Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #141
Jeshi likikaa bila kazi za maana ndo tunaanza kuona saivi wananunua mabus na kuwapa CCM wafanyie kampeni!Mambo ya nchi hayaendi kimihemuko, mkuu, kuna mambo mzito ya kupima kwanza pande zote , haya mambo tuwaachie wenye dhamana yao JWTZ
Tuanze kulitumia Jeshi kwa mambo ya msingi kwa faida za kiuchumi