. Hakuna bomu wala risasi ata moja iliyorushwa na wamepokelewa na wananchi kama liberators. Fuatilita yanayoendelea kwa umakini pia take your time kustudy mgogoro huo toka enzi za colonial partition of Africa during berlin concefernce ya mwaka 1885 ambapo Kindgom ya Rwanda iligawanywa mara mbili upande wa kushoto ilichukuliwa na Ubelgiji ( side hii ilikuja kufall under Zaire/ Congo DRC) na kulia ilienda German East Africa.( Side hii ndo present day Rwanda)
Mambo ni mengi muda ni mchache hatuwezi andika kila kitu hapa. Soma au uliza wenye ufaham wa hii historia au waliowahi ishi au kukaa ukanda huo

Adios
Mapandikizi ya Wanyarwanda mnaeleweka kwa maneno ya matendo yenu
 
Shida ipo na sio rahisi kama unavyodhani labda tukurupuke tu..Athari zitakazojitokeza.

1. Diplomasia ya Kikanda: Rwanda, mshirika wa EAC, inahusishwa na M23 hatua ya Tanzania inaweza kuzua mvutano.

2. Usalama wa Ndani: Tanzania inaweza kuwa shabaha ya mashambulizi ya kulipiza kisasi.

3. Matumizi ya Rasilimali: Gharama za kijeshi zinaweza kudhoofisha maendeleo ya ndani kama elimu na afya.

4. Migogoro ya Kimaslahi: Mgogoro wa Congo una maslahi ya nchi kubwa na makampuni ya kimataifa, Tanzania inaweza kujikuta kwenye mgongano wa maslahi hayo..

Kwanza hata tusifikirie hili kutokea maana inaweza kupelekea Tanzania kuwa shabaha ya mashambulizi.
 
Tulifanya hivyo mwaka 2012 tulipata shida gani?

Unaongelea Diplomasia kwani Congo sio mwanachama wa EAC?

Kuhusu rasilimali pia hizo fedha Congo anazolipwa vikundi vya mercenaries kwa nini asitulipe sisi tukanunua silaha kuwapambania?

Sikubaliani na hoja zako! Zaidi naona faida zaidi kwetu kiuchumi endapo tuki liberate Mashariki mwa Kongo kwa makubaliano maalum na nchi ile na hata tukiwa na Military Base pale.
 
huu
Shida ipo na sio rahisi kama unavyodhani labda tukurupuke tu..Athari zitakazojitokeza.

1. Diplomasia ya Kikanda: Rwanda, mshirika wa EAC, inahusishwa na M23 hatua ya Tanzania inaweza kuzua mvutano.

2. Usalama wa Ndani: Tanzania inaweza kuwa shabaha ya mashambulizi ya kulipiza kisasi.

3. Matumizi ya Rasilimali: Gharama za kijeshi zinaweza kudhoofisha maendeleo ya ndani kama elimu na afya.

4. Migogoro ya Kimaslahi: Mgogoro wa Congo una maslahi ya nchi kubwa na makampuni ya kimataifa, Tanzania inaweza kujikuta kwenye mgongano wa maslahi hayo..

Kwanza hata tusifikirie hili kutokea maana inaweza kupelekea Tanzania kuwa shabaha ya mashambulizi.
huu ni uwoga tu mbona Rwanda hajawa shabaha ya mashambulizi ndio kwanza anavuna madini hapo congo, hata kule Central Africa Rwanda anavuna madini.

huu ndio wakati sasahihi Hawa wafuga vitambi waenda congo kuchota utajiri iwe kwa mkataba na serikali ya congo au kama kama Rwanda afanyavyo.
 
Tulifanya hivyo mwaka 2012 tulipata shida gani?

Unaongelea Diplomasia kwani Congo sio mwanachama wa EAC?

Kuhusu rasilimali pia hizo fedha Congo anazolipwa vikundi vya mercenaries kwa nini asitulipe sisi tukanunua silaha kuwapambania?

