Kuna shida gani? Vijana wengi wanaohitimu wa kozi ya IT hawawezi kutengeneza website

Sasa mkuu dunia kijiji hii kwan lazima ufabye na walioko mkoan?

Usemacho ni sahihi, kuna bint mmoja week 2 zimepita amehitim computer science chuo kikuu, katika kuomba shughul za kufanya nikamuuliza unaweza kufanya nini kulingana na ulichosomea, honestly, nilisikitika sana moyoni nikaumia nikajisikia huruma mnoo, hawa watoto wetu wanatendwa nin na mfumo wetu wa elimu? Au ni wao tu ndio hawazingatii mambo?
Kiukwel roho iliniuma sana.
View attachment 2976413
Mkuu! Hili tatizo wanalo karibia wahitimu wote wa vyuo vya Tz
Kipindi nasoma chuo zamani kidogo nilienda field tulikutana wanafunzi kutoka vyuo tofauti
Wote tulikua hatujui kitu na hapo tuliekwa kila mtu kwenye area anayosomea
Ilibidi waongeze ufanisi kwenye kutufundisha hata Computer ilikua mtihani
Nilichogundua shida inaanzia kwa lecturers, mfano computer tulisoma mwaka wa kwanza lakini sikumbuki kama tuliwahi hata kuziwasha.
Mwalimu alikua anafundisha theory tupu hata mtihani ulikua wa theory computers zenyewe chache

Somo lina hesabu za kutosha lakini mwalimu asolve hata kidogo anatafsiri maelezo anasepa, wewe ndo ukatafute unapopajua ujue jinsi ya kusolve swali

Zamani nilisikia mwaka wa 3 lazima ufanye research ni kweli?
Sisi hatukufanya na marks zilijazwa

Walimu na wanafunzi wamekutana pipa na mfuniko.
 
Very sad. Kias kikubwa usemacho ni sahihi sana ila sasa ukiachana na mfumo mbovu wa elimu, mimi nalia na hawa watoto wetu vyuoni, jitahid bas utafute eneo 1 uwekeze sana nguvu for your own sake. Mfano mimi nilipoanza tu bachelor moja kwa moja niliona theory nyiiiing sana nikachagua eneo moja tu, computer programming, hapa nikasema nitakufa na hii na ndio maisha yangu yoote naish kwa ajil ya hii.

Ukiweka mbali mfumo mbovu wa elimu, watoto wetu wanajisahau sana wakiwa vyuoni, sana sana. Huwez nambia umesoma computer science halaf nakuuliza nini unaweza fanya then unambie Ms.office na hardware maintenance, hivi vitu hata havikuhitaji wewe kwenda ili uvijue. Huhitaj hata kusoma kabisa ili uvijue.

Nilisikitika sana kiukwel
 
Ningechukua ushauri wako lakini chuo nilishamaliza zamani sana
Ningepata nafasi ya kurudi chuoni ningekaza mara dufu😂 ila ndio ishakua ninge..
 
Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa nataka niwape wafanye lakini naona wameshindwa walikimbia kuifanya Kazi yangu

Ahadi nyingi nitafanya nitafanya mwisho mtu hapokei simu
Mkuu njoo pm utafurahi, niko Dar lakini naweza kukufanyia kazi yako ukiwa popote
 
Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa nataka niwape wafanye lakini naona wameshindwa walikimbia kuifanya Kazi yangu

Ahadi nyingi nitafanya nitafanya mwisho mtu hapokei simu
Huko dasalama ndo usiseme mana wanakujaga field mikoani hamnazo kabisaa!
 
Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa nataka niwape wafanye lakini naona wameshindwa walikimbia kuifanya Kazi yangu

Ahadi nyingi nitafanya nitafanya mwisho mtu hapokei simu
Naweza nikakuletea dogo wa Level5 akacreate website huku nawewe unaona!
IT au Computer Scei ni kujituma
 
Elimu yetu ni utapeli. Kwa Dunia ilipofikia unaweza kusoma Computer Science mwenyewe na ukawa vizuri. Mimi naona wengi wanaenda chuo kuchukua tu vyeti maana hata ukitaka uwe Programmer mzuri lazima utarudi kujifunza mwenyewe tu, lecturer anakupa vi-PDF uchwara na sessions mbili-tatu, anatoa assignment ya coding halafu project anataka umtumie kwenye email.

