abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
We jamaa sijuwi unamatatizo gani, eti nani atakuajiri kuandika ethernet driver!!!! Na unaezakuta eti unajiita Engineer (pumba, pumba, pumba) like sirias kabisa mwanafunzi wa Engineering unataka tubishane hapa , eti wanatumia transformer isiyofaa lakini wanafanya kazi katika hali ya kweli (unadesign vitu inefficiently alafu unaita hali za kweli mkuu hizo ni mnatumia nyinyi tu huwezikuta kwenye product iliyokuwa serious) , Mpaka hapo naweza sema basi udsm ni bora kuliko DIT eti hamsomi kama mwajiri wako hataki, Do you guys even enjoy Engineering!!!!!!! 😂 😂Hii ni educated stupidity, haujui reality ya business na kazi, eti kuandika ethernet drivers!
Nani atakuajiri kuandika ethernet drivers bongo?
Hao unaosema wanatumia transformer isiyofaa wanafanya kazi katika hali ya kweli katika limitations wanazokutana nazo, wake creative kusolve actual problem wakati wewe utabaki kusisitiza "sio sawa" kwa vile makaratasi na academia yako inasema sio sawa wakati wao washasolve actual business problem katika hali yetu ya kweli sio imaginary academic scenario.
Hili ndo tatizo la vyuo ambalo watu wanalilamikia watu wanatoka na theory na "ujuzi" mwingi lakini practically wako useless hasa katika context ya Tanzania ambapo hakuna kazi ambayo inategemea ujuzi huo.
Kuna mwenzenu mmoja nilimkuta kachanganyikiwa ameunguza prototype aliyokuwa amedesign kama FYP namuuliza ilikuwaje anasema aliweka kwenye umeme wa nyumban, nilicheki schematic yake hakuna sehemu kaweka protection dhidi ya overcurrent wala voltage, nilibaki kucheka eti ndo Engineer 😂😂.
hapa mtaani nna powere supply ya wati 10 naitumia almost mwaka sasa na haijwahi kushika hata moto, sio kama hizo zenu mnadesign design kama mafundi tu. Mkuu, hiyo mentality yako ya kusema hujui kisa hakuna atakayekuajiri ufanye ni ya kipuuzi sana ndo mana wengi hamna ubunifu mnaishia kucopy projects za wahindi tu alafu mnaita zenu,