Sikubaliani na hoja zako! Zaidi naona faida zaidi kwetu kiuchumi endapo tuki liberate Mashariki mwa Kongo na hata tukiwa na Military Base pale.
hawa ni waoga wanachojua kulamba Kodi za walala hoi, ila kuchakarika kama hivi wanaleta visingizio
 
hawa ni waoga wanachojua kulamba Kodi za walala hoi, ila kuchakarika kama hivi wanaleta visingizio
Hii nchi ikiendelea kuwa hivi chini ya CCM hawa siku si nyingi KAGAME ataitawala na kuweza kui destabilise kama Congo.

Hawafanyia maamuzi sahihi kwa wakati sahihi wamekalia kuifisadi tu nchi na kuwaza maslahi binafsi.

Maamuzi magumu yakifanyika kuhusu Congo yatainufaisha Tanzania kwa miaka mingi ijayo.
 
Vita ya kagera tulifaidika na nini..
Tulifaidika kwa kukaza mikanda mpaka viuno vikakaribia kukatika. Wataalamu wanadai tangu wakati ule hatujawahi tena legeza mkanda mpaka leo hii. (Kwa Raia lakini, sio wale walioambiwa waendelee kujipimia kadiri wawezavyo na yule ajuza)
 
Tulikaza mikanda kwa ujinga wa Nyerere and not otherwise.

Nchi ngapi zinapigana vita? Zinafunga mikanda?

Kufunga mikanda kulitokana na kufeli kwa sera za CCM kiuchumi.
 
NI kwamba, kwa sababu Rwanda wanawasaidia M23, tukitangaza kuwasaidia DRC maana yake tumetangaza vita na Rwanda.
Rwanda hawafui Tz wewe manzi Tz hatufananishwi na Rwanda pia wao wachache sana Yani jeshi lao tz ni kama idadi ya askari police
 
Na wewe great thinker hujui faida tutakayopata kama leo tukisema openly tunaenda Congo kuwasaidia kupambana na M23?

Hakuna faida yeyote ile. Changamoto za kufanya biashara Congo ni sawa na changamoto za Zambia au Uganda so kuingilia internal affairs zao hakuna uhakika wowote ule kwamba TZ itafaidika kiuchumi.

Kama Congo kuna faida nchi zingine wangeweza kwenda sio lazima TZ. Kenya, Angola zenye uchumi mkubwa wanaweza kwenda kupata hizo faida ila hakuna mtu anajishughulisha that speaks volume.

TZ iliyoshindwa ku maximize potential zake za ndani kukimbilia kuingilia nchi za watu ni ujinga na ufinyu wa kufikiri. Madini, bandari, mbuga, kilimo, viwanda vimewafikisha wapi ambavyo havihitaji anything to do Congo? Wewe kama mfanyabiashara biashara yako mwenyewe inakushinda kuingilia za mwingine utaweza vp?

Your notions doesn't make no sense.
 
Matatizo tu ya nyumbani yapo mengi halafu unataka tujitwishe naatatizo ya DRC?Ukjitolea wewe na familia Yako kwenda kupigana na hao inatosha.
Kwa hiyo majeshi yetu yanapojitolea kwenye peace missions za UN , matatizo yetu ya nyumbani huwa yanakuwa yamekwisha!?
 
Kweli kabisa. Sitaki kuamini Congo hajui kuwa kuna majeshi ya kukodi. Ni wazi hana hela.
Congo hana hela?

Ungejua kuna Mercenaries wa kirusi na kichina wanalipwa na Serikali ya Congo ku provide ulinzi maeneo strategically hata usingeongea hayo mashudu hapo!
 
Wewe unafikiri kwa nini Membe alikufa kifo cha kutatanisha vile,Membe ndo alikuwa anasimama bila kificho kabisa kumpinga Kagame

Kwamba Membe alikua na uwezo wa kumuangusha Kagame? Akili zenu mitanganyika zinafanana sawa na mwenzako ngara23
 
Back
Top Bottom