Fanya research, uliza graduates wa fani ya CS/IT uone ni wangapi wanaijua GitHub na kama wana hata projects zao huko.

Chuo kinapotezea wengi muda na pesa na ni kwasababu ajira zetu bado zinatolewa kwa kuzingatia GPA za kwenye vyeti na siyo skills. Nchi zilizoendelea sasa hivi Developers, Product Designers, Graphic Designers ni computer zao tu ndiyo chuo na ofisi.

Lazima tukubali sasa tupo 2024 na siyo 1990 ambapo elimu ilitegemea usome vitabu na uende chuo kupata muongozo. Sasa hivi kila unachotaka kusoma kipo kwenye internet ni wewe tu kuwa na uwezo wa kuchimba na kuchambua taarifa.

Kuna degree chache ambazo zitabaki kuwa muhimu watu kupitia chuo: udaktari, uhandisi, uchumi na fedha, ualimu n.k. ila hizi nyingine vyuo vinaibia watu na kuwapotezea muda.

Imagine mtu katoka advance anaenda chuo kusoma Computer Science, module ya somo la Programming atasoma mara 1 tu kwenye semester 6 hapo atapewa ukoko tu, ukiutaka wali ni mpaka ujipakulie mwenyewe. Sasa kuna umuhimu gani wa kwenda chuo wakati somo hilohilo ukianzia tu YouTube unaweza kuupata ukoko na wali wenyewe unaweza kuupata Udemy / Coursera kutoka kwa wakufunzi wa vyuo vikubwa Duniani!
 
Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa nataka niwape wafanye lakini naona wameshindwa walikimbia kuifanya Kazi yangu

Ahadi nyingi nitafanya nitafanya mwisho mtu hapokei simu
 
Attachments

  • SGN_05_04_2024_1714832545958.png
    SGN_05_04_2024_1714832545958.png
    213.5 KB · Views: 5
1. Background ya vyuo vikuu walivyosomea IT ni vipi?

2. Maokoto yanaendana na kazi uwapayo?

NB: Chuo cha DIT nakiamini kwa ubora 90%.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Unaongea kwa upambe sana, Hizi mambo zimeshapitwaga na wakati. Hii upuuzi mmewalisha sana hata madogo wanaoingia hapo DIT wakiamini kwamba ndo wanaenda chuo bora kuliko vyote hapa Tz na wao ndo best engineers , nakutana na Alumni kibao wa DIT na weupe hakuna wanachojuwa kwenye Engineering. Nakumbuka rafiki yangu alichaguliwa DIT na walipoanza semister ya kwanza tena week 1 walianza kuingia lab eti kudesign circuits kwa active components kama Transistor, Diodes etc. Huu ushuzi huwezi kuta unafanyika UDSM we always start with the Science behind alafu ndo tunaingia lab.
 
Mimi namtafuta programmer wa machine language/assembly language kwa ajili ya reverse engineering
Architecture gani mkuu? Nyuma kidogo I used to write assembly codes ila kwa RISC specifically ARMv6 instructions but ni muda sana tangu nishift kwa C, kama hauko familiar na architecture unayotaka kutumia bora tu uende kwa C kuandika assembly instructions ni sio powa kama umezoea kufanyiwa kila kitu na compiler hata hivyo huezi andika program kubwa kwa assembly it is risky kama sio competent programmer alafu inachosha
 
Unaongea kwa upambe sana, Hizi mambo zimeshapitwaga na wakati. Hii upuuzi mmewalisha sana hata madogo wanaoingia hapo DIT wakiamini kwamba ndo wanaenda chuo bora kuliko vyote hapa Tz na wao ndo best engineers , nakutana na Alumni kibao wa DIT na weupe hakuna wanachojuwa kwenye Engineering. Nakumbuka rafiki yangu alichaguliwa DIT na walipoanza semister ya kwanza tena week 1 walianza kuingia lab eti kudesign circuits kwa active components kama Transistor, Diodes etc. Huu ushuzi huwezi kuta unafanyika UDSM we always start with the Science behind alafu ndo tunaingia lab.
Na ndo maana watu wanasema DIT ni bora.

