Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Sasa tunawadaidiaje kiongoz wangu, ukimwambia dogo njoo ufanye intern ujifunze kazi, anataka wewe ndio umlipe.Ni zaidi ya hapo, writing code ni art. Kutegeneza app au website ni zaidi ya kuandika code.
Mtu unampa project leo, kesho yake anakuambia anaanza ku code baada ya siku mbili lazima project imshinde. development inaanza na designing, PL selection, dbdiagram etc
Chuo wanafundiswa basic tu juu juu wanafunzi wengi hawawezi kufanya complex project, sio project tu hata ku scale app wengi hawawezi unaweza ukampa graduate kazi ya ku scale website i-handle request 100K per second hawezi au optimize database yenye data 10M mtu hawezi
Sawa kaka. Acha ibaki hivyoUnanibishia nini ilihali mi mwenyewe nimeshuhudia nilichoeleza? Amini unavyoamini nami niamini niaminivyo "tusipangiane mitazamo".
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
IT is just for everyone but not for programming and codingMimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa nataka niwape wafanye lakini naona wameshindwa walikimbia kuifanya Kazi yangu
Ahadi nyingi nitafanya nitafanya mwisho mtu hapokei simu
Mimi Sina shida ya malipo najua gharama zote huwa zinaanzia bei gani? gharama pia huwa zinaongezeka kutokana na mahitaji mengine Mimi mteja najua wapo developer matapeli wanaojaribu kujitangaza kwa bei ya chini hii nikishaliona tangazo lake tu huwa najua hapa Kuna upigajiHuenda kwenye malipo pia kuna shida kuna watu wanataka Site Dynamic, wanataka ikitokea shida pia uwe una-isolve na update zote ufanye kwa bei ambayo ni one off lakini usumbufu to infinity....
Haya mambo mengine huitaji kusoma ni interest yako kwenye field Chuo kinakupa muongozo tu..., huenda kama ulimaliza miaka kumi iliyopita ukabwaga manyanga na hauna interest ulivyosoma vyote no longer applies... ;
Kwahio its all about interest na mautundu ya mtu husika na kujika kwenye field day to day....
Huyu mbona hata mimi nampiga gepu na sijasoma IT😆😆😆, ila ni mle mle, niliyoyasoma pia ilifika mda nikawa sikumbuki lolote.Sasa mkuu dunia kijiji hii kwan lazima ufabye na walioko mkoan?
Usemacho ni sahihi, kuna bint mmoja week 2 zimepita amehitim computer science chuo kikuu, katika kuomba shughul za kufanya nikamuuliza unaweza kufanya nini kulingana na ulichosomea, honestly, nilisikitika sana moyoni nikaumia nikajisikia huruma mnoo, hawa watoto wetu wanatendwa nin na mfumo wetu wa elimu? Au ni wao tu ndio hawazingatii mambo?
Kiukwel roho iliniuma sana.
View attachment 2976413
Kwa nini unadhani mtu akisoma IT ni lazima ajue kutengeneza website kwa utaalam? Wewe ndiye mwenye tatizo. Information Technology ni field pana sana na unaweza ku-specialize kwenye mambo mengi. Kuna magwiji wengi wa IT ambao hawawezi kutengeneza website kwa kitaalam. Naona mawazo yako ni kama wale wazee wa kijijini wanaodhani mtu akiwa mwalimu basi anajua kila kitu. Hata udaktari kuna magonjwa hawawezi kutibu kwa kitaalam kama inavyotakiwa ndiyo maana kuna specilists wa magonjwa mbali mbali.Website inahitaji maboresho kila baada ya muda nimekuwa nawatumis Hawa developer wa mtandaoni sasa kwa kazi niliyokuwa nayo nikasema ngoja niwatafute vijana wa mkoani kwangu wengine wakati wapo shule walikuwa wananiambia braza Mimi nipo chuo nasomea IT
Wakati wamehitimu sikuwa na shaka kabisa na elimu zao ndio mana hii kazi nilitaka kuwapa wanifanyie nipate utofauti na developer wengine lakini sasa nimekuja gundua hawajui Chochote
Haya mambo mwambie asome mwenyewe na asingojee mwalimu amtafunie kila kitu.Duh!!! Inasikitisha, nina rafiki yangu yuko mwaka wa pili anachukua Accountancy with IT, anasema walisoma html na css ila haelewi chochote.
Nilipojaribu kumpitisha kidogo akasema amebaini labda mkufunzi hana uelewa wa kutosha au ameamua tu kufundisha hovyo maana darasa zima hawakuelewa alichofundisha.
Gradute fresh kutoka shule hawezi kufanya project kubwa kwa usahihi. Siyo kwenye hii field tu, ni kazi zote. Hata pilot akimaliza mafunzo haingii moja kwa moja kufanya kazi peke yake, anakuwa chini ya mabingwa kwa muda fulani. Madaktari hivyo hivyo. Mainjinia hivyo hivyo.Ni zaidi ya hapo, writing code ni art. Kutegeneza app au website ni zaidi ya kuandika code.
Mtu unampa project leo, kesho yake anakuambia anaanza ku code baada ya siku mbili lazima project imshinde. development inaanza na designing, PL selection, dbdiagram etc
Chuo wanafundiswa basic tu juu juu wanafunzi wengi hawawezi kufanya complex project, sio project tu hata ku scale app wengi hawawezi unaweza ukampa graduate kazi ya ku scale website i-handle request 100K per second hawezi au optimize database yenye data 10M mtu hawezi
Ww umekutana na wabovu wachache, hamaanishi vichwa vyote ni wabov . Tupia hiyo kaz online ukutane na vichwa vinapiga design balaaMimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa nataka niwape wafanye lakini naona wameshindwa walikimbia kuifanya Kazi yangu
Ahadi nyingi nitafanya nitafanya mwisho mtu hapokei simu
Wee ni muongo sana, IFM ipi? Hii ya posta?Hii ni mindset ya kiazaman sana mkuu wangu, habar za chuo gan sijui nini no more now.
nikiwa 3rd year ifm 2013 nimefanya sana final year projects za wanafunz wa DiT na Mlimani za wanafunzi wa computer science na IT
Huyo mara amesoma UDSM mara DIT, leo kajichanganya IFM🤣Wee ni muongo sana, IFM ipi? Hii ya posta?
Em tutolee uongo wako hapa. IFM kwan sio chuo.
Ni taasisi ya Elimu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena wamejaa huko vyuoni balaa, utasikia "nyie ni wakubwa bhana mjitafute tafute wenyewe msitegemee kupewa pewa"Tunawapa lawama wanafunzi ila wakufunzi nao tatizo...
Kuna mkufunzi kazi yake ni kutoa Group work tu, mpambane wenyewe...
Kuna kozi bila maelekezo ya kina, hutoki na kitu zaidi ya nadharia tu.