Kwa vile wanajua vitu vinavyofanya kazi in practice, kujua science behind ni academic exercise ambayo katika practical setting hasa ya TZ ambapo hatuna manufacturing au design katika level hiyo katika kazi zetu ni kama kupoteza muda.

Watu wa uni ni makaratasi na theory nyingi lakini wa DIT wanaweza kufanya actual work.
 
Eti wanajuwa vitu vinavyofanya kazi in practice, na hapo unaezakuta hata kuandika driver ya ethernet hujuwi, nishaona projects kibao za madogo DIT unakuta kasakiti kadogo alafu mtransformer mkubwa ilimradi tu inawaka tayari umedesign na wewe unajiita engineer, and I bet hapo ulipo nkikuuliza kuhusu class 1 au class 2 ceramic capacitors huzijuwi, alafu unasema unafanya actual work (Upuuzi). You guys mnajionaga kwamba elimu yenu ndo ipo juu kuliko chuo chochote hapa Tanzania wakati zaidi ya 80% ya watoto wa DIT ni weupe tu.

Usiseme Tz hatuna level hiyo, jisemee wewe apo hauna hiyo level ya design. Kama hufanyi wenzako tunafanya.
 
Nairejelea kila mara hii comment yako, eti kujuwa science behind ni academic exercise hapa Tz hatuhitaji kwenye kazi zetu tutapoteza muda!, eti DIT ni bora kwasababu wanajuwa vitu vinavyofanya kazi!!!!!!! Nenda katumie MOSFET au BJT kama switcher katika frequency ya 10KHz na hiyo notion yako ya tunajuwa inavyofanya kazi alafu uone ndo utajuwa kama theory muhimu 😂😂, ukute nyie ndo mtadesign resonant circuit kwa izi capacitor za aluminium electrolyte😂😂😂😂
 
Eti wanajuwa vitu vinavyofanya kazi in practice, na hapo unaezakuta hata kuandika driver ya ethernet hujuwi, nishaona projects kibao za madogo DIT unakuta kasakiti kadogo alafu mtransformer mkubwa ilimradi tu inawaka tayari umedesign na wewe unajiita engineer, and I bet hapo ulipo nkikuuliza kuhusu class 1 au class 2 ceramic capacitors huzijuwi, alafu unasema unafanya actual work (Upuuzi). You guys mnajionaga kwamba elimu yenu ndo ipo juu kuliko chuo chochote hapa Tanzania wakati zaidi ya 80% ya watoto wa DIT ni weupe tu.

Usiseme Tz hatuna level hiyo, jisemee wewe apo hauna hiyo level ya design. Kama hufanyi wenzako tunafanya.
Hii ni educated stupidity, haujui reality ya business na kazi, eti kuandika ethernet drivers!

Nani atakuajiri kuandika ethernet drivers bongo?

Hao unaosema wanatumia transformer isiyofaa wanafanya kazi katika hali ya kweli katika limitations wanazokutana nazo, wake creative kusolve actual problem wakati wewe utabaki kusisitiza "sio sawa" kwa vile makaratasi na academia yako inasema sio sawa wakati wao washasolve actual business problem katika hali yetu ya kweli sio imaginary academic scenario.

Hili ndo tatizo la vyuo ambalo watu wanalilamikia watu wanatoka na theory na "ujuzi" mwingi lakini practically wako useless hasa katika context ya Tanzania ambapo hakuna kazi ambayo inategemea ujuzi huo.
 
Website inahitaji maboresho kila baada ya muda nimekuwa nawatumis Hawa developer wa mtandaoni sasa kwa kazi niliyokuwa nayo nikasema ngoja niwatafute vijana wa mkoani kwangu wengine wakati wapo shule walikuwa wananiambia braza Mimi nipo chuo nasomea IT

Wakati wamehitimu sikuwa na shaka kabisa na elimu zao ndio mana hii kazi nilitaka kuwapa wanifanyie nipate utofauti na developer wengine lakini sasa nimekuja gundua hawajui Chochote
Leta kazi mezani mkuu
 
Back
Top Bottom